TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 10,745
- 29,219
Hujamaliza kusoma, huo mwaka mmoja ni kifungo cha nje.
kwahiyo mtu akifungwa kifungo cha nje ndio yupo huru?
Hujamaliza kusoma, huo mwaka mmoja ni kifungo cha nje.
Hii ni Taarifa mbaya kwa wapenda amani.
Sasa ushupavu wake ni nini? kufanya uchochezi.
Ni wajibu wa serikali kusafirisha watuhumiwa na kuwapeleka kule wanaohitajika. Hata Mbowe aliwahi kusafirishwa kwa Chopa toka Dar hadi Arushaserekali imetumia pesa nyingi kumsafirisha kwa helikopta na kusababisha vurugu zisizo na msingi kwa kutaka kumpiga risasi
sasa leo umamuachiamhuru sio mchochezi
Hizi ni sifa za kijinga kabisa. Ana ushujaa gani huyu mbulula ponda, kama ni shujaa hebu na tumsikie tena.
watu tunawaza namna ya kuiokoa nchi ww unatoa povu na ponda wako.. Mpe kijambio basi akukune si unawashwa??
Akili zingne sawa na kinyesi cha nguruwe
wellcome back uraiani sheikh hatuna muda wa kukufanyia sherehe tuko kwenye mapambano ya kudai chetu,njoo tuunganishe nguvu huku tuwapeleke huko ulipokuepo wewe team bring back our money
kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho wake,uwe mbaya au mzuri.baada ya kusota kwa mda mrefu lumande huku akiwa na kidonda cha risasi aliyopigwa morogoro mjini.hatimae mwenyezi mungu kasikia kilio cha mja wake shekhe PONDA.
Shekhe ponda jana kaachiwa huru kwakuwa hana hatia yoyote ile.
Sasa mziki ni uleule bakwata waludishe mali za waislamu walizo uza
Mtu kashekaa jela jumla ya miaka labda mitano au zaidi sasa hapo Mungu mkubwa sijui ni kwa lipiMungu mkubwa
maaskofu wanapata migao, masheikh wanakamatwa!