Sheikh Sadik Godigodi ni wa kuigwa,apewe Tuzo ya amani.

Binafsi nampongeza sheikh
Godigodi pamoja na sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,wameonyesha
busara na hekima ya hali ya juu kwenye mgogoro huu wa kidini.wametoa
kauli nzuri zenye kujenga na sio kubomoa.
Mwenyezi mungu awabariki.

Wamena akili kuliko hata Jk! Ingekuwa wote wako hivi tungewaheshimu mno!
 
Ma-Sheikh wengi katika Uislamu walifungwa majela huku mikono na miguu yao ikiwa imefungwa minyororo.
Mmoja wao ni Ibn Taymiyah ambaye alikufia jela, lakini pamoja na kufungwa jela huku mikono na miguu yake ikiwa na minyororo lakini akili yake ilikuwa huru! hii ndio maana mpaka leo hii tunafaidika na ilmu yake iliyohifadhiwa kwenye vitabu alivyoviandika!

Lakini adui wako anapoiteka akili yako na kuisafisha, kuimiminia makombora ya vita vya kifikra na kukuchukua utumwa wa kiakili basi ujue kuwa wewe umekwisha, huna faida kwako wewe wala Muislamu mwenzako! kwa sababu ni akili yako ndiyo inayovi control viungo vyako: mdomo,macho, miguuu mikono n.k

Matokeo yake unakuwa husemi au hufanyi chochote ila kile anachokipenda adui wako bila ya kujijua.
Ni vita mbaya sana!
 
Faham kuwa hata jf kweli walikuwepo waislam ambao walikuwa wanapingana na misimamo ya kina ponda kama mimi mmoja wao' kwa kiasi kikubwa mliniudhi sana kwa kutukana dini yangu moja kwa moja tena kwa kashfa nyingi'

Mimi UAMSHO wameniblock kwenye page ya fcbk kwa sababu tu msimamo wangu na wao tofauti'tumeshindana kwa hoja na sio matusi mwisho wakaniblock kwa hiyo naomba tuweke hoja zaidi na sio kashfa na matusi,

umesema vema , lakini hata waislam wangechukulia kosa la mtu mmoja sio la watu wote wa dini moja wasingechoma makanisa!
 
kwa kweli mfano wa kuigwa ndo maana nasema hawa ndugu vita yao ni yao wao wenyewe ila wajinga, mataahira ambao hawajasoma ndo wanasumbua hii nchi, huwa hawana mafunzo ya dini yao, hawana uelewa wa mafundisho ya imani yao, basi wanapelekwa pelekwa tu na watu hawajaenda shule, watu wagonjwa, wenye delusion ya kufanya mambo ya ajabu, ila kwako shekh salute, kama mimi ningekua mtoa nishani pia yako ningekupa wastahili tunuku kwa mawazo ya busara tofauti na wenzio, una something ambayo wenzio awana an may allah bless ya
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom