Namsaidiaje huyu shemeji yangu?

mbwangali

JF-Expert Member
Jan 8, 2021
863
1,500
Ni hivi!

Huyu ni shemeji yangu alimuoa dada na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa mama wa nyumban

Sasa jamaa akaanza kubadilika tabia, michepuko kwa sana, akajisahau hata kumhudumia mkewe, muda mwingi hayupo home na akirudi hana time na mkewe. Ugomvi ukaanza na amani ikapotea nyumbani

Dada alijitahidi sana kuficha kinachoendelea kwenye ndoa yake, huku nje tuliona kama anaenjoy maisha kumbe anapitia shida sana. Mwishowe uvumiliv ukamshinda akapanga jambo lake. Akafanya bidii kujishusha na kuomba misamaha hata isiyofaa ilimradi tu amani irejee. Alifanikiwa, amani ililejea kiasi kwenye ndo yake.

Siku ya tukio alimuomba mumewe amtoe out, mume alikubali wakatoka jioni. Kumbe siku hiyo mchana Dada alifanya usafi heavy kwenye nyumba yao, alipanga kila kitu na akawa amepack vitu vyake vyote.

Waliporudi jamaa alikua amelewa so akalala fofofo. Alfajiri dada alisepa na nguo chache tu na akamwachia kimemo kwamba anaondoka anaomba nguo zake zote zilizobaki azichome moto.

Jamaa kuamka akajua utani, piga simu akaambiwa tu Imekwisha nae kwa jeuri akasema poa akijua mwanamke hana lolote atarudi tu.

Sasa mambo yanamwendea ndivyo sivyo, ni kama amepata mkosi, uchumi unayumba hata michepuko sasa inamkimbia

Ameomba msamaha sana kwa dada ila imeshindikana, dada amemwambia aliposema Imekwisha alimaanisha. Sasa jamaa kaja kwangu kunipigia magoti nimsaidie kumwombea msamaha, lakini dada hataki kusikia chochote, ameshamove on na ana mishe zake

Jamaa ananisumbua mimi nimsaidie, la sivyo atajiua maana kila kitu kimehatibika. Namsaidiaje huyu jamaa, maana kama ni kuongea na dada alishanimbia ameshtapika, there is no way akalamba matpishi
 
Wawili wametalikiana sisi tutasemaje sasa? We kausha uone kama atajiua kweli
 
Mwambie sista amsamehe.

Shida sista hakuwashirikisha wakati wa matatizo labda mngemsaidia kuongea na kumtuliza shem, sasa sista kayabeba peke yake yamemshinda. Mwambie akupe nafasi uwapatanishe, kumbukeni kupatana ni bora kuliko kutengana

Shida ukute sista kapata lijamaa lingine linasimamia kucha saa hizi shenzi taipu, akili haioni haisikii.
 
Ni hivi!
Huyu ni shemeji yangu alimuoa ccta na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa mama wa nyumban


Jamaa ananisumbua mimi nimsaidie, lasivyo atajiua maana kila kitu kimehatibika. Namsaidiaje huyu jamaa ,maana kama ni kuongea na ccta alishanimbia ameshtapika, there is no way akalamba matpishi
Ni kati ya yeye na sister. Si wewe.

Jiweke pembeni. Wakipatana sawa,wakiachana sawa
 
Ni hivi!
Huyu ni shemeji yangu alimuoa ccta na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa mama wa nyumban

Sasa jamaa akaanza kubadilika tabia, michepuko kwa sana, akajisahau hata kumhudumia mkewe, muda mwingi hayupo home na akirudi hana time na
Tuheshim wanawake
 
Mgeuze shemeji ako fursa, muombe nauli ya kwenda kwa sista, kesho mwambie sista bado anamfikiria, muombe hela labda umpelekee zawadi sista....hizo hela ni zako lakini.

hapa mjini sio pa kukaa kizembe.
Dah! We jamaa hunitakii mema
 
Mwandiko wa ccta na mwanaume wapi na wapi... Au we ni bint.. Basi acha akuoe wewe
 
Ni hivi!
Huyu ni shemeji yangu alimuoa ccta na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa mama wa nyumban
Mimi mtu ambaye ninaonaga anaomba msamaha kwa dhati kabisa ni yule anayeomba kabla mambo yake hayajawa magumu.
Ni sawa demu akuache aende kwa mtu mwingine halafu arudi baada ya kufukuzwa eti anakuja kuomba msamaha amejutia. Huyo hajajutia bali kafukuzwa hahitajiki kaona arudi kwa lofa lake.

Jamaa angeomba msamaha kabla ya kufulia maana wakati wa raha hakumkumbuka anataka wakati wa shida wale wote shida.
 
Back
Top Bottom