Poleni ndugu wote wa Yahya Hussein; lakini pia hao wanaosema eti kesho ndo mwisho wa dunia si kweli. Hakuna mwisho wa dunia. Je, mwisho wa dunia kivipi? Je, ni mwisho wa sayari hii au ni maangamizi kwa viumbe wa dunia?
Wazungu ni waongo, kwani maangamizi pekee ya dunia yatatokana na sayari hii kugongwa na sayari nyingine kama historia inavyoonesha kuwa ajali ya aina hiyo ilitokea miaka milioni 165 iliyopita.
Ajali hiyo ilitokana na dunia kugongwa na sayari kubwa iitwayo Nimuri, ambayo historia ya wababiloni inasema, hupita karibu na dunia kila baada ya miaka 26,000. Nimuri, inasemkana ndo iliigonga duni na kupekea maangamizi ya binadamu wengi na wanyama waitwao Dinosario. Pia kishindo hicho kilisababisha dunia kukaa upande (inclined) kama inavyoonekana..
Historia ya wababiloni inasema Nimuri itaigonga tena dunia baada ya hiyo miaka 26,000, na hiyo italeta maangamizi ambayo yatasababisha dunia kuyumba na kuporomosha maendeleo yalokwishafikiwa na kizazi hiki. Hiyo itapelekea dunia na vilivyomo kuanza upya. Tusiogope maana wakati hatutakuwepo.