Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

dunian 2napita mbinguni ndio makazi 2po nyuma yako.RIP.
 
stay in peace forever shekh yahya..every one will follow after you, because in this world no one will stay forever..
 
Ahhh!,aende tu kwani hakutakiwa kufa?Sote tupo njia moja
 
ooooooh gosh I cant beliv masikio o macho yangu masikini shekh Yahya lest in peace men!!!
 
wakazi wa dar kuweni macho.........maana majini hayana pa kwenda.......yanaranda randa mjini.
 
Kuna tetesi kuwa shekh yahya hussein amefariki dunia???? Kuna mwenye habari zozote??????
 
rip rip rip rip rip rip rip rip rip rip rip.........
 
Kuna habari zisizothibitishwa kuwa Mtabiri Maarufu nchini,Sheikh Yahya Hussein amefariki dunia leo hii...If true,R.I.P.Sheikh....
 
Loh!
Kama ni kweli basi aliyotabiri mwenyewe yametimia!
Alisema mwaka huu mtu maarufu atakufa and it turns out yeye na umaarufu wake ametangulia!
 

acha unyanyapaa wewe! Kwani HIV ndio ugonjwa wa aibu!
Badilika
 
Ni Kweli Shehe Yahya amaefariki dunia angalia TBC 1 taarifa ya habari saa 7 mchana leo tarehe 20/05/2011!
R.I.P
 
vizuri kafa leo wikiend
kesho naenda kujiachia kusheherekea kifo hiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…