Shekhe Ponda aachiwa huru

Shekhe Ponda aachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Polisi washamtia kilema cha mkono! Kumpiga risasi haikuwa sawa,kumpeleka mahakamani kama hivi ndio haki.
 
Halafu chakushangaza iweje Ponda aachiwe asibebwe lakini wewe ndio ukabebwa kulikoni na furaha kwa Ponda kachiwa? Hii picha inanipa wasiwasi sana Nguvu!
DSC_0085.JPG

usijitoe ufaham
huyo ni mmoja wa walioshitakiwa.
 
tz hakuna kinachoshindikana, mmeshasahau ya sitti mtemvu kuchakachua umri mnaona kama tukio la mwaka 90 kumbe juzi tu sasa mnaanza kupandishiwa cd nyingine

Sitti ashaachia ngazi tumkumbuke wa nn tena
 
Poleni sana. Ila unajua tofauti kati ya mashekh na ma askofu ni kwamba ma askofu wameenda shule na ndio maana hata kama wanakula pesa ni sawa acha wale. Hayo ndio matunda ya kusoma. Ila sasa ma shekh ndugu yangu ni shiiidaaah!! Wanajua kufuga ndevu tu na kuzitia hina

Hahahaa haaaa uwiii nimecheka
 
Kwa hivyo wanaendelea kusamehe watu huku wakiongozwa naroho mtakatifu wakati huohuo wanaiba huku wakiongozwa na shetani???

Askofu hana mamlaka wala uwezo wa kusamehe dhambi ya mtu, only God/lord
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom