Sheikh Ponda yuko sahihi

Sheikh Ponda yuko sahihi

Kuna nchi kama sierra leone ina muslim majority lakini its one of the most religious torelant nation na ikiwa na rais mkristo so why do muslims have to complain always mbona huko wakristo hawalalami afu isitoshe dini zenYEWE ZA KULETEWA
"......Yeye ndiye aliyekuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali (kifo), na muda maalum (wa kuishi) uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka ! Qur'an: 6:2.
 
Mkuu najua kuwa Zanzibar ni Unguja + Pemba, na na si sawa na makabila ya huku bara, unless you educate me now that upemba na uunguja, ni sawa na uhaya, usukuma na uchagga huku bara. Najua pia kuwa Zanzibar inakuwa Zanzibar pale swala la bara linapoingia, au lile swala la chako chetu, changu changu.

Jaribu kutafuta nyaraka yoyote inayoweza kukwambia Tanganyika iko wapi, inatambuliwa na nani na inaishi kwa sheria ya nani, hapo ndio utajua kama hiyo nchi unayoiita Tanganyika ipo. Wanaozungumzia ile iiliyokuwa inaitwa Tanganyika huku bara ni makaburu, na ndio maana unaona hakuna anayewakubali, ni wabuguzi na waliokosa ubinadamu. Kuna watu wengi Tanganyika wanaisikia vitabuni tu, hiyo kitu haipo ndugu. Nilizaliwa Tanzania asili yangu ni tanzania, mimi ni mtanzania.

kumbe wewe ulizaliwa baada kufa Nyerere !!!

Hili ni gazeti la 1993 soma historia hiyo

[FONT=Arial,Helvetica]MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica]
Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.[/FONT]



[FONT=Arial,Helvetica]Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica]Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.[/FONT]

[FONT=Arial,Helvetica]
Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge;

wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili.

Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu.

Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka).

Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima![/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.[/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica]
Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC".

Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.[/FONT]


 
Kuna nchi kama sierra leone ina muslim majority lakini its one of the most religious torelant nation na ikiwa na rais mkristo so why do muslims have to complain always mbona huko wakristo hawalalami afu isitoshe dini zenYEWE ZA KULETEWA

muulize charles taylor alichokifanya huko na ndio saa hii anakunyia kwenye ndoo
 
Nyerere alisema Tanzania haini dini kwa maana ya serikali ,na sense na kwa ajili ya kujua kuna watanzania wangapi na umri wao sasa hili la dini linakujaje hapa sisi tuna hesabu watanzania hapa na si vinginevyo kama kuna dini yeyote wanataka kujijua ni mko wangapi anzisheni daftari lenu la usajili kwa gharama zenu wenyewe mtapata idadi yenu .
Hebu pause......... fikiri kidogo ! hilo hilo dodoso (karatasi ya maswali ya sensa) kinaingizwa kipengele cha dini, unaonaje ?:A S 39:, gharama inaongezeka wapi hapo ?
 
...mkuu,sidhani kama kuna anaeogopa kujua asilimia,but the isssue is itatusaidia nn kwny kuleta hayo maendeleo?yes mnataka kujua mbona ni rahisi sana kufanya wenyewe bila kusubiri serikali iwafanyie km ambavyo wakristu wanafanya!sidhani km serikali itawakataza kufanya wenyewe!....hizo nchi ulizotaja kuna waislam wengi,yes,ni sawa na zambia,italy,uingereza n.k.....nazo zina wakristo wengi!..bt in reality hata mkihesabiwa, the fact is wakristo ni wengi kuliko waislam,kumbuka hapa unaongelea madhehebu mengi sn ya kikristo na c RC
...ikujumuishwa kwenye hilo dodoso la sensa, kama hatuletei maendeleo, je itatuharibia maendeleo ? yaani: ikijulikana idadi ya watu na dini zao, barabara zitakuwa fupi? maji yatapunguwa ? ....... mnalo hili, mwalim nimekubaini !:A S 39:
 
Ningependa kupata mfano mzuri wa jinsi waislam wanavyobaguliwa kwenye ajira. Hivyo naomba mtu anipe data kamili, Sheikh Ponda ana ujuzi/elimu gani na aliomba/ameomba ajira wapi na majibu yalikuwaje? Pia mtu anayejua Sheikh Ponda amesomesha watoto wake (wa kuzaa) hadi kiwango gani, na sasa wanafanya nini? Hili litatusaidia kuelewa huyu sheikh anaongea nini.

Pili, lingekuwa jambo la maana sana kama tungepata profile (qualification wise) ya kamati ya Sheikh Ponda hasa wale walio mstari wa mbele kudai haki za waislam. Inawezekana tuna ma-profesa wa physics wanazagaa mitaani bila ajira kwa sababu ya dini zao!
:A S 39: are u serious !?
 
Tanzania bila Nyerere imekuwa haina mwenyewe. Huyu akitaka anahamasisha watu wake kugoma sensa, huyu hivi! Sijui kama tutafika.
 
hivi hapa kinacho gomba ni nini? kwamba waislamu hawawezi kuswali mpaka wajue idadi yao au ni yale mashindano ya kitoto sisi tupo wengi kuliko nyinyi?

na kama ni kuhusu hizo takwimu wanazo pinga kutoka kwa sijui cia, au wagalati, basi si na wao wato data zao kutoka hiyo sensa ya 1957 au 1967 then wa extrapolate, maana najua wapo magwiji wa hesabu so wanaweza kufanya hiyo kazi, njia ya pili ni hiyo idadi ya 1967 halafu waongeze idadi ya walio zaliwa katika koo za iislamu na wagalati waliobadili dini kuwa waislamu, then watoe walio fariki.

wakisha maliza waweke kwenye web au jarida kwamba kwakuwa wao wanao wakee wanne na wastani wa watoto wao ni sita basi wapo 65% na wengine ni 35%. na anaye pingana nao alete data zake walinganishe na zao, au wamfuate Pengo wamulize formula aliotumia then nao waiweke kwenye idadi yao ili wapate jibu.

Na shida ikizidi basi tutumie majina yetu ya asili tuachane na John, Juma nk tutasikia tu kidwa, chausiku, matarajio, furaha, tabu, mchele na kadhalika
 
kwa hiyo baada ya sensa 1967 wapagani wengi wamekuwa wa galati? maana data za mwanzo 35% wagalati, 35% waislamu, wapagani 30%, sasa wagalati 60%, waislamu 31% to 35% , ze rest wengineo. awe muhindu, pagani nk. wenyewe kitaaluma wana sema minorities
 
kwa mwendohuu wa msomi wa physics, chemistry, biology, mahesabu, nk kuongozwa na huyu ni sawa na kipofu kumuongoza anayeona.

na huko mbeleni ni wazi uislamu tanzania utapungukiwa na wafuasi sababu ya kuongozwa na watu wasio na maono.

ni sawa sawa na sasa hivi wana science waongozwe na wale waliosema dunia ipo hivi au ipo vile. na hata wa kristo wa kale walipingana na wana science kwenye vitu fulani lakini kadri siku zinavyo kwenda ukweli unakuja julikana.

Dini zetu za asili na za sasa zilijengwa katika kumfanya binadamu awe muaminifu na mpenda maendeleo kwa njia za kuogofya na nyinginezo, mfano ili kuhimiza usafi tuliambiwa ukikata nywele ukazitupa mchawi ataziokota na kukuroga, ili uweze kuzihifadhi inavyotakiwa, vivyo hivyo kwenye kucha, kinyesi nk.

Na dini zetu zilivyo kuja tukawa tunatishwa ukio mkristo basi uislamu wako umekufa, na vice versa ukiwa mkristo ukio muislamu ndugu, jamaa watakutenga, lakini ukweli wa mambo sasa si kama zamani unao kafir unaendelea na ustaarabu wako, huyo hussein mubarak mkewe, mtu wa wales, hafidh al assad mkewe mzungu, mfalme wa jordan na morroco hivyo hivyo. na uilamu wao haujafa.
 
kwa mwendohuu wa msomi wa physics, chemistry, biology, mahesabu, nk kuongozwa na huyu ni sawa na kipofu kumuongoza anayeona.

na huko mbeleni ni wazi uislamu tanzania utapungukiwa na wafuasi sababu ya kuongozwa na watu wasio na maono.

ni sawa sawa na sasa hivi wana science waongozwe na wale waliosema dunia ipo hivi au ipo vile. na hata wa kristo wa kale walipingana na wana science kwenye vitu fulani lakini kadri siku zinavyo kwenda ukweli unakuja julikana....
maoni ya kigalatia !
 
Huu mjadala umekuwa mkali sana. Hebu waweke kipengele cha dini na elimu tuone kama historia imewahi kudanganya. Ponda bwana?
 
Waambie wafanye sensa yao wajue idadi ya waumini wa kiislam

Kweli lakini, mbona wakatoliki tunajijua tuko wangapi? kwa sababu kuna jumuia ndogondogo za wakatoliki na kwenye kila jumuia tunajua wako wangapi ambao hesabu hupelekwa kwenye vigango mpaka parokia na baadae taifa halafu vatican sasa hawa wala ubwabwa nao si wajihesabu kwenye vibanda vya kahawa na bao wako wangapi wapeleke idadi yao msikitini?
 
kwa hiyo baada ya sensa 1967 wapagani wengi wamekuwa wa galati? maana data za mwanzo 35% wagalati, 35% waislamu, wapagani 30%, sasa wagalati 60%, waislamu 31% to 35% , ze rest wengineo. awe muhindu, pagani nk. wenyewe kitaaluma wana sema minorities

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious groups
 
NENDENI SHULE siyo MADRASSA MAANA WAKRISTO NA WAISLAM wenzenu WANAAJIRIWA KWA VYETI VYAO SI DINI YAO

Mtu anaajiriwa kwa sababu ya CHETI chake na Uzoefu wake si Dini yake.

Anayefikiria ataajiriwa kwa sababu ya dini yake, katika Kazi arudi shule akachukue Cheti.... La sivyo MTABAKI MASKINI MPAKA KUFA...
 
Back
Top Bottom