Shekhe Ponda aachiwa huru

Shekhe Ponda aachiwa huru

Status
Not open for further replies.
bado wale wa zenj sasa.tusubiri tuone itakuwaje!!!!
 
Ccm wanajaribu kuhamisha akili za watu wasahau ya dodoma

tz hakuna kinachoshindikana, mmeshasahau ya sitti mtemvu kuchakachua umri mnaona kama tukio la mwaka 90 kumbe juzi tu sasa mnaanza kupandishiwa cd nyingine
 
Alhamdulillah! Allahu Akbar!
Haki na batwil havichangamani. watachelewesha tu kupatikana kwa haki ila mwishowe anayestahiki ataipata tu.

Allah akujaalie subra ewe kiongozi wa waumini wa Kiislamu Tanzania.
Waache wale wanafiki wacheza mpira waendelee na laghawi za dunia sisi tukaze kamba hadi haki idhihiri.
 
Shekhe Ponda aliiba nondo nakokoto. Kama ameachiwa kila ijuma kazi ni moja kukimbizana na maandamano.

Unavyoongea as if una uhakika, Thus why Allah sw ameweka siku ya hukumu kwa sababu duniani daima hakuna haki, wezi huitwa mashujaa na wanyonge always wamekuwa wakibambikiwa kesi. Maaskofu wauza madawa ya kulevya hawaguswi waja dhaifu wa Allah sw kama akina sheikh Ponda ndo wakustahili gerezani kila siku
 
Alhamdulillah! Shekhe Ponda ni shujaa na haogopi kusema iliyokweli Japo makafiri wanachukia ndio maana walitaka kumuua pale Morogoro.Tunamshukuru Allah kwa vile shekhe wetu bado yu hai.
Shekhe Ilunga katangulia mbele za haki na ametuachia mfumokristo unaotafuna taifa kama mchwa walavyo bua.
 
...loh!..: ﺣﺮﻛﺔ ﺍﻟﺸﺒﺎﺏ ﺍﻟﻤﺠﺎﻫﺪﻳﻦ ; Ḥ
kama ni kweli' tutegemee maadamano ya kila ijumaa, fujo, tindikali, na kuwashambulia viongozi wa dini itaanza tena!
 
nimeona maandamano ya watu kama 100 hivi bara2 ya bibi titi ,yaeleka kama wanashangilia kitu ila sijaelewa kwani wanaongea kiarabu

hahahaaa eti wanaongea kiarabu mbavu zangu umeniacha hoi.
 
Nimepata taarifa sasa hivi kuwa shehe Ponda kaachwa huru na mahakama. Naomba taarifa halisi wana jf.
Ponda Kaachiwa ili akamsake #Kilaini ampe mgao kidogo WA ESCROW ili walau nayeye ponda aweze faidi mema ya nchi japo kiduchu..
 
Last edited by a moderator:
Anayefaa kupelekwa huko ni Askofu Kilaine kwa wizi wa fedha za watanzania masikini sio Sheikh Ponda ambaye hata kuiba penseli hajawahi

Makafiri viumbe hatari na wabaya mno.

Chuki zao awali zilikuwa ndani/wakizificha.
Walaakin kwa sasa ni dhaahir shaahir.

Tuliobarikiwa/jaaliwa pata NEEMA ya Uislaam twasema hakuna DHULMA yenye kudumu na kama itadumu basi haitonufaisha.
 
...loh!..: ﺣﺮﻛﺔ ﺍﻟﺸﺒﺎﺏ ﺍﻟﻤﺠﺎﻫﺪﻳﻦ ; Ḥ
kama ni kweli' tutegemee maadamano ya kila ijumaa, fujo, tindikali, na kuwashambulia viongozi wa dini itaanza tena!

Weye si mwanzilishi wa chuki dhidi ya Uislaam.

Wapo walio asisi jambo hilo na walikipata kilichowastahiki.

Wala hapa nchini petu weye huna ukijuacho ila tu kumfurahikia Askofu KILAini kwa kupokea pesa za walipakodi kama mie.
 
Last edited by a moderator:
Kaachiwa kwa kesi ya Dar es salaam, but alikamatwa tena kwa kesi ya uchochezi Morogoro.
 
wamuache huru tu! alikuwa anapigania mali za waislam
zilizo hujumiwa na bakwataa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom