lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,608
- 2,064
Bado anahitaji kuelekezwa,mtafutieni kiwanja mwambieni anunue, kisha msimamieni aanze kujenga.
Akimaliza ujenzi naamini atahama na hatowasahau katika maisha yake, si kila MTU ana upeo kama ww endelea kumsaidia ulipomtoa ni mbali.