Shemeji yangu huyu ananitega!

Hivyo vitu anavyokufanyia shemeji yako mpaka unahisi anakutega kwani mkeo hawezi au hajawahi kukufanyia? Na kwa nini usimwambie mkeo akufanyie same same ili usiendelee kutegeka kwa shemeji yako? Kwa sababu kama utaendelea kuruhusu kutegeka na kutegeka nadhani mwishowe utajikuta umekuwa tempted to touch!!!!!!!!!!!!!
kweli wanawake hatuna jema me nilivyoona anakutega nilidhani anapita na tite na short dres, anakaa kihasara, kumbe mrembo wa watu kazidisha adabu kwako imekua nongwa ,kweli wanaume ni kama watoto inatakiwa uwawazie mda wote,

Hauna jema we baba kaaah,
tufanyaje sasa tusipokua na adab ,shemeji ana kiburi , kazidisha adabu ooh anaitega , U HOW???????????????????????
 
Anakuhudumia na kukuheshimu kama shemeji yako, sidhani kama ni jambo jema kila unalotendewa la upendo uliconnect na mambo ya uzinzi, ulitaka afanyaje, asikuheshimu?! Na kama asingekuheshimu si ndo ungemtimulia mbali na maneno ya kejeli?

By the way, inakuwaje unamruhusu shemejiyo aingie chumbani kukutandikia kitanda wakati mkeo yupo? Kwa nini vitu vingine usimwambie uvifanye mwenyewe hata kama nia yake ni njema na wewe umehisi hali ya tofauti? Jitunze na mheshimu mkeo na familia yake.

Wewe utajisikiaje akija mdogo wako wa kiume au kaka yako na kumtamani mkeo? Jiweke kwenye hiyo position na fikiria tena.


I like this! usitende jambo usilopenda kutendewa! shemejio anakuheshi ila heshima yake inazidi mipaka! haipaswi kutandikiwa kitanda na mtu yoyote kama si mkeo au wewe mwenyewe! na inakuwaje anakuandalia nguo za kuvaa? chaguo la nguo uvai ipi ni la mkeo au wewe mwenyewe! kama ungekuwa unampenda mkeo na kulinda ndoa yako ungetafuta jinsi ya kukomesha upuuzi huo! ila wewe unachekelea tuuu! eti ndo nazidi kumpenda zaidi!! sasa unataka tukushauri nini? weka mipaka na shemejio wewe ala!
 
Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!

Kwa maelezo yako hapa ni umeshamtamani
 
ushajenga tamaa kwa shemejio hayo mengine vibwagizo......shemeji shemeji huku wazima taa
 
Sema anamtaka huyo shem wake akaona aanze kutoa visababu vya hapa na pale ili kuhalalisha tu
 
Mwali unajua wengine mila hizi ni tofauti kwao !
So unasemaje hapa? Mila ya mke wake haimruhusu kupiga magoti
ila mila ya shemeji (mdogo mtu) inasema ampigie shem wake magoti?
 
So unasemaje hapa? Mila ya mke wake haimruhusu kupiga magoti
ila mila ya shemeji (mdogo mtu) inasema ampigie shem wake magoti?

Mwali inategemea na makuzi labda mkewe alikuwa amekulia mjini na shemejie kijijini si unajua wengine wetu tukiishi mjini hata zile asili tuna ziaacha!
 
acha mambo yako ww usipoangalia utamla mtoto wa watu.hivi ww huoni madhara yake mbele yatakuwaje tusiendeshe na feelings za ajabu ajabu tuangalie kwa upeo bhana daah we huoni noma
 
mhm huyo anataka kufanya mapinduzi hapo nyumbani lol...safi kabisa huyo ndio mkee bwana sio hawa oh am busy need to work shenzi type!!! hudumia mume wako kamaking.
wewe mwana wala usiwe na presha akijiweka karibu mgegede tuu. yote maisha.
 
Hapo sasa! Kama ni hayo tuu mbona easy to copy? Ingekua kavutiwa na trait of character
au ingekua kavutiwa na something unic ambacho mke hawezi ku-replicate, ningeelewa.
Innaonekana kategeka na sauti, kupiga magoti na kuwekewa colgate kwenye mswaki etc.

hivi hata hii ni turn on enh?
ahahhahahahaha duh! watu mna mambo nyie!lol
 
Sidhani kama ana linda ndoa ya dada yake zaidi ya kuhatarisha.
Nifikiri huyu jamaa ana mtamani tuu hana lolote!

of coz shemeji anajua kitu gani mwanaume anataka ndo mana anajaribu kukufanyia yote hayo and nahisi anafanya hivo ili kulinda ndoa ya dada yake asitoke nje ...so atakuwa disapponted kuona unamtongoza kwani atakatishwa tamaa na wanaume ninachokushauri we muombee kwa mungu apate mwanaume atakaempenda ili aje amfanyie mumewe na umwambie tu kuwa hayo anayoyafanya yatampendeza mumewe zaidi so asiishie hapo.GOD BLESS YOUR MARRIAGE
 
pole anakupenda coz nawe unamjari kwa kila kitu. ndiyo maana kafall love kwako. kuwa makini maana jogoo akiwika sijui itakuwaje, anaweza shem wako akapiga magoti akusaidia uyo jogoo wako akiwika!!!
hii hatari kweli kweli, huyu anaweza kucheza mechi ya ugenini na akafunga magoli, mana anaonekana yuko kwenye moli kwelikweli
 
Yaani kweli magoti ndio yamekupagawisha? Hapa wewe umemtamani tuu!
 
Dada wa mkeo ni mkeo. Kuliko utafune vimeo nje ni afadhali umkule shemejio.

Za mbayuwayu changanya na zako. Tafakari, chukua hatua
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom