Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
siyo kweli acha unafikiMaaskofu wanaongozwa na Roho Mtakatifu kupata migao
siyo kweli acha unafikiMaaskofu wanaongozwa na Roho Mtakatifu kupata migao
kwa hiyo Ponda hana kosa tumia akili acha upumbavu wa kutetea mwalifumaaskofu wanapata migao, masheikh wanakamatwa!
mahakama ya ccm haiminiki tena mpaka majaji wamepewa pesa zetu za escrowMaamuzi ya Mahakama yaheshimiwe
unaonyesha kiasi gani serikali ya ccm haitumii akili ile kesi ya mbowe imeishia wapiNi wajibu wa serikali kusafirisha watuhumiwa na kuwapeleka kule wanaohitajika. Hata Mbowe aliwahi kusafirishwa kwa Chopa toka Dar hadi Arusha
siyo kweli acha unafiki
Nchi hii masheikh huozea jela kwa kesi za kuunga unga na za kubambikwa. Mara utaambiwa magaidi baadae wachochezi na mengineyo ya ajabu ajabu. Lakini maaskofu na wachungaji wao wanazitafuna kiulaini tu kama mabilioni ya escrow na mou na nyinginezo. Haya ipo siku...time will tell
kwenye wizi hawaongozwi na roho mtakatifu mkuu kanusha hilounakataa maaskofu hawaongozwi na roho mtakatifu ??
kwenye wizi hawaongozwi na roho mtakatifu mkuu kanusha hilo
wanaongozwa na roho mtakatifu katika kutenda mema kwenye wizi ni shetaniTunaambiwa hao ni watu wamechaguliwa na Mungu na huwa wanaongozwa na ROHO MTAKATIFU
Niambie baada ya kuiba hawajasemehe watu dhambi zao ????
Kweli maaskofu wamesomea uongo na wizi, bora wafuga ndevu lakini sio wezi wa fedha zetu.Poleni sana. Ila unajua tofauti kati ya mashekh na ma askofu ni kwamba ma askofu wameenda shule na ndio maana hata kama wanakula pesa ni sawa acha wale. Hayo ndio matunda ya kusoma. Ila sasa ma shekh ndugu yangu ni shiiidaaah!! Wanajua kufuga ndevu tu na kuzitia hina
Poleni sana. Ila unajua tofauti kati ya mashekh na ma askofu ni kwamba ma askofu wameenda shule na ndio maana hata kama wanakula pesa ni sawa acha wale. Hayo ndio matunda ya kusoma. Ila sasa ma shekh ndugu yangu ni shiiidaaah!! Wanajua kufuga ndevu tu na kuzitia hina
Ponda awe mtulivu kutugawa kidini haifai tuna mambo mengi ya kufanya..upuuzi wa kidini hatutaki
wanaongozwa na roho mtakatifu katika kutenda mema kwenye wizi ni shetani
Poleni sana. Ila unajua tofauti kati ya mashekh na ma askofu ni kwamba ma askofu wameenda shule na ndio maana hata kama wanakula pesa ni sawa acha wale. Hayo ndio matunda ya kusoma. Ila sasa ma shekh ndugu yangu ni shiiidaaah!! Wanajua kufuga ndevu tu na kuzitia hina
Yaani maaskofu kula hela za WIZI unaona sawa tu, maDINI mengine ovyo kabisa
wanaongozwa na roho mtakatifu katika kutenda mema kwenye wizi ni shetani
wanaongozwa na roho mtakatifu katika kutenda mema kwenye wizi ni shetani