ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.
WALIOWAHI KUSOMA MWISHO WAO NDIO HUU Tanzanian Gay Eddy Cosmas*Wins Asylum in the United Kingdom*
Hoja ya kijinga unaleta hapa. Usitake kuchafua dini za watu kwa matendo binafsi ya wafuasi wake. Na huyo kuitwa Cosmas siyo kithibitisho ni Mkiristo. Kuna watu wengi huku Pwani na Znz wenye majina ya Kiislamu ni mashoga,unataka tuseme dini yako ni ya mashoga?
Kama hukunielewa ktk post ya hapo juu,sina sababu ya kuendelea kujibishana na wewe!
katika imani ya kiislam imebainisha wazi kuwa tofauti ya muislam na yule asiyekuwa muislam ni kuswali mara tano kwa siku......kwa hiyo kama wewe huswali basi wewe ujue siyo muislam....sasa kama tuna imani ya kweli ya dini sijui kama hii sensa itasaidia vipi kwa waislam wao binafsi nadhani sensa nzuri ya waislam wa kweli ifanyike misikitini japo nadhani haitakuwa sahihi kwani siyo lazima sana kuswali misikitini
Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.
Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.
Hapana. Census si lazima uwe raia. Wanataka kujua idadi ya watu walioko nchini wala hawaulizi kama una green card au wewe ni illegal immigrant.Jasusi, wewe ni raia wa Marekani? Umeishaukana uraia wa Tanzania?