mwaka 2005 wakat kikwete anagombea askof mmoja alisema kik ete ni chaguo la mungu hawakulalamika! mwaka juz bakwata wakasema docta slaa hawez kuwa rais kisa mkristo! uchaguz igunga bakwata wakatoa tamko kuwa waislam kutopigia kura chadema! mwaka jana vuguvugu la maandamano ya chadema waislam wakasewa serikali inaandamwa sababu rais ni muislamu...! wametoka hapo wameandamana bla kbali, sasa wanakuja na ajenda za ajira na sensa...? ivii wao tu wanamatizo? wakristo hawana?
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.
Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.
Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi
Hakuna kitu...watakuambia hizo hela zinaenda kwa maskini kumbe wanazila wenyewe...unacheza na kuzaa watoto wengi bila kuwa na mipango ya maana ya maisha.Hahahaaa mmesahau yule Mkurugenzi alivywajibu? Kuwa maendeleo ya nchi hayapimwi kwa kigezo cha dini wala kabila la mtu. sensa inatumika katika planning ya mambo muhimu ya kimaendeleo na sio dini, tusiwe so narrow minded, hata hivyo nawashauri mtumie utaratibu kama wa kwetu wa kuandikishana, kwa mfano mimi bahasha yangu ya usharika ni No.963, that means mimi ni mkristo wa 963 katika usharika wangu kwa hio kkupata idadi ya Wakristo wote katika CCT ambapo ndipo nasali, unachukua idadi ya waliojiandikisha mara idadi ya makanisa uliyonayo katika huo mkoa, wilaya au taifa. Na kwa taarifa yako hata tunapojiandikisha tunaandika kiasi unachotegenea kumtolea MUNGU kwa mwaka huo na hii husaidia kufahamu Kanisa litakusanya kiasi gani, litumie kiasi gani na libakishe kiasi gani, kwa mfano wakati namaliza Mlimani CCT-Chaplaincy kwa kipindi hichoo tulikua na milion mia mbili na kidogo ila sifahamu ndugu zangu pale msikitini walikua na bei gani, na sisi hatuna wafadhili pia.
Naunga mkono hoja na Waislaam wote tususe sensa, kwani itakuwa nini? Amma waweke hicho kipengele halafu wakachezee kompyuta kama walivyofanya mitihani wa Waislaam amma sensa tuisusie.
Step II.
Bado naendelea kumsaidia Sheikh Ponda.
Tanzania mikoa ya kanda ya ziwa ndiyo yenye idadi kubwa ya watu Tanzania ikufuatiwa na mikoa ya kanda ya kaskazini.Ukanda wa Pwani ukiondoa [Dar es Salaam] ni mikoa yenye idadi ndogo ya watu.
Mkuu Barubaru, kwa akili yako na elimu yako ya PhD bado unaamini misaada ni njia ya kujiletea maendeleo!
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO. alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania. "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.HOJA YANGUNdugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mhhhh...huyu shehe Ponda noma, yaani hata chabo ya daktari kafiri anaogopa? akawatibu yeye akina mama wa kiislam kama anaweza...!huyu shekhe kuna wakati aliwahi kusema anataka waislam watibiwe na waislam na waislam wanawake watibiwe na madaktari wa kike bila kujua idadi ya madaktari kwa uwiano wa dini na idadi ya madaktari wa kike. pia hakujua idadi ya hospitali zinazomilikiwa na wakristo na zile zinazomilikiwa na waislam. Mi nafikiri si mzima sana kiakili.
Sheikh Ponda amejipa kazi ya kuenesha shari nchi hii. Pengine ni kwa sababu ya tatizo la ajira, lakini sioni ni kwa vipi waislam watakaa chini na kumsikiliza huyu semi-illiterate!<BR><BR>Week chache zilizopita alikuwa anapiga debe kuwaunga UAMSHO, sasa makanisha yamechomwa kakimbilia kwenye sensa! UAMSHO kawaacha kwenye mataa! Ni aina ya ma-sheikh kama hawa wanaoudhalilisha uislam. Hana la maana alilofanyia hii nchi zaidi ya kugawa watu.
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO. alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania. "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.HOJA YANGUNdugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ukishaweka kipengele cha dini unanufaika vipi,au taifa linanufaika vipi?mmeshiba amani na kuvimbiwa?Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.