Shemeji yangu huyu ananitega!

  • Thread starter SEMBE WA LUSANGA
  • Start date

SEMBE WA LUSANGA

SEMBE WA LUSANGA

Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
97
Points
0
SEMBE WA LUSANGA

SEMBE WA LUSANGA

Member
Joined Apr 6, 2012
97 0
Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!
 
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
3,058
Points
1,225
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
3,058 1,225
May be i am out of this world..coz sijaelewa ulitaka kusemaje hapa?...yaani hizo ADABU za shemejio tu tayari mate yashakutoka? (i smell something fishy japo hujaweka kiuwazi!!)..duh!....Ujue hata sisi wanaume nadhani tufike wakati tuwe na KABA...yaani tuwe tunajali 'HISIA' za wenzi wetu (wake zetu) na tukumbuke hatuwezi kupata kila kitu jamani..Ujumbe wangu RIDHIKA na mkeo na muache shemejio salama ....
 
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
3,058
Points
1,225
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
3,058 1,225
I was too skeptical about that!...

Kwa vile anakupigia magoti ndio umeona anakupenda?
Maana naona umesema mara kadhaa kuhusu kupiga magoti.
Kama that's a turn on kwako si umwambie mke wako nae apige?
 
K

kichwaones

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
399
Points
0
K

kichwaones

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
399 0
pole anakupenda coz nawe unamjari kwa kila kitu. ndiyo maana kafall love kwako. kuwa makini maana jogoo akiwika sijui itakuwaje, anaweza shem wako akapiga magoti akusaidia uyo jogoo wako akiwika!!!
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,692
Points
1,225
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,692 1,225
Mmmh... Kumbe kupiga magoti dili...!!

Ngoja nami nikazane kupiga magoti... Lol
 
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
559
Points
0
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
559 0
Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!

Hivyo vitu anavyokufanyia shemeji yako mpaka unahisi anakutega kwani mkeo hawezi au hajawahi kukufanyia? Na kwa nini usimwambie mkeo akufanyie same same ili usiendelee kutegeka kwa shemeji yako? Kwa sababu kama utaendelea kuruhusu kutegeka na kutegeka nadhani mwishowe utajikuta umekuwa tempted to touch!!!!!!!!!!!!!
 
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
559
Points
0
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
559 0
Mmmh... Kumbe kupiga magoti dili...!!

Ngoja nami nikazane kupiga magoti... Lol
Ha ha haaaaaa Neylu umenifurahisha sana,kazana nadhani akikuona ataanza kutegeka na kwako pia!!!!!!!!!!
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Points
1,225
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 1,225
Anakuhudumia na kukuheshimu kama shemeji yako, sidhani kama ni jambo jema kila unalotendewa la upendo uliconnect na mambo ya uzinzi, ulitaka afanyaje, asikuheshimu?! Na kama asingekuheshimu si ndo ungemtimulia mbali na maneno ya kejeli?

By the way, inakuwaje unamruhusu shemejiyo aingie chumbani kukutandikia kitanda wakati mkeo yupo? Kwa nini vitu vingine usimwambie uvifanye mwenyewe hata kama nia yake ni njema na wewe umehisi hali ya tofauti? Jitunze na mheshimu mkeo na familia yake.

Wewe utajisikiaje akija mdogo wako wa kiume au kaka yako na kumtamani mkeo? Jiweke kwenye hiyo position na fikiria tena.
 
N

NAUREEEN

Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
66
Points
95
Age
32
N

NAUREEEN

Member
Joined Oct 31, 2012
66 95
of coz shemeji anajua kitu gani mwanaume anataka ndo mana anajaribu kukufanyia yote hayo and nahisi anafanya hivo ili kulinda ndoa ya dada yake asitoke nje ...so atakuwa disapponted kuona unamtongoza kwani atakatishwa tamaa na wanaume ninachokushauri we muombee kwa mungu apate mwanaume atakaempenda ili aje amfanyie mumewe na umwambie tu kuwa hayo anayoyafanya yatampendeza mumewe zaidi so asiishie hapo.GOD BLESS YOUR MARRIAGE
 
U

usungilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2012
Messages
527
Points
250
U

usungilo

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2012
527 250
Duh! Huyo shemejio mnyalu nini? Ila angalia anakuheshimu kwa sababu unamheshimu. Kwani mkeo akiwepo hafanyi hivyo?
 
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Messages
7,024
Points
0
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2011
7,024 0
Hivyo vitu anavyokufanyia shemeji yako mpaka unahisi anakutega kwani mkeo hawezi au hajawahi kukufanyia? Na kwa nini usimwambie mkeo akufanyie same same ili usiendelee kutegeka kwa shemeji yako? Kwa sababu kama utaendelea kuruhusu kutegeka na kutegeka nadhani mwishowe utajikuta umekuwa tempted to touch!!!!!!!!!!!!!
Hapo sasa! Kama ni hayo tuu mbona easy to copy? Ingekua kavutiwa na trait of character
au ingekua kavutiwa na something unic ambacho mke hawezi ku-replicate, ningeelewa.
Innaonekana kategeka na sauti, kupiga magoti na kuwekewa colgate kwenye mswaki etc.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,927
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,927 2,000
Kupiga magoti kwa baadhi ya makabila(excluding Wachaga na kaskazini yote), ni namna ya mwanamke kuonesha heshima haswa kwa wakubwa na wanaume.
Ninachokiona hapa ni UFUSKA tu ndio umekujaa wala hakuna kisingizio chochote...
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,199
Points
2,000
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,199 2,000
May be i am out of this world..coz sijaelewa ulitaka kusemaje hapa?...yaani hizo ADABU za shemejio tu tayari mate yashakutoka? (i smell something fishy japo hujaweka kiuwazi!!)..duh!....Ujue hata sisi wanaume nadhani tufike wakati tuwe na KABA...yaani tuwe tunajali 'HISIA' za wenzi wetu (wake zetu) na tukumbuke hatuwezi kupata kila kitu jamani..Ujumbe wangu RIDHIKA na mkeo na muache shemejio salama ....
SnowBall nafikiri we are too old kwa mambo kama haya
May be tuko sayari tofauti
Maana sijaona ambacho kimemfanya mpaka amuone shemeji yake anamtega
kupigiwa magoti
na huyo mke ambaye anamuacha mdofo wake kuingia kwenye chumba chao na kutandika kitanda ni wa wapi na anaacha hata kumuandalia mumewe chai na chakula anampa hilo jukumu mdogo wake
 
Last edited by a moderator:
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
3,058
Points
1,225
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
3,058 1,225
Ni kweli kabisa bro...unajua wakati mwingine hainingii akilini kumtamani ndugu wa mkeo simply kwa sababu anaishi kwako...mambo mengine tunayaendekeza sana...na tunatafuta vijisababu vya kihuni tu kujustify like 'ananipigia magoti'..damn!...what the hell with kneeling!!!..how on earth kneeling has got something to do with intimacy??...ufuska tu!!

SnowBall nafikiri we are too old kwa mambo kama haya
May be tuko sayari tofauti
Maana sijaona ambacho kimemfanya mpaka amuone shemeji yake anamtega
kupigiwa magoti
na huyo mke ambaye anamuacha mdofo wake kuingia kwenye chumba chao na kutandika kitanda ni wa wapi na anaacha hata kumuandalia mumewe chai na chakula anampa hilo jukumu mdogo wake
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,199
Points
2,000
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,199 2,000
Ni kweli kabisa bro...unajua wakati mwingine hainingii akilini kumtamani ndugu wa mkeo simply kwa sababu anaishi kwako...mambo mengine tunayaendekeza sana...na tunatafuta vijisababu vya kihuni tu kujustify like 'ananipigia magoti'..damn!...what the hell with kneeling!!!..how on earth kneeling has got something to do with intimacy??...ufuska tu!!

Mkuu SnowBall kwenye kuanz asafari ya ufuska lazima ajustfy kuwa kulikuw ana mambo kama hayo ya kupigiwa magoti sijui heshima gani sijui alikuwa anatandikiwa kitanda na kupewa heshima so kaona kategeka na kufanya ufuska wake
Ila angekuwa mtu mstaarabu angeona hiyo ni just heshima ya shemeji yake na anayompa na aliyofundishwa kwao
na kama anaona kuwa kuna kutegeka angekuwa na haja ya kumwambia mkewe kuwa awe anamfanyia mambo mengine kabla hajaondoka kama kutandika kitanda kuhakikisha kuwa kuna maji ya kuoga au hizo huduma ambazo anaziona kuw aanategwa na shemeji yake
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,285,254
Members 494,502
Posts 30,855,524
Top