Shemeji yangu hataki kuhama nyumbani akajitegemee

Shemeji yangu hataki kuhama nyumbani akajitegemee

Matusi ya nini? Kakaa na shemeji yake zaidi ya miaka 10 leo ni mtu mzima na ana kazi. Bora angekuwa kwao utasema kuwa bado ananyonya.

Hata mtoto akikua ana achishwa ziwa mwisho ataoa hapo hapo. Kuna wengine hawajitambuhi kabisa. Tena wengine wanakuwa watuma salamu za uchanganishi kwa familia na wazazi. Mwanaume kwa nini aogope maisha mpaka anakuwa mzigo kwa waliombeba tangu akiwa hana pakuanzia?
Well , ukiangalia kiundan zaidi utagundua Hakua anapenda kukaa naye isipokua tuu ya shule.

Miaka sita ya sekondari ( moyon alisema ivi Bado katoto na hakana pakwenda " SIO KWELI KWAN DOGO HANA KWAO ???.

Miaka mitatu -minne ya chuo ( alijisemea , aaahhh uzuri anashinda huko nawenda Dogo alikaaa hostel ). Dhamira ile ile bado inajionyesha .

Dogo kapata kazi ....Dhamira yake nileile alikua nayo ila sasa anatumia kisingizio cha " Dogo kuajiliwa km sehem za kumponda " ..

Waswahili husema ktk raha na taabu ndo utamjua mfitini wako..

Kwan kaka yake sindo alihitaji kukaa nadogo angali mdogo ??? Sasa y aseme yeye nasio kaka yake ??? [emoji23] [emoji23] huo ni uchagaism.[emoji382] .

Dahhhhh mkuuu yawezekana tunatofautiana , ila binafsi nmekua ktk maisha ya watu wengi, ulikua ukifika kwetu waweza jihisi km upo sijui wapi.. Maana wapo wengi om ndugu na watu wanakaa weeee mpaka wanaamuaga kumuambia mzeee " Asante kwa wema wako ".

Na ujue Sisi kama watoto wamzeee hatuishi pale kwasasa ,,kila mtu yupo na maisha yake , na mikoa tofauti ,,, Lkn sijawahi sikia ndugu akimlalamikia mama kumtenga au lah,,, nawala mama hajawahi kuwatenga aunkuwasema eti sababu tu wanawe hawapo hapo.

Sasa niseme ,, hii mambo niroho mbaya tuuu na umasikin,, kama amempokea kwaroho moja kwann hangoji dogo aitafute njia yake mwenyewe ili Sikh moja amshukuru " asante Shem ".


Broda,,, ktk maisha yangu ,suala lakuishi nandugu wamwanamke nawangu pia ,,ndio limekua linanisaidia kujua makapi na ngano halisi

Unakuta kadada kanakuja unakapa nia kweli yakuoa ,, naanafurahia maana yupo mahali salama..sasa mzik unakuja ooohhhhh baby unajua kukaa nandugu nimatatizo !!

Kwann baby ???? Ooohhhh ndugu wanakera .

Huwa natulia ila akishatoka nameseji juuu....usirudi tena kwangu


Sasa mtoa mada ,,nimoja yawanawake wanajifishaga ukondooo nakuvumilia kumbe rohon no chui.... Nakm angelimwambia Ilo jamaa wake,,Wenda mpaka sasa wasingekua pamoja.
 
usilolijua ni kama ni usiku wa giza, fadhira zote izo nilizotenda bado unaona bure, miaka 9 unaenda wa 10 ninae. sasa kujipanga vip unakuta? acha niwe na roho mbaya
Mshahara 2Mil. hata mkate hanunui! huyo atakuwa Muha. Mchane live.
 
Mweh

Ataoa hapo hapo

Ataishi.na mkewe hapo hapo

Watazaa na kujukuu hapo hapo

Acha kumpitia......na kumpeleka ajitegemee usafiri

Mpeni majukumu achangie 30% ya budget ya ndani sasa

Kama nafuliwa na kuhudumiwa acheni kutoa hizo huduma

Akitoka kazini mwagie bustani na asubuhi alishe kuku

Akishindwa awapishe mjambe.e kwa amani.....
 
Kwanza anza kumpotezea kumpa lift, jifanye unachelewa na jioni usimtafute. Pia ongea na kaka yake, kama hataki kuongelea hiyo issue basi na wewe usiongee naye kitu mpaka akubali kuongea. Kuna familia zingine za ajabu kweli. Anaogopa nini kujitegemea?pole
 
Sawa shemeji nivumilie mpaka mwakani mwanzoni nitapanga
 
Wewe mwanamke una roho mbaya kuliko pili pili ambayo mtu hununua kama kiungo na kisha humtesa
 
Hahahahahahah kahaba mkubwa.


Etii nyoooooooo nyoooooo moyo..nmefurah
.nataman aondoke .jinga wewe ..nakam huyo mumeo naye anakusikikiza Basi inaonekana umpe TIGO.


Akili zako zoko makalioni nakwabahat mbaya umepewa yuvitako tudogoooooooo ,,Shwain wewe.
hivi mnawezaje kutukanana wakati hata hamjuani?
 
Una roho nzuri kwa kweli, hongera kwa hilo. Kwa mwingine hata hiyo sekondari asingemaliza angekuwa ameshatimuliwa.
 
Ongea mmeo Ila naomba mumpe muda hata one month akajipange, itakuwa vizuri zaidi.
 
Kama huwezi kuongea nae mwache awe. Atakapokuwa tayar ataondoka, vumilia tuu.
 
usilolijua ni kama ni usiku wa giza, fadhira zote izo nilizotenda bado unaona bure, miaka 9 unaenda wa 10 ninae. sasa kujipanga vip unakuta? acha niwe na roho mbaya
Wewe miaka 9 tu kukaa na shemeji yako unaona shida wakati kaka yake amekaa nawewe miaka yote hiyo na wewe siyo ndg yake. Usichokijua ni kwamba kwa kaka mtu huyo shemeji yako ni muhimu kuliko wewe ila under normal circumstances unajiona wewe ni mke na jamaa ni just shemeji
 
Kuna jamaa moja mkurya alimrudisha mke wake kwao baada ya mkewe kumwambia amrudishe mdogo wake akasomee nyumbani kwao kwa madai kwamba hata yeye ana wadogo zake na wako kwao sasa kwanini hiyu wifi yake yeye asomee pale. Kilichofuata akafurumushwa yeye jamaa kabaki na dada yake. Kwahiyo kabla ya kuolewa na mtu lazima ujue tamaduni zao, uhusiano wao kwenye familia nk. Siyo ukurupuke tu
 
Nashukuru Mungu muke yangu haina roho kama ya kwako!!!!
Feel sorry for your husband!!!
 
Muite,Muulize kwanza anaplan gani na maisha yake maana huwenda ikawa ye anahic anachokifanya ni sahihi hvy bila kumwambia hawez jua,ongea nae vizur kana kwamba unampa ushaur yeye saiz ameshakuwa muda c mref atakuwa baba mwambie tu kwa upole ili ajue kwamba unafanya hvy kwa faida yake
Huwenda ikawa hapati mtu wa kumshaur

Usimchoke huyo ni ndugu wa mumeo mvumilie tu
Amuulize kwani yeye ndio aliemleta pale
 
Wanawake wameisha kweli duh! Yaani mwanamke wa leo anaona ni bora kuleta jambo JF badala yabkulitatua hapo wake duh!
 
ase dada una moyo....
ila kweli binafsi naona we differ kwenye mahusiano especially ndoa..
yan wewe mumeo huyo unashindwa kumuweka sawa jambo linalokutatiza..eti anapo
 
Back
Top Bottom