Shekhe Ponda aachiwa huru

Shekhe Ponda aachiwa huru

Status
Not open for further replies.
kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho wake,uwe mbaya au mzuri.baada ya kusota kwa mda mrefu lumande huku akiwa na kidonda cha risasi aliyopigwa morogoro mjini.hatimae mwenyezi mungu kasikia kilio cha mja wake shekhe PONDA.

Shekhe ponda jana kaachiwa huru kwakuwa hana hatia yoyote ile.
Sasa mziki ni uleule bakwata waludishe mali za waislamu walizo uza
 
Sasa ushupavu wake ni nini? kufanya uchochezi.
 
watu tunawaza namna ya kuiokoa nchi ww unatoa povu na ponda wako.. Mpe kijambio basi akukune si unawashwa??
Akili zingne sawa na kinyesi cha nguruwe
 
ESCROW, ESCROW! Huyo Ponda tumemzoea, kufungwa na kutoka mahabusu sio jambo la ajabu kwake. Wala hata kesi yake sijui ilikuwa inahusu nini!
 
watu tunawaza namna ya kuiokoa nchi ww unatoa povu na ponda wako.. Mpe kijambio basi akukune si unawashwa??
Akili zingne sawa na kinyesi cha nguruwe

Heshima ni muhimu kwa binaadam.ila ninawasiwasi na nasaba zako zinaweza kuwa na hayawani wa polini
 
Hizi ni sifa za kijinga kabisa. Ana ushujaa gani huyu mbulula ponda, kama ni shujaa hebu na tumsikie tena.
 
wellcome back uraiani sheikh hatuna muda wa kukufanyia sherehe tuko kwenye mapambano ya kudai chetu,njoo tuunganishe nguvu huku tuwapeleke huko ulipokuepo wewe team bring back our money
 
wellcome back uraiani sheikh hatuna muda wa kukufanyia sherehe tuko kwenye mapambano ya kudai chetu,njoo tuunganishe nguvu huku tuwapeleke huko ulipokuepo wewe team bring back our money

Nikweli kunaviongozi wa dini wamepewa mgao wa pesa haramu nao washikwe wapelekwe ukonga
 
ponda atatuliaa kama sio yeye , chezea jela wewe.

halafu si walisema sio raia, na arudishwe huko somalia.

sent from escrow bring back our money app using jamii forums
 
watu tunawaza namna ya kuiokoa nchi ww unatoa povu na ponda wako.. Mpe kijambio basi akukune si unawashwa??
Akili zingne sawa na kinyesi cha nguruwe

Hahahha mkuu ampe kabisa a.k.a kinyeo hahahaha
 
Anayefaa kupelekwa huko ni Askofu Kilaine kwa wizi wa fedha za watanzania masikini sio Sheikh Ponda ambaye hata kuiba penseli hajawahi

Ponda ni mwizi mzoefu, kabla hajaja Dar alikuwa anafanya magendo ya dawa za binadamu Kigoma to Zaire (DRC). Pia aliwahi ktkamatwa na silaha za moto mzito mzito Ziwa Tanganyika.
 
ponda atatuliaa kama sio yeye , chezea jela wewe.

halafu si walisema sio raia, na arudishwe huko somalia.

sent from escrow bring back our money app using jamii forums

Humjui vizuri...hajaanza kufungwa Leo mwenzio. Tanzania ingekuwa na wanaume wajasiri kama yule pesa za escrow zingerudi na kingeeleweka.....ila wanaume watanzania wachumba tu....maneno mengi vitendo hakuna.....
Hivi mnasubiri nini kuingia barabarani wakati huu ambapo hospitali hazina dawa kwa sababu serikali inadaiwa na msd? wakati huo huo watu wanagawana pesa za kodi katika viroba na maboksi?

Bora tungebaki wanawake watupu tu walau tungepanga mipango mikakati ya kuwachuna hao kina Rugemalira.... .
 
Toka lini mchochezi akawa shujaa Eti mkuu wabara?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom