Watu bwana, JF people have no honour. Respect the dead jamani. As for Yahya, inna lillahi wa inna ilaihi rajioon! Watu mnaleta siasa kwenye kifo cha mtu. Huo ni unyama kabisa, wakati wote hapa, pamoja na mama zenu, baba zenu, dada zenu, watoto wenu na hata wajukuu wote tuu lazima tuoze na harufu tutoe na kuliwa na wadudu ndio mtindo mmoja. Inasikitisha sana kuona ushabiki pale ambapo roho ya mtu inamtoka. Acheni siasa za jalalani kwani Slaa ana umri gani? hehehe.. Anyway my point is, let us respect the dead. Peace