Sheikh yahya aokoka!!

Jayfour_King

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
1,135
128
Nimelazimika kuiweka habari hii kwenye jokes kwa sababu haijathibitishwa, tusubiri magazeti.
Habari zisizothibitishwa zinasema kwamba yule mnajimu maarufu nchini sheikh Yahya Hussein ameokoka jana katika kanisa la ufufuo lililopo Ubungo maji Dar es salaam.
Tutaendelea kupashana kadiri habari zitakavyokuwa zinapatikana.
 
Unajua hata watunga utani/jokes huwa wanaangalia vitu ambavyo at least vinawezekana na vinaendana!..
This is dead-impossible!
 
Katu hiyo haiwezekani kutokea, hata kwenye jokes haipaswi kuingia hata kidogo
 
Mmh sijui kama inawezekana.nilimuona j3 kwenye kipindi chake Channel 10 akisema kama mtu haamini utabiri wake achukue fomu.leo unatuambia kaokako sijui tusubiri magazeti.
 
Unajua hata watunga utani/jokes huwa wanaangalia vitu ambavyo at least vinawezekana na vinaendana!..
This is dead-impossible!
Mkuu PJ.
Inasemekana tukio hili limetokea jana (jumapili) na watu walikuwa kibao kanisa lilikuwa haliingiliki. Labda tuwaombe wadau wadau walioko Dar wafike pale ubungo ili watupe vya ukweli.
 
Nimelazimika kuiweka habari hii kwenye jokes kwa sababu haijathibitishwa, tusubiri magazeti.
Habari zisizothibitishwa zinasema kwamba yule mnajimu maarufu nchini sheikh Yahya Hussein ameokoka jana katika kanisa la ufufuo lililopo Ubungo maji Dar es salaam.
Tutaendelea kupashana kadiri habari zitakavyokuwa zinapatikana.

Mkuu
Umeamua kuchekesha umati, sio mbaya-wengine tulikuwa na stress angalau zimepungua baada ya kusoma post yako.

It's creative joke-however!.
 
Tuendelee kusubiri habari hizi najua kwa wengi haiingiii akilini lakini nothing is impossible.
 
Mmh sijui kama inawezekana.nilimuona j3 kwenye kipindi chake Channel 10 akisema kama mtu haamini utabiri wake achukue fomu.leo unatuambia kaokako sijui tusubiri magazeti.

kumbe huwa unaangalia kipindi chake??? duh.....
 
Hat Paulo (Sauli) nae alikuwa muuwaji lakini baada ya bwana kumtokea aliongoka na kuwa mtu mpya. Hivyo hata yahaya nae aweza kubadilika
 
kwa tuliokuwepo
ANYWAY HUU NI MOJA YA MIUJIZA ITAKAYOTOKEA 2010
WANANDUGU NI HIVI
KUNA SHEHE ANAITWA SHEIKH ALI BIN SULEIMAN
WA KUTOKA TANGA AKIONGOZANA NA WENZAKE 3
WAMEMKIRI BWANA YESU JUMAPILI KAMA MWOKOZI WA MAISHA YAO
KILICHOSHANGAZA WATU WALIKIRI WAMEKUWA NA VITA SAANA NA BABA
KATIKA ULIMWENGU WAROHO WAMECHHUKUA MISUKULE 5000 NA BAADHI
YAO IMEREJESHWA NA ASKOFU GWAJIMA NA KUKIRI WAMEPIGANA NAE SANA
WAKATI AKIWARUDISHA.....MENGINE ZAIDI KARIBU
UFUFUO NA UZIMA
KIINGILIO
BURE
 
Kwa maana hiyo kijiji kizima walikimaliza! Kama wapo 20 kama hawa inamaana 100,000 na hapo ni karibia wilaya nzima kama Pangani vile! Mhh, ama kweli!

Na hao waliorejeshwa, mbona hawasikiki? Kati ya 5000, watakuwa wamerejea basi hata 50, wawapi? Sasa si washirikiane na askofu kuwarejesha wote 5000. makubwa haya
 
Nimelazimika kuiweka habari hii kwenye jokes kwa sababu haijathibitishwa, tusubiri magazeti.
Habari zisizothibitishwa zinasema kwamba yule mnajimu maarufu nchini sheikh Yahya Hussein ameokoka jana katika kanisa la ufufuo lililopo Ubungo maji Dar es salaam.
Tutaendelea kupashana kadiri habari zitakavyokuwa zinapatikana.

Yote kwa Yesu yanawezekana, maana naye Yahya (Yohana Mbatizaji) Hussein ni Mzaliwa wa Abraham.
 
Kwa maana hiyo kijiji kizima walikimaliza! Kama wapo 20 kama hawa inamaana 100,000 na hapo ni karibia wilaya nzima kama Pangani vile! Mhh, ama kweli!

Na hao waliorejeshwa, mbona hawasikiki? Kati ya 5000, watakuwa wamerejea basi hata 50, wawapi? Sasa si washirikiane na askofu kuwarejesha wote 5000. makubwa haya

wapo wengi wamerudi mkuuu
karibu madhabahu ya mungu uone miujiza uitaji kupakwa mafuta
uwaone wanatoka mbele kabssa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom