Sherali na wenzake kukifilisi kituo cha yatima Ilemela, watataka walipwe Milioni 78

Nyanswe Nsame

Senior Member
Jul 9, 2019
158
175
Shekh Sherali kukifilisi kituo cha yatima Ilemela, atataka alipwe Milioni 78

Sakata la Sherali na kituo cha watoto yatima cha Ilemela Mwanza linazidi kuwatia mashakani watoto yatima wanaolelewa na kituo hicho cha Ilemela Yatima Islamic Foundation jijini Mwanza.

Mashaka makubwa kwa watoto hawa ni kutojua HATIMA yao KIMAISHA na KIELIMU kufuatia juhudi za Sherali kuendelea kupambana kituo hicho kimlipe fidia au kifilisiwe na kifungwe ili alipwe madai yake ya TUZO aliyoshinda dhidi ya kituo hicho kiasi cha Shilingi Milioni 78.

Kama ilivyoripotiwa huko nyuma kubwa Sherali Hussein mkazi wa jijini Mwanza na anayejitbulisha kama Sheikh na Mwanaharakati aliyewahi kuwemo kwenye bodi za msikiti wa Ijumaa na Shule ya Thaqafa kabla ya KUONDOLEWA na kisha muda wake na wengine kumalizika.

Sherali alifungua shauri mahakama kuu jiji Mwanza kudai KITUO cha Mayatima kimlipe fidia ya sh milion 78 kwa kuondolewa kazini akiwa meneja wa kituo hicho cha yatima.

Kituo cha Ilemela yatima Islamic Foundation kipo jijini Mwanza kinalea mayatima wengi zaidi ya 200 na kimedumu kwa miaka zaidi ya 20 sasa.

Kituo hicho pia kina kinamiliki na kuendesha vituo vya elimu ikiwemo madrasa, shule ya msingi na sekondari zote ni kwa ajili ya kuwaendeleza kielimu yatima wa kituo licha kuwepo watoto wachache kutoka nje ya kituo hicho na wanasoma katika shule za kituo hicho.

Miaka ya nyuma kidogo aliyekuwa meneja wa kituo hicho Sheikh Chilwani alipata matatizo ya kiusalama na kukaa mahabusu kwa zaidi ya miaka sita kabla ya kuachiwa huru kwa kutokuwa na hatia yoyote.

Wakati Sheikh Chilwani yupo mahabusu ndipo wajumbe wa bodi hiyo akiwemo Sherali walipokubaliana kumteua Sherali kushikilia nafasi ya Chilwani kwa muda kusimamia kituo hicho.

Kutokana na katiba ya Kituo hicho kiongozi anapokuwa katika majukumu halipwi mshahara wala haajiriwi bali anajitolea tu, isipokuwa akisafiri nje ya makazi au mkoa wake atalazimika kulipwa nauli malazi na chakula.

Sherrraly alipewa kusimamia kituo lakini baadaye aliondolewa na nafasi yake kupewa Abui Maftaha ambaye na yeye ajiuuzulu na nafasi yake kupewa Haj Bajber.

Baada ya muda mfupi tangu Sherali alipo kabidhiwa kituo hicho ghafla kiasi cha pesa zaidi ya milioni 200 zilizokuwa kwenye Account za shule hazikuonekana na kituo kilianza kuyumba sana.

Wajumbe wa bodi walipotaka maelezo zaidi Sherali aligoma na Ndipo alipoondolewa haswa baada ya yeye kukitekeleza kituo hicho katika wakati mgumu sana.

Baada ya muda Sherali aliibukia mahakamani kukidai kituo mishahara ya miezi 34 kwa madai Eti ya kuajiriwa na kulipwa milioni 3 kwa mwezi lakini alipotakiwa kuthibitisha makubaliano ya mshahara huo kinyume na katiba yao, lSherali hakufanya hivyo. Kufumba na kufumbua Sherali alishinda Kesi na kupata tuzo ya kulipwa milioni 78.

Pamoja na juhudi za waislamu kukata rufaa ili kukinusuru kikitoa hicho na kuwanusuru yatima bado Sherali akishinda rufaa hiyo.

Baada ya kuona juhudi za waislamu na taasisi za kiislamu kutaka suluhu baina ya Sherali na kituo hicho cha Yatima bado Sherali alikimbilia mahakamani kukazia hukumu ya kesi hiyo kutaka lazima alipwe.

Hivi karibuni kituo cha hicho cha yatima kilikwenda mahakama kuu na kuomba
Mahakama kufanya mapitio ya kesi hiyo "review"kuona kama kulikuwa na uhalali
wa Sherali kushinda kesi na kulipwa mamilioni hayo ya pesa.

Baada ya mapitio ya kesi hiyoJaji Moris aliomba kufanyike suluhu na kupitia suluhu hiyo iliyofanyiwa maamuzi tarehe 31.August 2023 Sherali alikubali kulipwa
milioni 25 tu na sio milioni 78.

Hata hivyo ..Mwenyekiti wa kituo Alhaj Dawood Chiliwan Alikuwa tayari kumlipa
Sherali milion 5 tu.

Lakini Sherraly amepinga kupokea na amepinga katakata suluhu hiyo.
Alipoulizwa kwanini amekataa suluhu hiyo ilihali Yeye Sheraaly anajua kuwa ni madai FEKI kwani alipoondoka hakuwa anadai hata senti tano napia kama muislamu je haoni kama kufanya hivyo atakuwa anawakomoa watoto yatima na kwenda kinyume na mafundisho ya uislamu..kudai MADAI Ya UONGO
ukizingatia yeye amejipambanua kama Sheikh na mwanaharakati wa kiislamu.
Sherali amesema hawezi kurudi nyuma katika jambo hilo anachotaka yeye alipwe pesa zote.

Shauri hili limepangwa kusikilizwa tena mahakamani hapo mnano tarehe 14
Septemba 2023. Kwa kifupi
Huyu ndio Sherally Husein Sherally ambaye yeye na Ndugu yake Bim wanadai ni wapambanaji wa Haki za Waislam..

Huo ni Unafiki mkubwa.. Hawa watu mtu na ndugu yake waacha kujitapa mbele za
watu .

Watu hawa wana sura mbili huku Hawana HURUMA NA MAYATIMA
WAISLAM tusikubali kuwapa nafasi za kuendelea kuwa VIONGOZI WETU.. LEO KAMA WANGEKUWA WATU WAZURI WANGEPOKEA HIYO MILLION 5 AMBAYO DAWOOD AMEWATAKA WACHUKUE LAKINI WAO HAWATAKI WANATAKA MILION 25 WATISHIA
kuwa kama hawalipwi wako tayari kukamata mali za Kituo..

WAISLAM TUUNGANE TUPAMBANE NA WATU MAFISADI WA MALI ZA WAISLAMU.
 
Poleni....mngemalizana mezani mambo ya maslahi haya...
 
Mahakamani ni ni fact na sio mihemko unless kesi iwe ya Kisiasa na Mlalamikaji ama Mlalamikiwa ni mpinzani.
mlipeni Sheral kilicho haki yake,kawaburuzeni Mahakamani zaidi ya mara 3 na kakubali kupunguza fidia toka 78 Milion hadi 25 Milion bado mnamzingua tu!!.
 
Mnatumia uwepo wa Watoto yatima kuwanyima watu haki zao,acheni propaganda mlipeni Jamaa kama mnadhani kadanganya na nyie fanyeni figusu huko huko mahakamani.
Acheni upumbavu wa kutumia neno yatima kama vivuli vya kuficha maovu
 
Kwa nini msiwasilishe hiyo Katiba yenu Mahakamani,hivi ni MTU gani anaweza kuwa anasimamia taasisi zote hizo kwa kigezo cha kujitolea.hii habari haina kichwa wala miguu
 
Shekh Sherali kukifilisi kituo cha yatima Ilemela, atataka alipwe Milioni 78

Sakata la Sherali na kituo cha watoto yatima cha Ilemela Mwanza linazidi kuwatia mashakani watoto yatima wanaolelewa na kituo hicho cha Ilemela Yatima Islamic Foundation jijini Mwanza.

Mashaka makubwa kwa watoto hawa ni kutojua HATIMA yao KIMAISHA na
KIELIMU kufuatia juhudi za Sherali kuendelea kupambana kituo hicho kimlipe fidia au kifilisiwe na kifungwe ili alipwe madai yake ya TUZO aliyoshinda dhidi ya kituo hicho kiasi cha Shilingi Milioni 78.

Kama ilivyoripotiwa huko nyuma kubwa Sherali Hussein mkazi wa jijini Mwanza
na anayejitbulisha kama Sheikh na Mwanaharakati aliyewahi kuwemo kwenye bodi za msikiti wa Ijumaa na Shule ya Thaqafa kabla ya KUONDOLEWA na kisha muda
wake na wengine kumalizika.

Sherali alifungua shauri mahakama kuu jiji Mwanza kudai KITUO cha Mayatima
kimlipe fidia ya sh milion 78 kwa kuondolewa kazini akiwa meneja wa kituo hicho cha yatima.

Kituo cha Ilemela yatima Islamic Foundation kipo jijini Mwanza kinalea mayatima wengi zaidi ya 200 na kimedumu kwa miaka zaidi ya 20 sasa.

Kituo hicho pia kina kinamiliki na kuendesha vituo vya elimu ikiwemo madrasa, shule ya msingi na sekondari zote ni kwa ajili ya kuwaendeleza kielimu yatima wa kituo licha kuwepo watoto wachache kutoka nje ya kituo hicho na wanasoma katika shule za kituo hicho.

Miaka ya nyuma kidogo aliyekuwa meneja wa kituo hicho Sheikh Chilwani alipata matatizo ya kiusalama na kukaa mahabusu kwa zaidi ya miaka sita kabla ya kuachiwa huru kwa kutokuwa na hatia yoyote.

Wakati Sheikh Chilwani yupo mahabusu ndipo wajumbe wa bodi hiyo akiwemo
Sherali walipokubaliana kumteua Sherali kushikilia nafasi ya Chilwani kwa muda
kusimamia kituo hicho.

Kutokana na katiba ya Kituo hicho kiongozi anapokuwa katika majukumu halipwi mshahara wala haajiriwi bali anajitolea tu,isipokuwa akisafiri nje ya makazi au mkoa wake atalazimika kulipwa nauli malazi na chakula.

Sherrraly alipewa kusimamia kituo lakini baadaye aliondolewa na nafasi yake
kupewa Abui Maftaha ambaye na yeye ajiuuzulu na nafasi yake kupewa Haj Bajber.

Baada ya muda mfupi tangu Sherali alipo kabidhiwa kituo hicho ghafla kiasi cha
pesa zaidi ya milioni 200 zilizokuwa kwenye Account za shule hazikuonekana na kituo kilianza kuyumba sana.

Wajumbe wa bodi walipotaka maelezo zaidi Sherali aligoma na Ndipo alipoondolewa ..
Haswa baada ya yeye kukitekeleza kituo hicho katika wakati mgumu sana.
Baada ya muda Sherali aliibukia mahakamani kukidai kituo mishahara ya miezi 34 kwa madai Eti ya kuajiriwa na kulipwa milioni 3 kwa mwezi lakini alipotakiwa kuthibitisha makubaliano ya mshahara huo kinyume na katiba yao.

Lakini Sherali hakufanya hivyo.
Kufumba na kufumbua Sherali alishinda Kesi na kupata tuzo ya kulipwa milioni 78.

Pamoja na juhudi za waislamu kukata rufaa ili kukinusuru kikitoa hicho na
kuwanusuru yatima bado Sherali akishinda rufaa hiyo.

Baada ya kuona juhudi za waislamu na taasisi za kiislamu kutaka suluhu baina ya Sherali na kituo hicho cha Yatima bado Sherali alikimbilia mahakamani kukazia hukumu ya kesi hiyo kutaka lazima alipwe.

Hivi karibuni kituo cha hicho cha yatima kilikwenda mahakama kuu na kuomba
Mahakama kufanya mapitio ya kesi hiyo "review"kuona kama kulikuwa na uhalali
wa Sherali kushinda kesi na kulipwa mamilioni hayo ya pesa.

Baada ya mapitio ya kesi hiyoJaji Moris aliomba kufanyike suluhu na kupitia suluhu hiyo iliyofanyiwa maamuzi tarehe 31.August 2023 Sherali alikubali kulipwa
milioni 25 tu na sio milioni 78.

Hata hivyo ..Mwenyekiti wa kituo Alhaj Dawood Chiliwan Alikuwa tayari kumlipa
Sherali milion 5 tu.

Lakini Sherraly amepinga kupokea na amepinga katakata suluhu hiyo.
Alipoulizwa kwanini amekataa suluhu hiyo ilihali Yeye Sheraaly anajua kuwa ni madai FEKI kwani alipoondoka hakuwa anadai hata senti tano napia kama muislamu je haoni kama kufanya hivyo atakuwa anawakomoa watoto yatima na kwenda kinyume na mafundisho ya uislamu..kudai MADAI Ya UONGO
ukizingatia yeye amejipambanua kama Sheikh na mwanaharakati wa kiislamu.
Sherali amesema hawezi kurudi nyuma katika jambo hilo anachotaka yeye alipwe pesa zote.

Shauri hili limepangwa kusikilizwa tena mahakamani hapo mnano tarehe 14
Septemba 2023. Kwa kifupi
Huyu ndio Sherally Husein Sherally ambaye yeye na Ndugu yake Bim wanadai ni wapambanaji wa Haki za Waislam..

Huo ni Unafiki mkubwa.. Hawa watu mtu na ndugu yake waacha kujitapa mbele za
watu .

Watu hawa wana sura mbili huku Hawana HURUMA NA MAYATIMA
WAISLAM tusikubali kuwapa nafasi za kuendelea kuwa VIONGOZI WETU.. LEO KAMA WANGEKUWA WATU WAZURI WANGEPOKEA HIYO MILLION 5 AMBAYO DAWOOD AMEWATAKA WACHUKUE LAKINI WAO HAWATAKI WANATAKA MILION 25 WATISHIA
kuwa kama hawalipwi wako tayari kukamata mali za Kituo..

WAISLAM TUUNGANE TUPAMBANE NA WATU MAFISADI WA MALI ZA WAISLAMU.
Katika Uislam hakuna vituo vya yatima, niliwahi kuandika hivi:

Inaonekana Kuna mambo mengi hatuyajui kuhusu kesi hii alafu hayo tunayosikia ni machache kati ya mengi......

Ukivua ushabiki wa kidini hapo utagundua kuna kitu hakipo sawa katika mfumo wa kiutawala wa kituo hicho.......

Roger that...!!
 
1. wakati milioni 200 zinapotea toka benki nani
walikuwa signatories?

2. kama meneja hakupaswa kulipwa mshahara
kama ulivyoeleza, ushahidi gani ulipelekea
mahakama ikubaliane na madai yake?

3. mlikubaliana mmalize nje ya mahakama ni
kwa kigezo kipi mlitaka kumlipa milioni 5
badala ya milioni 25?

4. hamuoni kama lengo la kituo ni kuwasaidia
mayatima halitimii sababu ya ubinafsi na
kutanguliza maslahi ya viongozi?

tupe mwanga kwenye hayo machache biidhin lllah.
 
Mnapenda kuungana!na wao wakisikia tu wameitwa "waislamu wenzangu"hata bila kumsikia huyo jamaa,utashangaa wameunga,,,, utasikia waislamu tuungane kuipambania bahari, bila hata kusoma kisa wakaungaaaaa,
 
Back
Top Bottom