Shemeji yangu ana roho mbaya anataka Mimi nirudi kijijini

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,196
Reaction score
14,371
Mimi BabaMorgan mwaka huu kidogo mambo yangu hayakuniendea vizuri hususani kipindi cha katikati ya mwaka(mwezi wa 6 & 7) kitu kilichopelekea kutoka sehemu niliyokuwapo nakuanza kusafiri bila ya kujua naelekea wapi na nilishawahi kupandisha Uzi humu jukwaani kutaka msaada maana nilihisi kuwa naanza kuundergo mental illness. Zile safari zangu za kutojua naelekea wapi tamati yake ilikuwa huko Namtumbo wilayani Ruvuma nilifika nikiwa hoi kifedha, kiakili na hata kimwili Kwa kujikongoja nilianzisha biashara ya bango la umachinga nikawa najikongoja mdogo mdogo.

Baada ya Dada yangu anayeishi Dar es salaam kupata taarifa zangu ni kama aliguswa sana na kuumia kuona Mimi mdogo wake pekee wa kiume kubangaiza kijijini. Akanipigia simu akaniomba tena kwa kunilazimisha kuwa mimi kama mdogo wake ni vyema niende Dar es salaam kutuliza akili na pia atanipatia connection ya kupata chochote kitu kuliko kubaki kijijini kishingo upande nikakubaliana na ombi la dada na immediately nikauza bango langu nakukata tiketi kuelekea Dar es salaam.

Nikafika vizuri Dar es salaam nikamkuta dada na mume wake pamoja na Mtoto wao anayesoma form four kabla ya kufanya chochote nilipewa maji ya kuoga nikaoga nilipomaliza dada akanipa lotion yake pamoja na nguo za shemeji nivae nikakaribishwa chakula nilipomaliza kula nikaonyeshwa chumba nikapumzika.

Siku iliyofuata nikakaa na dada na kumueleza yote niliyopitia mpaka kufika pale kwake alisikitika na akaniambia nijisikie nipo nyumbani ataongea na shemeji niwe naenda naye kazini kwake kumsaidia Kwa sababu nikikaa nyumbani nitaona muda hauendi kweli nikaanza kwenda kazini Kwa shemeji.

Dada akawa ananipa nauli na Hela ya kula kusema ukweli within a short time nikaanza kupendeza na kunenepa dada akawa ananipa nguo za shemeji kiukweli zilikuwa zinanipendeza kuzidi hata shemeji mwenyewe kumbe Ile love anayoionyesha dada yangu kumbe shemeji hataki na Kuna siku alishawahi kuleta mjadala kuwa maisha ya mjini ni magumu kuliko kijijini kumbe lengo lake ni kutengeneza mazingira ya Mimi kurudi kijijini.

Sasa Jana nimeumia sana Dada na mume wake wananiambia nirudi kijijini kiukweli hili swala limeniumiza Toka Jana sijala zaidi ya kunywa juisi Kila nikijaribu kutafuta logic ya Mimi kurudi Namtumbo sioni.

Kama walikuwa hawapo tayari kunisaidia Kwa Nini waliniambia nije mjini wakati nilikuwa nishaanzisha business yangu kitu kilichopelekea Mimi kutumia mtaji wangu kwenye nauli.

Hapo awali nimepandisha Uzi wa kuwa wiki ijayo naenda kutrend Tanzania nzima atakayethubutu kuniamsha jtatu saa kumi na Moja nikapande bus Magufuli Terminal trust me ndio huyohuyo atakaenifanya nitrend Tanzania nzima alaaaa.

Nasema Round hii tutakanyagana.
 
Shemeji anakuzibia sio [emoji2][emoji2][emoji2]

Na wakati huohuo anampiga "mti" dada 'ako hapo lazima ujae sumu
Shemeji mwenyewe kapigwa tafu na dada alikuwa choka mbaya saa hivi kapata kakitambi anaanza kunikazia na chanzo kikubwa ni Mimi kuanza kushine na kusifiwa na wateja wake
 
Mimi BabaMorgan mwaka huu kidogo mambo yangu hayakuniendea vizuri hususani kipindi cha katikati ya mwaka(mwezi wa 6 & 7) kitu kilichopelekea kutoka sehemu niliyokuwapo nakuanza kusafiri bila ya kujua naelekea wapi na nilishawahi kupandisha Uzi humu jukwaani kutaka msaada maana nilihisi kuwa naanza kuundergo mental illness. Zile safari zangu za kutojua naelekea wapi tamati yake ilikuwa huko Namtumbo wilayani Ruvuma nilifika nikiwa hoi kifedha, kiakili na hata kimwili Kwa kujikongoja nilianzisha biashara ya bango la umachinga nikawa najikongoja mdogo mdogo.

Baada ya Dada yangu anayeishi Dar es salaam kupata taarifa zangu ni kama aliguswa sana na kuumia kuona Mimi mdogo wake pekee wa kiume kubangaiza kijijini. Akanipigia simu akaniomba tena kwa kunilazimisha kuwa mimi kama mdogo wake ni vyema niende Dar es salaam kutuliza akili na pia atanipatia connection ya kupata chochote kitu kuliko kubaki kijijini kishingo upande nikakubaliana na ombi la dada na immediately nikauza bango langu nakukata tiketi kuelekea Dar es salaam.

Nikafika vizuri Dar es salaam nikamkuta dada na mume wake pamoja na Mtoto wao anayesoma form four kabla ya kufanya chochote nilipewa maji ya kuoga nikaoga nilipomaliza dada akanipa lotion yake pamoja na nguo za shemeji nivae nikakaribishwa chakula nilipomaliza kula nikaonyeshwa chumba nikapumzika.

Siku iliyofuata nikakaa na dada na kumueleza yote niliyopitia mpaka kufika pale kwake alisikitika na akaniambia nijisikie nipo nyumbani ataongea na shemeji niwe naenda naye kazini kwake kumsaidia Kwa sababu nikikaa nyumbani nitaona muda hauendi kweli nikaanza kwenda kazini Kwa shemeji.

Dada akawa ananipa nauli na Hela ya kula kusema ukweli within a short time nikaanza kupendeza na kunenepa dada akawa ananipa nguo za shemeji kiukweli zilikuwa zinanipendeza kuzidi hata shemeji mwenyewe kumbe Ile love anayoionyesha dada yangu kumbe shemeji hataki na Kuna siku alishawahi kuleta mjadala kuwa maisha ya mjini ni magumu kuliko kijijini kumbe lengo lake ni kutengeneza mazingira ya Mimi kurudi kijijini.

Sasa Jana nimeumia sana Dada na mume wake wananiambia nirudi kijijini kiukweli hili swala limeniumiza Toka Jana sijala zaidi ya kunywa juisi Kila nikijaribu kutafuta logic ya Mimi kurudi Namtumbo sioni.

Kama walikuwa hawapo tayari kunisaidia Kwa Nini waliniambia nije mjini wakati nilikuwa nishaanzisha business yangu kitu kilichopelekea Mimi kutumia mtaji wangu kwenye nauli.

Hapo awali nimepandisha Uzi wa kuwa wiki ijayo naenda kutrend Tanzania nzima atakayethubutu kuniamsha jtatu saa kumi na Moja nikapande bus Magufuli Terminal trust me ndio huyohuyo atakaenifanya nitrend Tanzania nzima alaaaa.

Nasema Round hii tutakanyagana.
Kwanza acha lawana,humu duniani,ulizaliwa peke yako,hakuna unayemdai,na sio lazima watu wakusaidie(ukiacha wazazi mpaka utoke mikononi mwao),we sepa,msaada sio haki,huna haki ya kudai usaidiwe na ndugu,shemeji rafiki,ukisaidiwa poa,usiposaidiwa,acha kulalamika,hakuna aliyekuja duniani kusadia watu au kusaidiwa,ndio Dunia ilivyo,hizi ndugu lawama huwa zinaanza pale vijana wanapofikiri ni haki yao kusaidiwa na kaka,dada,mjomba,marafiki,sio kweli mangi!!
 
Mkuu nashukuru Sana ila kinachoniumiza sanasana ni Kwa nini waliniahidi kunisaidia kitu kilichopelekea kusimamisha mipango yangu na Kwa Nini ghafla waniambie nirudi kijijini kusema Nina tabia mbaya sio kweli
 
Kuna Maisha Mwanaume unapitia unajikuta unawaonea wivu Wanawake kwakua walipewa "K"

Yaan sometimes, msione Wanawake wanakua watu wa "K Kwa Pesa" mkahisi wanataka hayo Maisha ..la hasha !!.

Unakuta naye kasoma vizuri tu ila Kazi Hana, Hata thumuni Hana, hapo anataka avae vizuri, saluni, ale, ajionyeshe IG , simu Kali n.k baaasi Wanawake wanajikuta wanatumia walichopewa !!.

Sababu hiii Kwa wanaume wasiojishughulisha, wengi wamependa Pombe na vya buree, matokeo yake wanaume siku hizi nao wameamua kugawa Vinyeooo !!!

Hali ni ngumu mtaani, ila inahitaji Consistency, na ifike Mahali Ujipongeze wewe mwenyewe hata Kwa kidogo bila kusubiri watu wakupongeze na Kumuomba Mungu sana na kulinda Afya dhidi ya Ulevi, Uvutaji, Ngono Zembe , pamoja na Moyo wa Kusaidia wahitaji .

Pole sana, Usije kuthubutu Hasira kukushinda sababu tu unaogopa kurudi Namtumbo wakati mjin imekufanya Unenepe, Unavaa vizuri, madem wanakushobokea???... Kwa Shemeji yako sio kwako, Kuna muda unahitaji uwe Na Mke wako ,watoto n.k .

Sasa familia haiji Kwa miujiza, ni wewe unayeitengeneza Leo.

Labda nikupe Siri, Mafanikio yoyote ya Mwanadam, ni matokeo ya mipango yako, Hustles zake usiku mchana, na Baraka za Mungu .

Shemeji, Ndugu, Wala nani, hamna na hatokaa kukuletea Maisha.

Lakini pia kwenye upande wa Pili ambao ni wachache tu ndo tunalifaham hili "ili Ufanikiwe Kwa kuanzia chini ni lazima ufanye kile ambacho watu wengi hawawezi kukifanya, na hawakufanyi sababu tu kitawatia Aibu machoni mwa watu ".

Jumatatu Amka Mapema , Oga na Jiandae wajue kabisa unajiandaa .

Mwambie Mungu kwamba unarudi kwenu ukiwa mikono mitupu kama ulivyozaliwa.

Mtake Mungu akupe Moyo wa uvumilivu na Moyo wenye juhudi za kufanya kazi utakazokumbana nazo ili mradi ni kazi Halali na uzifanye bila kuangalia watu , akili yako na macho yako Kila siku yatazame mbele , mbeleni Kuna mambo Mazuri sana Kwa Kila mwanadam anayejishughulisha.

Humu Ndani ,Kila mtu akisema akuambia Habari yake, utajikuta unashika shavu na kusema 'Eeh Kumbe Bora Mimi".

Ila kwakua ni wewe ni Mmoja ya wenye uthubutu mpaka unaandika hapa , basi tambua unao uthubutu wa kufanya jambo Fulani kwaali ya maisha yako yajayo .

Dar isikuponze, Dar usione Vijana Wana ndinga, Dar usione Vijana kushinda Clubs, Bar na ma Stori Stori ya Hela , Dar, Kila kijana umuonaye Barabaran ana Siri yake Moyoni.
 
Mimi BabaMorgan mwaka huu kidogo mambo yangu hayakuniendea vizuri hususani kipindi cha katikati ya mwaka(mwezi wa 6 & 7) kitu kilichopelekea kutoka sehemu niliyokuwapo nakuanza kusafiri bila ya kujua naelekea wapi na nilishawahi kupandisha Uzi humu jukwaani kutaka msaada maana nilihisi kuwa naanza kuundergo mental illness. Zile safari zangu za kutojua naelekea wapi tamati yake ilikuwa huko Namtumbo wilayani Ruvuma nilifika nikiwa hoi kifedha, kiakili na hata kimwili Kwa kujikongoja nilianzisha biashara ya bango la umachinga nikawa najikongoja mdogo mdogo.

Baada ya Dada yangu anayeishi Dar es salaam kupata taarifa zangu ni kama aliguswa sana na kuumia kuona Mimi mdogo wake pekee wa kiume kubangaiza kijijini. Akanipigia simu akaniomba tena kwa kunilazimisha kuwa mimi kama mdogo wake ni vyema niende Dar es salaam kutuliza akili na pia atanipatia connection ya kupata chochote kitu kuliko kubaki kijijini kishingo upande nikakubaliana na ombi la dada na immediately nikauza bango langu nakukata tiketi kuelekea Dar es salaam.

Nikafika vizuri Dar es salaam nikamkuta dada na mume wake pamoja na Mtoto wao anayesoma form four kabla ya kufanya chochote nilipewa maji ya kuoga nikaoga nilipomaliza dada akanipa lotion yake pamoja na nguo za shemeji nivae nikakaribishwa chakula nilipomaliza kula nikaonyeshwa chumba nikapumzika.

Siku iliyofuata nikakaa na dada na kumueleza yote niliyopitia mpaka kufika pale kwake alisikitika na akaniambia nijisikie nipo nyumbani ataongea na shemeji niwe naenda naye kazini kwake kumsaidia Kwa sababu nikikaa nyumbani nitaona muda hauendi kweli nikaanza kwenda kazini Kwa shemeji.

Dada akawa ananipa nauli na Hela ya kula kusema ukweli within a short time nikaanza kupendeza na kunenepa dada akawa ananipa nguo za shemeji kiukweli zilikuwa zinanipendeza kuzidi hata shemeji mwenyewe kumbe Ile love anayoionyesha dada yangu kumbe shemeji hataki na Kuna siku alishawahi kuleta mjadala kuwa maisha ya mjini ni magumu kuliko kijijini kumbe lengo lake ni kutengeneza mazingira ya Mimi kurudi kijijini.

Sasa Jana nimeumia sana Dada na mume wake wananiambia nirudi kijijini kiukweli hili swala limeniumiza Toka Jana sijala zaidi ya kunywa juisi Kila nikijaribu kutafuta logic ya Mimi kurudi Namtumbo sioni.

Kama walikuwa hawapo tayari kunisaidia Kwa Nini waliniambia nije mjini wakati nilikuwa nishaanzisha business yangu kitu kilichopelekea Mimi kutumia mtaji wangu kwenye nauli.

Hapo awali nimepandisha Uzi wa kuwa wiki ijayo naenda kutrend Tanzania nzima atakayethubutu kuniamsha jtatu saa kumi na Moja nikapande bus Magufuli Terminal trust me ndio huyohuyo atakaenifanya nitrend Tanzania nzima alaaaa.

Nasema Round hii tutakanyagana.
Una umri gani baba Morgan? Yaani dada anakupa lotion yake unapaka, unavaa nguo za sehemji unapendeza kuliko shemeji? Na kupendeza ukaanza kupendeza, hongera sana
 
Hii thread nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

""Dada akawa ananipa nauli na Hela ya kula kusema ukweli within a short time nikaanza kupendeza na kunenepa dada akawa ananipa nguo za shemeji kiukweli zilikuwa zinanipendeza kuzidi hata shemeji mwenyewe kumbe Ile love anayoionyesha dada yangu kumbe shemeji hataki na Kuna siku alishawahi kuleta mjadala kuwa maisha ya mjini ni magumu kuliko kijijini kumbe lengo lake ni kutengeneza mazingira ya Mimi kurudi kijijini.""
 
Kuna Maisha Mwanaume unapitia unajikuta unawaonea wivu Wanawake kwakua walipewa "K"

Yaan sometimes, msione Wanawake wanakua watu wa "K Kwa Pesa" mkahisi wanataka hayo Maisha ..la hasha !!.

Unakuta naye kasoma vizuri tu ila Kazi Hana, Hata thumuni Hana, hapo anataka avae vizuri, saluni, ale, ajionyeshe IG , simu Kali n.k baaasi Wanawake wanajikuta wanatumia walichopewa !!.

Sababu hiii Kwa wanaume wasiojishughulisha, wengi wamependa Pombe na vya buree, matokeo yake wanaume siku hizi nao wameamua kugawa Vinyeooo !!!

Hali ni ngumu mtaani, ila inahitaji Consistency, na ifike Mahali Ujipongeze wewe mwenyewe hata Kwa kidogo bila kusubiri watu wakupongeze na Kumuomba Mungu sana na kulinda Afya dhidi ya Ulevi, Uvutaji, Ngono Zembe , pamoja na Moyo wa Kusaidia wahitaji .

Pole sana, Usije kuthubutu Hasira kukushinda sababu tu unaogopa kurudi Namtumbo wakati mjin imekufanya Unenepe, Unavaa vizuri, madem wanakushobokea???... Kwa Shemeji yako sio kwako, Kuna muda unahitaji uwe Na Mke wako ,watoto n.k .

Sasa familia haiji Kwa miujiza, ni wewe unayeitengeneza Leo.

Labda nikupe Siri, Mafanikio yoyote ya Mwanadam, ni matokeo ya mipango yako, Hustles zake usiku mchana, na Baraka za Mungu .

Shemeji, Ndugu, Wala nani, hamna na hatokaa kukuletea Maisha.

Lakini pia kwenye upande wa Pili ambao ni wachache tu ndo tunalifaham hili "ili Ufanikiwe Kwa kuanzia chini ni lazima ufanye kile ambacho watu wengi hawawezi kukifanya, na hawakufanyi sababu tu kitawatia Aibu machoni mwa watu ".

Jumatatu Amka Mapema , Oga na Jiandae wajue kabisa unajiandaa .

Mwambie Mungu kwamba unarudi kwenu ukiwa mikono mitupu kama ulivyozaliwa.

Mtake Mungu akupe Moyo wa uvumilivu na Moyo wenye juhudi za kufanya kazi utakazokumbana nazo ili mradi ni kazi Halali na uzifanye bila kuangalia watu , akili yako na macho yako Kila siku yatazame mbele , mbeleni Kuna mambo Mazuri sana Kwa Kila mwanadam anayejishughulisha.

Humu Ndani ,Kila mtu akisema akuambia Habari yake, utajikuta unashika shavu na kusema 'Eeh Kumbe Bora Mimi".

Ila kwakua ni wewe ni Mmoja ya wenye uthubutu mpaka unaandika hapa , basi tambua unao uthubutu wa kufanya jambo Fulani kwaali ya maisha yako yajayo .

Dar isikuponze, Dar usione Vijana Wana ndinga, Dar usione Vijana kushinda Clubs, Bar na ma Stori Stori ya Hela , Dar, Kila kijana umuonaye Barabaran ana Siri yake Moyoni.
Mkuu hii comment yako imenifanya nitokwe na tears na ask myself why me nilikuwa na kwangu Mimi narudi anytime nikifika naulizwa unakula kwanza au unaoga najibu Kwa confidence kuwa nakula tu siogi.
 
Mimi BabaMorgan mwaka huu kidogo mambo yangu hayakuniendea vizuri hususani kipindi cha katikati ya mwaka(mwezi wa 6 & 7) kitu kilichopelekea kutoka sehemu niliyokuwapo nakuanza kusafiri bila ya kujua naelekea wapi na nilishawahi kupandisha Uzi humu jukwaani kutaka msaada maana nilihisi kuwa naanza kuundergo mental illness. Zile safari zangu za kutojua naelekea wapi tamati yake ilikuwa huko Namtumbo wilayani Ruvuma nilifika nikiwa hoi kifedha, kiakili na hata kimwili Kwa kujikongoja nilianzisha biashara ya bango la umachinga nikawa najikongoja mdogo mdogo.

Baada ya Dada yangu anayeishi Dar es salaam kupata taarifa zangu ni kama aliguswa sana na kuumia kuona Mimi mdogo wake pekee wa kiume kubangaiza kijijini. Akanipigia simu akaniomba tena kwa kunilazimisha kuwa mimi kama mdogo wake ni vyema niende Dar es salaam kutuliza akili na pia atanipatia connection ya kupata chochote kitu kuliko kubaki kijijini kishingo upande nikakubaliana na ombi la dada na immediately nikauza bango langu nakukata tiketi kuelekea Dar es salaam.

Nikafika vizuri Dar es salaam nikamkuta dada na mume wake pamoja na Mtoto wao anayesoma form four kabla ya kufanya chochote nilipewa maji ya kuoga nikaoga nilipomaliza dada akanipa lotion yake pamoja na nguo za shemeji nivae nikakaribishwa chakula nilipomaliza kula nikaonyeshwa chumba nikapumzika.

Siku iliyofuata nikakaa na dada na kumueleza yote niliyopitia mpaka kufika pale kwake alisikitika na akaniambia nijisikie nipo nyumbani ataongea na shemeji niwe naenda naye kazini kwake kumsaidia Kwa sababu nikikaa nyumbani nitaona muda hauendi kweli nikaanza kwenda kazini Kwa shemeji.

Dada akawa ananipa nauli na Hela ya kula kusema ukweli within a short time nikaanza kupendeza na kunenepa dada akawa ananipa nguo za shemeji kiukweli zilikuwa zinanipendeza kuzidi hata shemeji mwenyewe kumbe Ile love anayoionyesha dada yangu kumbe shemeji hataki na Kuna siku alishawahi kuleta mjadala kuwa maisha ya mjini ni magumu kuliko kijijini kumbe lengo lake ni kutengeneza mazingira ya Mimi kurudi kijijini.

Sasa Jana nimeumia sana Dada na mume wake wananiambia nirudi kijijini kiukweli hili swala limeniumiza Toka Jana sijala zaidi ya kunywa juisi Kila nikijaribu kutafuta logic ya Mimi kurudi Namtumbo sioni.

Kama walikuwa hawapo tayari kunisaidia Kwa Nini waliniambia nije mjini wakati nilikuwa nishaanzisha business yangu kitu kilichopelekea Mimi kutumia mtaji wangu kwenye nauli.

Hapo awali nimepandisha Uzi wa kuwa wiki ijayo naenda kutrend Tanzania nzima atakayethubutu kuniamsha jtatu saa kumi na Moja nikapande bus Magufuli Terminal trust me ndio huyohuyo atakaenifanya nitrend Tanzania nzima alaaaa.

Nasema Round hii tutakanyagana.
Wewe hauna nguo mpaka uvae nguo za shemeji yako?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtoto wa kiume unalialia namna hii
 
Mkuu hii comment yako imenifanya nitokwe na tears na ask myself why me nilikuwa na kwangu Mimi narudi anytime nikifika naulizwa unakula kwanza au unaoga najibu Kwa confidence kuwa nakula tu siogi.
Mfyuuuuuuuuuu unaumwa wewe, Sasa hayo maswali ya kuulizwa na Dada yako?
 
Back
Top Bottom