kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,440
- 23,009
Usiwacheleweshe ,swala tano hiyo nimfuniko tu kwao wanakulaje burebure pesa unaokota
nimecheka sana ,wangekuwa kwako usingejiuliza JFhahaha wewe usiseme kumbe wanyamwezi ndio zao hizo...itabidi nioe wakutoka huko
🤣🤣🤣🤣mkuu unataka mzigo na vifungashio vyake au siohahaha wewe usiseme kumbe wanyamwezi ndio zao hizo...itabidi nioe wakutoka huko
Angekuwa ashawalamaba kitambo labda angekuja kusimulia namna mashemwji walivyowatamunimecheka sana ,wangekuwa kwako usingejiuliza JF
sasa mwanawane unakuta kifaranga kina mvuto kuliko mama yake kwa nini usikapitie🤣🤣🤣🤣mkuu unataka mzigo na vifungashio vyake au sio
😆😆😆😆we jamaa mbingu utasikia walah dahsasa mwanawane unakuta kifaranga kina mvuto kuliko mama yake kwa nini usikapitie
wewe sio mie tuu sitaiskia mbingu. nilishawaambia humu ndani kuwa kabila pekee hapa duniani zitaiona mbingu ni mbili tuu; wazungu na wajapan.😆😆😆😆we jamaa mbingu utasikia walah dah
Kuna mwanaume hapo sasa?Mwambie mke wako nampa pole
Mwanaume anayejitambua angemuita mke wake chumbani na kumwambia "Sitaki kuwaona wadogo zako wakivaa uchi nyumbani kwangu'
Sana😁😀 😀😀 Hivi ukiliwa unakuwa na kiburi........
Wabillah Taufiq1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.
2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama ilivyokua kwa siri kwa Shangazi wa mke wangu (Oktoba 2023) au nikaushe tu? maana mashallah, mkia si haba. Kama mnavyofahamu Kondoa si haba kwa rangi adhimu, mkia na sura. Japo swala 5