Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
hizo propaganda unajazwa na kanisani ama ?
Kama huna la maana kaa kimya.
Tufanye sensa yenye vitengo vya kujua dini,umri,vilema,elimu na jinsia ili itusaidie katika mipango ya maendeleo ya nchi yetu.
Kwanini wakristo wana kataa sensa yenye kitengo cha kuhesabia watu kwa dini,jibu ni kuwa wanaogopa kuzidiwa na waislam maana sensa za makanisa yanaonesha ukristo una wafuasi wengi,na wamepandilizwa waislamu wakijuwa kuwa wao wapo wengi wata tawala kwa sheria,
ndugu zangu wakristo,kuwa kwako mkristu usikufanye watu wenye dini tofauti na wewe waishi kama unavopenda wewe na kanisa lako,
dini ya uislam ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu,unatakiwa ukubaliane kuwa dini ya uislam haija kaa kama mulivyo fundishwa kanisani kuwa ikristo ni kanisani ukitoka nje basi,
tuacheni ushabiki tu,mimi ni mwislamu na sipendi kusikia mwislam ambaye hapendi maendeleo ya nchi yetu,lazima kila kundi,dini waone wanashiriki katika mchakato wa maendeleo,
hivi kuhesabiwa kidini kuta kupunguzia wewe nini??
afanye kwanza sensa ya walio na degree za madrasa wako wangapi ndio alete upuuzi wake wa kidini.
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.
Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.
Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.
"SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.
HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!
naomba kuwasilisha!
An empty head is devil's workshop.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
sheikh, ponda dini ni variable muhimu sana katika sensa na hivyo si vibaya kuwa na statistics za uhakika kuhusu mgawanyo wa watanzania katika dini mbalimbali. Ni vizuri vilevile kujua idadi ya watu katika makabila mbalimbali.
tatizo la waislamu nadiriki kuwaita wengi ni vilaza
kutwa kulalamika. niwaulize mkuu wa nchi ni nani, makamu wake, jaji mkuu???wakristo hao?
wanataka wapewe mgawanyo sawa wa madaraka nani aliwaambia nchi hii ina dini? wanataka kutupeleka wapi?
wao wanakaa vijiweni na kunywa kahawa na walikataa kusoma shule za wakristo eti ni makafiri sasa wanataka wapewe vyeo bila kusoma? wamuulize JK alisoma shule ya watu gani? angesoma madrasa na kuishia kunywa gahawa leo angekuwa rais?
suala la ukabila na udini Nyerere alilikataa siku nyingi sana
pili wakubali kwa Tanzania asilimaia 62 ni wakristo, 35 ni waislamu na 3% ni watu wa dini zingine. kwa hivo tukiamua leo wakristo hata kupiga kura bado tunaweza kuwapita kwa mengi na pia idadi kubwa ya wasomi ni wakristo, nakumbuka nikiwa chuo kati ya wanafunzi 240 darasani 40 tu ndi walikuwa waislamu. acheni kelele pelekeni wanenus shule.
sijaona mantini ya wao kulalamika,
katika kazi hatuajiriwi kwa kigezo cha udini wala ukabila bali ni elimu na ujuzi wako.
STEP X:
Hebu ongeza hapo na Iringa, Njombe, Songea, Mbeya, Rukwa, na Mpanda.
Hivyo, wakristo wengi (kwa maana ya kuwazidi wengine kwa idadi yoyote) most likely wako mikoa ifuatayo: Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mara, Kagera, Arusha, Kilimanjaro, Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Rukwa, na Mpanda. Kwa pamoja mikoa hii ina over 60% population ya nchi.
Mikoa hii angalau idadi inaweza kuwa sawa: Kigoma, Singida, Dodoma, Dar es Salaam, Tabora, na Morogoro.
Mikoa hii waislamu most likely ni wengi: Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, na Zanzibar (ukitaka chukua hata Dar es Salaam ya wahamiaji).
Hivyo basi, kwa kuwa Muungano utavunjika soon waislamu Tanganyika wata-dominate Tanga, Lindi, na Mtwara halafu pia Bungeni tutakuwa automatically tumepungaza angalau wabunge waislamu kama 60 hivi ambao wanatoka Znz. Mimi huwa nawashangaa wanaolaumu Mwl. eti kwa kuudhoofisha Uislamu kupitia Muungano!
ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.
mbona nyie wagala mnaogopa sana hiki kipengele? Kuna nini kimejificha?
Barubaru,
Kwani namba ya waamini wa dini yako, hata kama ni kubwa ina faida gani kwa uwepo na ustawi wa Taifa hili? Kama namba ni tija, waafrika tulivyo, tunaweza kuanzisha mashindano ya kuzaana bila utaratibu, bila kujua kwamba anayeongoza dunia ya leo sio kwamba ana namba kubwa, la hasha!!! Ana elimu, uwezo na ujuzi mkubwa.
Ndio maana waisrael kwa idadi ni wadogo lakini pale walipo waliwahi kupigana na mataifa karibu yote yaliowazunguka kwa wakati mmoja na kuwashinda. It was not by chance....it was by design and intelligence to come with victory. So hoja hapa kwetu sisi wengine ni kuhakikisha generations zetu zina aim higher kwa kutafuta mambo ya msingi yatakayotusukuma huko. Sio haya mambo ya kujua nani ni dini gani! So what?
juzi sheikh ponda issa ambaye ni katibu wa jumuiya ya kutetea haki za waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.alisema kuwa nchi hii siyo ya kikristo lakini inatawaliwa na mfumo kristo.
Alisema kutokana na mazoea, waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. Ofisi na idara za serikali zinaongozwa na wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. Alitoa mfano wa tra, necta, wizara ya eimu, wizara ya ujenzi, afya, mahakama nk........... Kwa mujibu wa sheikh ponda, wastani wa ajira ni karibu wakristo 77% na waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.
Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! Kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa sheihk ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa tanzania.
"siyo sahihi watu wenye idadi hii kupuuzwa katika uwiano wa ajira serikalini", alisema sheikh ponda.alitoa mifano wa nchi karibia zote za ulaya, marekani, asia pamoja na afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza ponda. "mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama ponda.
Hoja yangu ndugu znaguni watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. Kama waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? Au utakua udini? Au uchochezi? Au uvunjifu wa amani? Kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? Je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? Tubadilike!!!
Naomba kuwasilisha!