shehe

Peter Safari Shehe (born 15 December 1955 in Ganze District, Kilifi County) is a Kenyan politician and a member of the 11th parliament elected in 2013 from Kilifi County on the ticket of Federal Party of Kenya. He lost his reelection to the national assembly in 2017 and then contested for a lower political position in Jaribuni ward in 2022.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Lecturer wa UDOM ni gaidi ila Shehe Mwaipopo anayemiliki kundi la kukata vichwa sio gaidi

    DPP kuwa serious japo kidogo Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ukisitaajabu ya mhadhiri wa UDOM utayaona ya shehe Mwaipopo

    Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Imani inapo dhalilishwa: Je ni nani yuko nyuma ya sakata la Ostaz Juma na Shehe Kishk?

    Sakata la watu wawili linachukua sura mpya kila uchao..... Na kila anajitokeza kuliongelea ama anazidi kuharibu ama anazidi kukoleza moto.. Na lisipodhibitiwa sasa linaweza kuja kuleta mgawanyiko mkubwa ndani ya imani moja ama madhara makubwa Sasa kwenye hili.. Inayoumizwa ni imani. Kwakuwa...
  4. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ningewaelewa JWTZ kama wangekemea kikundi hiki cha kigaidi kinachoanzishwa na Shehe

    Hili jeshi sasa rasmi limewekwa mfukoni na ccm. Hili ndo peke yake ilikua limebakiza heshima ya inchi. Sasa rasmi wanaimba wimbo wa ccm. Imagine wanaimba vitisho dhidi wanainchi wanaotaka kutimiza takwa.la kikatiba huku wakikalia kimya vikundi vya kigaidi vinavyo jitangaza mbele ya kamera...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mafaili: Ostadh Juma VS Shehe Kisk

    Race ya wanaume halisi inateketea kwa kasi ya ajabu mno.. Haya mambo tulizoea kuyaona kwa akina mama tena wa Uswazi.. Sasa leo ni wanaume tena viongozi wa dini 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 https://www.facebook.com/share/v/18roBz4sxo/
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

    Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?. Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

    Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja...
  8. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nimelipia hostel Dar kwa wanaojiita manabii, nimesomewa vifungu na shehe, nimechanjwa sana usukumani, nimefanya online remedies. Yote haya batili

    NIkupe tu taarifa wewe unae hangaika na vitu vya kufikirika kuwa huu ni uchezaji tu wa akili yako. PESA HUZAA PESA. BAHATI NI PALE FURSA IKUKUTE UKIWA NA UTAYARI. Hakuna cha nyota wala aura, hakuna cha mikosi wala nuksi. Kama umefulia umefulia tu, patabadilika pale utakapo chukua na panaweza...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Jiulize, hivi CHADEMA ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa kama yule Shehe.

    Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi. Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa, baada ya tukio la Temba, leo viongozi wote wa Chadema kuanzia Heche hadi Mkiti wa tawi wangekuwa...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Shehe Adai Muhammad Alifanya kazi kwa Mshangazi

  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye shehe wa kweli

    https://www.youtube.com/watch?v=YUlE6kPKWyg
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema atakata watu watakaoandamana vichwa alitakiwa awe anahojiwa na Polisi

    Lissu alisema atakinukisha yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa. Karibu Tanzania. Polisi mnataka tuanze kuwafundisha kazi yenu, Au mnajua tu kuua na nyie ?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna tofauti kati ya Uislam na Sheikh

    Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe. Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Shehe Yahaya bado unaishi

    Sheikh Yahya Hussein, aliyekuwa mmoja wa wapiga ramli maarufu sana nchini Tanzania, Ingawa kauli zake hazikuwa sehemu ya tafiti rasmi za kisayansi wala siyo maandiko ya kiroho yaliyo katika vitabu vitakatifu, ziliwahi kuvutia hisia za watu wengi hasa alipokuwa akizungumzia masuala ya kisiasa kwa...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi. Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili. Hana haja ya kupewa R.I.P.
  16. hamis77

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Shehe Yahaya angekuwepo ningemuuliza kama alikosea ama bado Iko vile vile

    Al maruhum Sheikh Yahaya Husein alitusimulia maono yake kua,baada ya JMK atakuja mtu mweusi,mchapa kazi halafu mchekeshaji. Huyu atamaliza dakika arobaini na Tano za kwanza,lakini arobaini na Tano za pili hatazimaliza. Katika maono yake alisema atakuja Malkia,na baada ya Malkia itaingia timu...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Shehe Kundecha aishukuru serikali kuruhusu masomo ya dini shuleni itasaidia walimu bora wanaoweza kufundisha lugha ya kiarabuni

    “Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

    KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shehe Issa Ponda kushinda jimbo la Temeke mchana kweupe - Mikiki katika kutetea wanyonge ndio turufu yake Temeke

    SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE. Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa Ponda kisiasa, hasa katika muktadha wa Jimbo la Temeke – na hapa kuna sababu kuu nne za msingi: 1...
Back
Top Bottom