TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Amekufa sababu kila mtu lazima atakufa tu,Albadil ni ulaghai mtupu wala haijawahi kufanya kazi.

Kuna watu nawajua walishasomewa hiyo dua na wanapeta miaka na miaka ila wakifa kesho ndiyo itaanza kurejewa albadil.

NB:Seleman Msindi naye alisomewa hiyo dua na akina Sheikh Kishki ili afe kabla ya mwezi wa Ramadhan na ni miaka sasa!!
 
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa wakipingana naye.

Hapa nitaweka video 👇👇
View attachment 3460715

Katika sauti hiyo, Sheikh Njuki mwenyewe alieleza wazi wazi kuwa alifanyiwa Dua maalum iliyolenga apate ajali ili taasisi yake ya Manasik ife. Na kwenye hiyo video Kuna mmoja alifanikiwa kuingia Dua iliposomwa na akarekodi.

Hali hii imechochea hisia kali mitandaoni na mijadala mikubwa kuhusu nafasi ya maombi ya mabaya ndani ya dini hii, nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k

Sheikh Njuki amezikwa leo jioni katika Mkoa wa Manyara mara baada ya Swala ya Magharibi, kwa wingi wa waumini, ndugu na marafiki waliomiminika kumuaga safari yake ya mwisho.

Mazishi yake yameacha simanzi kubwa, huku wengi wakitafakari kauli yake ya mwisho kuhusu Dua aliyosomewa, ambayo leo imetimia kwa njia ile ile aliyotabiriwa ( ajali ya gari.)

TAASISI YA MANASIK

Taasisi ya Manasik, iliyoanzishwa na Sheikh Njuki, ilikuwa na jukumu kubwa la kufundisha Waislamu taratibu za Hija na Umra kwa vitendo.

Ilitoa elimu kwa waumini wanaojiandaa kuelekea Makka, ikiwafundisha namna ya kutekeleza ibada mbalimbali kama tawaf, sa’i, wukufu Arafah na kurusha mawe (jamaraat),

Ilikuwa ikitambuliwa kama kituo maalum cha semina, mihadhara na mafunzo ya Hija kwa njia rahisi na za kisasa.

Kwa muda mfupi tu, taasisi hii ilianza kupata umaarufu mkubwa, ikivutia waumini kutoka maeneo mbalimbali nchini., huyu jamaa akaanza kupata pesa ,kwahiyo chanzo ni CHUKI

KWANINI ILIPIGWA VITA?

1. Wivu na Ushawishi Umaarufu wa Sheikh Njuki na taasisi yake ulionekana tishio kwa madrasa na taasisi nyingine zilizokuwa zikijihusisha na elimu ya Hija na Umra.,(kumbuka hijja na Umra ni biashara za watu ,nishaeleza sana Kuna Uzi nilileta Mods wakauondoa ,nilionesha jinsi watu wanavyopiga pesa kwa hii biashara ,jinsi Waarabu wanavyoingiza mabilion na mabilion kupitia mfuko wa PIF)

2. Tofauti za Kiiitikadi – Wapo masheikh na walimu waliokuwa na mitazamo tofauti ya kifiqhi. Tofauti hizo zilipelekea kumtazama kama mpinzani na sio mshirika.,

3. Hofu ya Kupoteza Wafuasi – Kadri waumini walivyoelekea kwenye Manasik, baadhi ya viongozi wengine waliamini kuwa ushawishi wao na nafasi zao kijamii vitadhoofika.,Kumbuka hii ni biashara kama biashara nyingine ,hivo wanaibiana wateja(maamuma)

4. Fitna na Mashindano – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.

Pumzika kwa Amani Sheikh Njuki
NGUZO ZA UISLAMU NI UNAFIKI ,CHUKI NA UPUMBAVU
 
Allah ni fala sana.
 
Nasikia huyu Sheikh alisomewa Dua apate ajali afe, na kweli amefariki.... Je ni MUNGU huyu huyu anayetupenda sote au Waislamu mna miungu yenu ambayo mnaitumia kutoa roho za watu. Kosa la huyu mzee ni lipi mpaka mnamsomea alibadiri, mnashindwa kuwasomea Alibadiri mafisadi, mnakuja kumsomea Dua Sheikh.

Watu wanarogana kwa kutumia neno Alibadiri, kumbe wanapigana mizizi alafu likikupata jambo wanasingizia Alibadiri. Dua gani inayopokelewa na MUNGU ya kumdhuru mtu au kutoa uhai wa mtu?

Mimi sitaki kuamini kuwa Dua hizi mnazozotia kwa watu na mnaziita Alibadiri ni za kuidhinishwa na MUNGU huyu anayetupenda sote. Hizi dua zenu labda kama ni za kichawi au kuna miungu yenu ya kuuana au za kutumiana Majini maana Uislamu unaaminika kuambatana na majini. Sheikh wa watu kapigwa kipapai na Waislamu wenzake.

Uislamu ndio dini pekee inayoombea mtu hili apate shida au kufa, sasa sijui hii kweli ni dini au kichaka cha majini, waganga wa jadi na mashetani. Maana karibia kila Sheikh ni mganga wa jadi.

Ukristo hauna hayo mambo ya kishirikina na ndio maana uwezi kusikia mkristo wa kweli ni mganga au mfuga majini... kwanza majini yanaogopa wakristo wa kweli... achana na Hawa Wakristo wa siku hizi waliochangamka, mkristo anayesali na kumtumainia MUNGU. Ndugu zanguni acheni uchawi kwa kusingizia ni Dua

View: https://www.instagram.com/reel/DOCG_wMDc8g/?igsh=eWFvZzN5dXV2b3Nr
 
Ukiambiwa kuwa jini Allah na kipenzi chake Muhammad ni mafala kama mafala wengine uwe unaelewa.
Neno Allah,ni neno la kiarabu,likimaanisha Mungu,hata katika Biblia za kiarabu,limeandikwa Allah(Mungu),kama kusema God(English).Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama kila Lugha,inatamka Mungu kwa kikabila chao.
 
Neno Allah,ni neno la kiarabu,likimaanisha Mungu,hata katika Biblia za kiarabu,lineandikwa Allah(Mungu),kama kusema God(English).Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama kila Lugha,inatamka Mungu kwa kikabila chao.
Swali ni je hiyo Alibadiri mnaiomba kwenda Jini au Karumanzila yupi? Maana sisi wakristo hatuamini katika maombi ya kumtoa mtu roho, tunaamini huo ni ushetani
 
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa wakipingana naye.

Hapa nitaweka video 👇👇
View attachment 3460715

Katika sauti hiyo, Sheikh Njuki mwenyewe alieleza wazi wazi kuwa alifanyiwa Dua maalum iliyolenga apate ajali ili taasisi yake ya Manasik ife. Na kwenye hiyo video Kuna mmoja alifanikiwa kuingia Dua iliposomwa na akarekodi.

Hali hii imechochea hisia kali mitandaoni na mijadala mikubwa kuhusu nafasi ya maombi ya mabaya ndani ya dini hii, nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k

Sheikh Njuki amezikwa leo jioni katika Mkoa wa Manyara mara baada ya Swala ya Magharibi, kwa wingi wa waumini, ndugu na marafiki waliomiminika kumuaga safari yake ya mwisho.

Mazishi yake yameacha simanzi kubwa, huku wengi wakitafakari kauli yake ya mwisho kuhusu Dua aliyosomewa, ambayo leo imetimia kwa njia ile ile aliyotabiriwa ( ajali ya gari.)

TAASISI YA MANASIK

Taasisi ya Manasik, iliyoanzishwa na Sheikh Njuki, ilikuwa na jukumu kubwa la kufundisha Waislamu taratibu za Hija na Umra kwa vitendo.

Ilitoa elimu kwa waumini wanaojiandaa kuelekea Makka, ikiwafundisha namna ya kutekeleza ibada mbalimbali kama tawaf, sa’i, wukufu Arafah na kurusha mawe (jamaraat),

Ilikuwa ikitambuliwa kama kituo maalum cha semina, mihadhara na mafunzo ya Hija kwa njia rahisi na za kisasa.

Kwa muda mfupi tu, taasisi hii ilianza kupata umaarufu mkubwa, ikivutia waumini kutoka maeneo mbalimbali nchini., huyu jamaa akaanza kupata pesa ,kwahiyo chanzo ni CHUKI

KWANINI ILIPIGWA VITA?

1. Wivu na Ushawishi Umaarufu wa Sheikh Njuki na taasisi yake ulionekana tishio kwa madrasa na taasisi nyingine zilizokuwa zikijihusisha na elimu ya Hija na Umra.,(kumbuka hijja na Umra ni biashara za watu ,nishaeleza sana Kuna Uzi nilileta Mods wakauondoa ,nilionesha jinsi watu wanavyopiga pesa kwa hii biashara ,jinsi Waarabu wanavyoingiza mabilion na mabilion kupitia mfuko wa PIF)

2. Tofauti za Kiiitikadi – Wapo masheikh na walimu waliokuwa na mitazamo tofauti ya kifiqhi. Tofauti hizo zilipelekea kumtazama kama mpinzani na sio mshirika.,

3. Hofu ya Kupoteza Wafuasi – Kadri waumini walivyoelekea kwenye Manasik, baadhi ya viongozi wengine waliamini kuwa ushawishi wao na nafasi zao kijamii vitadhoofika.,Kumbuka hii ni biashara kama biashara nyingine ,hivo wanaibiana wateja(maamuma)

4. Fitna na Mashindano – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.

Pumzika kwa Amani Sheikh Njuki
Huyu wakati wake umefika, wake umefika wa kuondoka duniani.Huyo mkewe mbona kama pia,na hakutajwa jina kwenye hiyo dua.Kuwa na akili.Yesu alisulubiwa na kufa,je alifanyiwa maombi na nai afe.Tumia akili.
 
Back
Top Bottom