Shekhe Ponda aachiwa huru

Shekhe Ponda aachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Amani tupu bila dawa hospitalini? Amani ya nje bila amani akilini....ubongo unawaza utakula nini? Hii ndo amani? Amani bila huduma muhimu, bila pesa? Amani huku wezi wachache wakigawana mabilioni ya kodi?

Wanaume wakidai haki za wanyonge wanaodhulumiwa wanaitwa wachochezi.......endelea kukumbatia amani huku ndugu zako wanakufa kibudu kwa kukosa dawa na huduma.. huku wanaume wenzio wakigawana billions of shillings...

Uwe na amani ya milele....

kwani hayo yote kasababisha Ponda?
 
hich kizee hovyoo kitafia gerezani et madai yào ndo anaiona pepo kwa kuleta fujo,vurugu na uchochezi nchini
ashukuru ofa ya kikwet ngoja atoke madarakani jk,halafu alete ufala wake ataolewa segerea
 
Anayefaa kupelekwa huko ni Askofu Kilaine kwa wizi wa fedha za watanzania masikini sio Sheikh Ponda ambaye hata kuiba penseli hajawahi

Mkuu ujinga ni mzigo wa milele usipo jipanga utakufa na mzigo huo wezi woote wapo magerezani kumuita MTU mwizi wakati haja dhibitishwa ni ujinga. Huyo Kilaini kamwibia nani.
 
Takbiiiiiiiiiiiir mpiganaji, mwanaharakati SHEIKH PONDA ISSA PONDA rudi tuendeleze mapambano%

Lakini lazima katika mapambano yenu noi lazma mfuate utaratibu wa kisheria katika madauyenu mnahaki yakudai chochote ispokua utaratibu nilazima ufuatwe vinginevyo mtaingia tena kwenye shida.
 
...loh!..: ﺣﺮﻛﺔ ﺍﻟﺸﺒﺎﺏ ﺍﻟﻤﺠﺎﻫﺪﻳﻦ ; Ḥ
kama ni kweli' tutegemee maadamano ya kila ijumaa, fujo, tindikali, na kuwashambulia viongozi wa dini itaanza tena!

we n chko
 
nchi hii masheikh huozea jela kwa kesi za kuunga unga na za kubambikwa. Mara utaambiwa magaidi baadae wachochezi na mengineyo ya ajabu ajabu. Lakini maaskofu na wachungaji wao wanazitafuna kiulaini tu kama mabilioni ya escrow na mou na nyinginezo. Haya ipo siku...time will tell

inauma xna
 
msihadae sheikh ponda hajaachiwa ana makosa na hukumu ni kifungo cha nje mwaka. mkimuaminisha ameachiwa bila shaka ataanza kile anachokijua sana...uchochezi wa kidini kwa kujifanya mtetezi wa haki za waislaam wakati hali halisi anaganga njaa.

Huyo anaganga njaa na wale Maaskofu wa Escrow vp,waliyojipigia mil.80?
 
ponda atatuliaa kama sio yeye , chezea jela wewe.

Halafu si walisema sio raia, na arudishwe huko somalia.

Sent from escrow bring back our money app using jamii forums

raia wa taifa hil c akna askfu klain na wenzke
 
hich kizee hovyoo kitafia gerezani et madai yào ndo anaiona pepo kwa kuleta fujo,vurugu na uchochezi nchini
ashukuru ofa ya kikwet ngoja atoke madarakani jk,halafu alete ufala wake ataolewa segerea

Na wale MaaskofuESCROW ushawatafutia wa kuwaoa segerea?
 
Mkuu ujinga ni mzigo wa milele usipo jipanga utakufa na mzigo huo wezi woote wapo magerezani kumuita MTU mwizi wakati haja dhibitishwa ni ujinga. Huyo Kilaini kamwibia nani.

Katuibiwa wananchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom