jozee jose
Senior Member
- Sep 22, 2022
- 147
- 360
Nilichogundua ni kwamba hawakutegi kwa lolote ni uzinzi tu unakusumbua1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.
2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama ilivyokua kwa siri kwa Shangazi wa mke wangu (Oktoba 2023) au nikaushe tu? maana mashallah, mkia si haba. Kama mnavyofahamu Kondoa si haba kwa rangi adhimu, mkia na sura. Japo swala 5
Siku hizi hilo watu wamelichukulia kama utamaduni hasa mikoa kama Dar, Pwani. Lindi na Mtwara sijui wanashida gani...Yaan uzinzi wao ni kitu cha kushabikia kama mpira
Nashangaa hapo sijui usaidiwe nini na wakati mwenyewe umeonesha nia ya kuwatamani
Kumbuka mwanadamu hujaribiwa kulingana na tamaa yake mwenyewe.
Waache waende mabinti wa upande wa mkeo ni wakuwaheshimu sanaaaa, kila utakachowafanyia kitakupunguzia uhaminifu kabisaa kwa hao ndugu,
Kumbuka ya kwamba wanawake hawana kifua cha kuficha siri,