Shemeji yangu hataki kuhama nyumbani akajitegemee

Shemeji yangu hataki kuhama nyumbani akajitegemee

Nani kakwambia nalipwa 2m na mbona masters sina !
Ongea kweli shemeji ila ujumbe umefika
 
mwanamke mwenye roho hii anaweza hata kumuwekea sumu bwana mdogo.... mimi nmemsoma nikaona kama ni kweli basi ana ROHO MBAYA SANA NA NI MCHAWI. yaani amfukuze mdogo wangu? hata mdogo wangu akitaka kuzeekea home mwache tu. ni mdgo wangu ana amani kukaa kwa kaka yake. huyu mwanamke atakuwa mchawi si wa kawaida kabisa... na mimi ningekuwa mumewe leo hii hii ningempa talaka.... maana kinachofuati akimwondoa mdogo wangu atahamia kwangu. KUWA MCHOYO NA CHUKI NI KAMA KULA NYAMA YA MTU.. HUWA HIO ROHO HAIACHI.
SAFI MKUUU ,,NANDIVYO YANAANZAGA HALAFU BAADAE MPO WAWILI LINAHAMIA KWAKO ...[emoji35] [emoji35] [emoji35] ..YAAAAN HUYU KAMA SIO KIPIGO ILIKUA NITALAKA TUUUU ...

YAAAAN NIKUPE KILA KITU ,,HAMNA ULICHOKOSA .....KISA TUUU ROHO YAKO KUFURA NAROHO MBAYA BASI OOHHH BABY MTOE MDOGO ...MBUZI KWELI.
 
......well,nadhan anachokosea huyo shemejio ni kutokutoa kampan ya matumizi humo ndani japo kununua matunda tu,ila mimi kaka zangu wakubwa wawili waliishi kwa kaka yetu mkubwa hadi walipojenga nyumba zao wakaondoka na waliishi vizuri tu bila tatizo so inaweza kuwa ndo target ya jamaa.na hiki wabongo wengi ndo kinachoturudisha nyuma,mf wapemba huwa wanalindana sana hawawezi kumuacha ndugu yao akenda kupanga alipe kodi mwaka 840,000/= hali hiyo pesa inatosha kununua tofali kadhaa na hapo hapana malalamiko kwamba shemej anakula sana sijui hachangii matumizi!kama hajawahi kukukosea heshima anaishi kwa kujiheshimu na pakukaa papo mwache aendelee ila zungumza na mumeo ajue ninini hasa lengo lake la baadae maana hawezi kuolea hapo sio.
 
mmmh hawa wanawake hawa !!!!???????

Huyu ashidwi kukwambia mamako cmtaki nimemchoka kukaa naye ukizingatia humu ndani hakuna Ndugu yangu ( yaan yule wa familia 1 na yy)
 
Habari wana jamvini,

Niende moja kwa moja kwenye hoja kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi nimekaa na shemeji yangu toka yupo sekondari, amemaliza sekondari kamaliza chuo na ni nimemsaidia kapata kazi na analipwa milioni 2 na sasa kamaliza master.

Ila huyu shemeji yangu hataki kuhama nyumbani akajitegemee na mimi nahisi nimemchoka jamani, mpaka lifti asubuhi kazini nampa na mwacha kazini na jioni nampitia na hana aibu na kishoka mbele anakaa kwa kweli mimi nimemchoka kabisa.

Ila kumwambia ndo siwezi, na nikijaribu kumchomekea kaka ake naona ananipotezea hapa nafikiria nimwambie live shemeji kapange sababu kwakweli nahisi nimemchoka kama fadhira nimeshamfanyia.

Au nyie wanawake wenzangu mnawavumiliaga mpaka na kuozesha mnawaozesha? Hata mkate wenyewe kununua hanunui ela yake anajua mwenyewe inakoishia, mimi hata asiponunua sina shida ila shida yangu sasa ni haondoke akapange. Mimi kwa upande wangu sina hata ndugu yangu ninaye kaa nae na hajawai kukaa.

Kwakweli bwana shemeji nimekuchoka, na nyie mashemeji mlioko humu mnaokaa kwa kaka zenu siyo mnakaa kama mmefika mwisho wa reli.
Dah wanawake mna roho mbaya sana.. akikaa anakuua au unakonda duh STAMAN KUOA
 
SURE MKUUU ,,TOKA NMEZALIWA LEO NDO NMEJIONEA MWANAMKE MWENYE ROHO MBAYA NAMNA HIII.

DAAAHHHH YAAAN NAYE KAOLEWA ..NAYE ANAMSHAURI MUMEWE WAMU TERMINATE DOGO.......KUDADEK KAMA NIMIM SIJUI KWAKWELI SIJUI.
YANI KAMA NI MIMI NAFUKUZA KABISA MWANAMKE WA ROHO MBAYA WA NN DAH IMENIUMA IMAGINE KAMA NDO WW UNAFANYIWA IVO
 
usilolijua ni kama ni usiku wa giza, fadhira zote izo nilizotenda bado unaona bure, miaka 9 unaenda wa 10 ninae. sasa kujipanga vip unakuta? acha niwe na roho mbaya
Miaka yote hiyo alikuwa anasoma sasa kapata kazi miezi miwili tuu roho inakutoka...mke wangu acha hizo bana.

Ila pia ujuwe mie nikisafiri dogo anabaki home kuimarisha defence au unataka nitoke uniletee viben10 nyumbani kwangu...tulia doz iingie mke wangu.

dogo ataondoka akishajenga nyumba yake....anatafuta kiwanja mbezi beach cha kama 100mil kisha aweke kitu cha kama 200mil then aoe kisha ahame siku ya harusi yake.

Mke wangu tulia hivyohivyoooo...na usisahau huyo ndio last born wetu na mie ndio kaka mkuu hapa dar.
 
Mwone ,,labda wewe ndo kila kitu hapo .

Yaaan Mimi niwe boss Wa nyumba ,, kila kitu nikitoe Mimi ,,hakuna kinachopungua ndani ,,, alafu eti ooohhhh Muondoe Dogo wako baby ujue keshapata kazi oohhhh analipwa 2 M ,,kwan nn umepungukiwa ??????? Yaaaan kufura kwako ndo shidah [emoji57] [emoji57] .

Utakua mchaga wewe au mnyakyusa. ... Kama nimimi daaahhh nahisi wewe ndo nahisi utakua umechoka kukaaa kwaiyo nilazima utaondoka wewe kwanza .

Mimi napenda kukaaa nawatu napenda nyumba yenye vicheko ,sio ulete mambo ya baby sasa nyumba niyetu wawili tuuu[emoji23] [emoji57] [emoji108] .alafu unakuta nyumba inavyumba sita,,,, ivo vingine unataka ufugie majini ???
hapo umechemka jike dume, mwenyewe ni mtafutaji mzuri sana na nina vyangu mpaka hapo alipo ni mikono yangu. ila lazima asepe tu hakuna namna. pole kama nawe ni muenga unaekaa kwa mashemeji
 
SURE MKUUU ,,TOKA NMEZALIWA LEO NDO NMEJIONEA MWANAMKE MWENYE ROHO MBAYA NAMNA HIII.

DAAAHHHH YAAAN NAYE KAOLEWA ..NAYE ANAMSHAURI MUMEWE WAMU TERMINATE DOGO.......KUDADEK KAMA NIMIM SIJUI KWAKWELI SIJUI.
kamalize kwanza shule nahisi na wewe unakaa kwa shemeji yako
 
hapo umechemka jike dume, mwenyewe ni mtafutaji mzuri sana na nina vyangu mpaka hapo alipo ni mikono yangu. ila lazima asepe tu hakuna namna. pole kama nawe ni muenga unaekaa kwa mashemeji
Teheeeee teheeeee ....kwakipi hasa???? .

Wewe + chamumeo ... Garama zangu za elimu tuuu bado hamjafikia.
 
Miaka yote hiyo alikuwa anasoma sasa kapata kazi miezi miwili tuu roho inakutoka...mke wangu acha hizo bana.

Ila pia ujuwe mie nikisafiri dogo anabaki home kuimarisha defence au unataka nitoke uniletee viben10 nyumbani kwangu...tulia doz iingie mke wangu.

dogo ataondoka akishajenga nyumba yake....anatafuta kiwanja mbezi beach cha kama 100mil kisha aweke kitu cha kama 200mil then aoe kisha ahame siku ya harusi yake.

Mke wangu tulia hivyohivyoooo...na usisahau huyo ndio last born wetu na mie ndio kaka mkuu hapa dar.
miezi 2 siningeufyata sababu hata kipindi cha majaribio kazini kinakua bado. sema miaka 2
 
Teheeeee teheeeee ....kwakipi hasa???? .

Wewe + chamumeo ... Garama zangu za elimu tuuu bado hamjafikia.
nyooo kawatambie madanga wenzio, yangu tu ni maisha yako yote mpaka hapo ulipo mpaka vimchepuko vyako.
 
Habari wana jamvini,

Niende moja kwa moja kwenye hoja kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi nimekaa na shemeji yangu toka yupo sekondari, amemaliza sekondari kamaliza chuo na ni nimemsaidia kapata kazi na analipwa milioni 2 na sasa kamaliza master.

Ila huyu shemeji yangu hataki kuhama nyumbani akajitegemee na mimi nahisi nimemchoka jamani, mpaka lifti asubuhi kazini nampa na mwacha kazini na jioni nampitia na hana aibu na kishoka mbele anakaa kwa kweli mimi nimemchoka kabisa.

Ila kumwambia ndo siwezi, na nikijaribu kumchomekea kaka ake naona ananipotezea hapa nafikiria nimwambie live shemeji kapange sababu kwakweli nahisi nimemchoka kama fadhira nimeshamfanyia.

Au nyie wanawake wenzangu mnawavumiliaga mpaka na kuozesha mnawaozesha? Hata mkate wenyewe kununua hanunui ela yake anajua mwenyewe inakoishia, mimi hata asiponunua sina shida ila shida yangu sasa ni haondoke akapange. Mimi kwa upande wangu sina hata ndugu yangu ninaye kaa nae na hajawai kukaa.

Kwakweli bwana shemeji nimekuchoka, na nyie mashemeji mlioko humu mnaokaa kwa kaka zenu siyo mnakaa kama mmefika mwisho wa reli.
Ni kweli umemchoka lkn jua huyo ni mwanaume na anakazi inayomlipa kwahyo hawezi kua bongolala bila kua na mipango yoyote

angalia fadhira zako za miaka 10 zisipuuzwe kwa kumwambia ahame au umuongelee maneno ya kumhamisha,, Hapana

we ongea na mumeo kua mdogo wako ana mipango gani na maisha yake then atakachokujibu mumeo ndo hicho hicho kilichopo

huwezi jua labda ana eneo na ana mpango wa kujenga *wanaume hua tunafanya mambo mengine kwa siri ili tufanikishe haraka kuliko ukimshirikisha mtu*

we vumilia muda wa kuhamia kwake utafika tu tena labda ana mpango huo ila anahofia kuuwakirisha kwenu akihisi mtamfikiria vibaya
 
nyooo kawatambie madanga wenzio, yangu tu ni maisha yako yote mpaka hapo ulipo mpaka vimchepuko vyako.
Nyokooo mwenyewe kahabaaa...

Unamaisha yepi wewe yakuja hata kuniashawishi naww niseme una maisha ?????[emoji57] [emoji57] [emoji57] .

Narudia ,wewe +mumeo + nguvu zenu zote kwapamoja ......bado hata hamna cha kunifanya nijue mnakitu...

UMASIKINI NDIO UNAWAPA ROHO MBAYA ..
 
naona vigoro vinakusumbua ngoja nikuache jike dume.
 
Nyokooo mwenyewe kahabaaa...

Unamaisha yepi wewe yakuja hata kuniashawishi naww niseme una maisha ?????[emoji57] [emoji57] [emoji57] .

Narudia ,wewe +mumeo + nguvu zenu zote kwapamoja ......bado hata hamna cha kunifanya nijue mnakitu...

UMASIKINI NDIO UNAWAPA ROHO MBAYA ..
kahaba mama ako aliyeshindwa kukupa ukweli wa baba ako.
 
Back
Top Bottom