Shekhe Ponda aachiwa huru

Shekhe Ponda aachiwa huru

Status
Not open for further replies.
vipi ponda na yeye aliolewa huko segerea?
amebahatika kupata watoto mapacha??

Mkuu hako ka Mchezo ka Wazee wa Vatican Shekh Ponda hawezi kua nako labda tusubiri hawa akina Keylain wakipelekwa Segerea ndo tuwaulize vzuri!
 
Hata hivyo Sheikh Ponda amehukumiwa kifungo cha nje mwaka mmoja kutokana na utetezi wake kuonyesha kulikuwa na nia ya kutenda kosa

Kosa: Shitaka la Uchochez
 
vipi ponda na yeye aliolewa huko segerea?
amebahatika kupata watoto mapacha??

Yule kidume wewe,unafikiri yule utamfananisha na hao wanaopewa tu Mil.80?halafu na wavyokapenda kale kamchezo sijui itakuaje...dini zengine majanga.
 
Waandishi wa habari wa kiswahili wanatulisha sumu tupu, hivi jaji anaamuaje kesi kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi?

Muandishi anadai Shekhe Ponda kashinda mashitaka yote yaliyomkabali, sasa kwa nini kahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje?

Unaambiwa jaji kasema mahakama hii haina competence ya kuamua shauri la ardhi lakini hapo hapo jaji katoa lecture kwamba ardhi ya wakfu haibadilishwi matumizi na kwamba Waislamu wafuate taratibu za kisheria kupata ardhi yao halali; sasa jaji kajuaje hii ni ardhi ya wakfu wakati bifu lenyewe ndio hilo hilo la umiliki wa ardhi na jaji keshasema hii sio court of competent jurisdiction kuamua hii ardhi ya nani???

Habari kwenye ma news reports ya kibongo yanakuacha na maswali and ma confusion. Na huyu ndio unaambiwa ni muandishi wa habari wa rais wa Tanzania, hivi umepata wapi qualifications za kuwa muandishi wa Ikulu wewe Michuzi jamani?
 
Maaskofu bana!!! Wanakula bure,wanalala bure kila kitu bure lakini hawaachi uashki majununi
 
Alionewa sio! Ngoja tena alete ujinga wake uone kama serikali haijampatia kitu inapenda!

mbona mlishindwa mwanzo ma maku nyie! mmeiba hela za escrow kuanzia maaskofu, mapadri waumini hadi li bank lenu, mnafirw nyie
 
pumbavu wewe! mwambieni askofu wenu arudishe pesa zetu na libenk lenu liache kutakatisha pesa haramu! mnajidai mna ma vyuo na ma shule mengi kumbe pesa ni za wizi! mou haiwatoshi?
Wizi,lakini hawatashtakiwa.
 
pumbavu wewe! mwambieni askofu wenu arudishe pesa zetu na libenk lenu liache kutakatisha pesa haramu! mnajidai mna ma vyuo na ma shule mengi kumbe pesa ni za wizi! mou haiwatoshi?
Ndo maana hamuelimiki kwa kukesha kwenye majamvi mkibong'oa tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom