Mtu ana master's, kasaidiwa tangu akiwa shule ya upili! Kujipanga gani huko, Umeshindwa kuendesha maisha yako na una masters na kazi nzuri? Kweli watu wanasomea ujinga.Wanawake wanarojo mbaya sana au kisa si ndugu yako mbna mnakua n ubinafsi sana hauwezi jua Labda MTU ndo anajipanga aanze maisha yake vzur, ebu kua na roho nzur bc Hata kwa mwenyezi Mungu atakubariki
Dah... Muacheni ale maisha kwa braza wake bana.....acheni wivu[emoji87]Wanaume maganda ya ndizi watakuona una roho mbaya.....
Nae hana aibu pambaf zake, 9years unauweka tu kwa mtu mmh
Dada huyu yupo sahihi kabisa,, kama mtu anajiweza aanze maisha yake awaachie faragha wanandoa na watoto wao,,, yupo sahihi kabisa huyu dada wala sio roho mbaya tena kasema amechoka sio anamchukia hapana amechoka kabisa kulisha mtu mzima anayejimuduWanawake wanarojo mbaya sana au kisa si ndugu yako mbna mnakua n ubinafsi sana hauwezi jua Labda MTU ndo anajipanga aanze maisha yake vzur, ebu kua na roho nzur bc Hata kwa mwenyezi Mungu atakubariki
Pambaffff! Wewe mbona umeishi na kaka yake kipindi chote kwani ni ndugu yako? Roho mbaya na choyomhazijawahi kumwacha mtu salama,utaanzia kwa mdogo wa mumeo kisha utaenda kwa wazazi wake...pambafff tena!usilolijua ni kama ni usiku wa giza, fadhira zote izo nilizotenda bado unaona bure, miaka 9 unaenda wa 10 ninae. sasa kujipanga vip unakuta? acha niwe na roho mbaya
Kuanzia secondary hadi kamaliza chuo na ana kazi haoni hata aibu,siyo roho mbaya ni aibu sana huyo anafaa kufukuzwa kama mbwa,mwanaume lazima ujitegemeeWanawake wanarojo mbaya sana au kisa si ndugu yako mbna mnakua n ubinafsi sana hauwezi jua Labda MTU ndo anajipanga aanze maisha yake vzur, ebu kua na roho nzur bc Hata kwa mwenyezi Mungu atakubariki