Sheikh Ponda yuko sahihi

Sheikh Ponda yuko sahihi

kwa mwendohuu wa msomi wa physics, chemistry, biology, mahesabu, nk kuongozwa na huyu ni sawa na kipofu kumuongoza anayeona.

na huko mbeleni ni wazi uislamu tanzania utapungukiwa na wafuasi sababu ya kuongozwa na watu wasio na maono....
Maoni Mujaarab
 
NENDENI SHULE siyo MADRASSA MAANA WAKRISTO NA WAISLAM wenzenu WANAAJIRIWA KWA VYETI VYAO SI DINI YAO

Mtu anaajiriwa kwa sababu ya CHETI chake na Uzoefu wake si Dini yake.

Anayefikiria ataajiriwa kwa sababu ya dini yake, katika Kazi arudi shule akachukue Cheti.... La sivyo MTABAKI MASKINI MPAKA KUFA...


Wanaoshabikia dini kwenye mambo ya kitaalam ni wapumbavu
 
THis is supposed to be an Inteligent peoples forum, where discussions can be free and intteligently preseneted without insulting others. I dont see you as a geniune participant with the way you attack others. Hii ni forum ya watanzania wote>
 
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO...


Hakuna cha maana katika maelezo hapo juu. Maendeleo ya Nchi hayapangwi kwa kufuata itikadi za Kidini au Kikabila. Tatizo lenu kubwa ni uelewa mdogo mlionao na hii inatokana na kutokwenda shule; mmekalia madrasa na kunywa kahawa vijiweni.

Kama mnataka kujua Waislam mpo wangapi Tanzania jihesabuni misikitini mwenu. Kwani hamjui mna Misikiti mingapi? Tafuteni idadi ya Waislam kila Msikiti kisha mzidishe kwa idadi ya Misikiti yote iliyopo Tanzania.

Hatuwezi kuiga kila kinachofanywa na Nchi zingine Dunian. Sasa Duniani kote Waislam wanaandamana na kujilipua ovyo. Je hilo mnalitaka na nyinyi mlifanye? Mbona mankuwa watu msiofikiria mambo vizuri?

Rais wetu, Makamu wa Rais Mkuu wa Jeshi la Polisi, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Wakurugenzi wengi ni Waislam. Hilo wewe hulioni? Umetaja NECTA, TRA mbona hujasema NSSF?

NSSF kuanzia Mkurugenzi Mkuu hadi Mfuta Meza ni Mwislam nakushauri ufanye utafiti kwanza kabla ya kusema. Udhaifu wa NSSF umetokana na mambo yenu ya Udini. Mtu hapewi kazi kwa vigezo vya elimu ila kwa vigezo vya UDINI (Uislam). Hadi kwenye interview unaulizwa wewe ni dini gani. Achani kuwa walalamishi kila mara. Sensa haiwezi kutofanyika eti kwasababu yenu watu msioenda shule.
 
Kweli lakini, mbona wakatoliki tunajijua tuko wangapi? kwa sababu kuna jumuia ndogondogo za wakatoliki na kwenye kila jumuia tunajua wako wangapi ambao hesabu hupelekwa kwenye vigango mpaka parokia na baadae taifa halafu vatican sasa hawa wala ubwabwa nao si wajihesabu kwenye vibanda vya kahawa na bao wako wangapi wapeleke idadi yao msikitini?
Kwahiyo kumbe kuna umuhimu wa kujua idadi ya waumini?

Basi ili kuepuka kila dini kutangaza idadi yake isiyothibitishwa (wengine wanaweza kuforge ili waonekane ni wengi zaidi ili wapate upendeleo kutoka Govt) basi sensa rasmi ya kitaifa iwe Kama nchi nyingi nyingine duniani, kipengele cha dini kiwepo ili kupata uhakika, la sivyo, hizo sensa zinazofanywa kienyeji ziishie kwenye makabrasha ya madhehebu husika tu, wasilitangazie taifa, kwani ndio chanzo cha mtafaruku huu.

Mtaona kwamba wale waliojihesabu kienyeji ndio wako mstari wa mbele kupinga kipengele cha dini kisiwepo kwenye Sensa ya Taifa, wanaogopa nini?

Wakati wao ndio Pioneers wa kutaka kujua idadi ya waumini wao. (Ikumbukwe Nyerere 1976 alipiga ban BAKWATA isifanye sensa ya Waislam nchini kwa maelezo kuwa itakuwa ni kuhamasisha udini, suala hili lilipelekea hadi Ktb Mkuu wa wakati huo Shkh M Ali alazimike kujiuzulu, sasa wengine kuruhusiwa na kisha wakakataa isiwe kwenye sensa rasmi maana yake ni nini?)
 
Hivi msitu wa Mwabepande umekatwa? Huyu Ponda anapoleta usumbufu kwanini wasimlimboke?
 
Hakuna cha maana katika maelezo hapo juu. Maendeleo ya Nchi hayapangwi kwa kufuata itikadi za Kidini au Kikabila. Tatizo lenu kubwa ni uelewa mdogo mlionao na hii inatokana na kutokwenda shule; mmekalia madrasa na kunywa kahawa vijiweni.

Kama mnataka kujua Waislam mpo wangapi Tanzania jihesabuni misikitini mwenu. Kwani hamjui mna Misikiti





mingapi? Tafuteni idadi ya Waislam kila Msikiti kisha mzidishe kwa idadi ya Misikiti yote iliyopo Tanzania.

Hatuwezi kuiga kila kinachofanywa na Nchi zingine Dunian. Sasa Duniani kote Waislam wanaandamana na kujilipua ovyo. Je hilo mnalitaka na nyinyi mlifanye? Mbona mankuwa watu msiofikiria mambo vizuri

Rais wetu, Makamu wa Rais Mkuu wa Jeshi la Polisi, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Wakurugenzi wengi ni Waislam. Hilo wewe hulioni? Umetaja NECTA, TRA mbona hujasema NSSF?

NSSF kuanzia Mkurugenzi Mkuu hadi Mfuta Meza ni

Mwislam nakushauri ufanye utafiti kwanza kabla ya kusema. Udhaifu wa NSSF umetokana na mambo yenu ya Udini. Mtu hapewi kazi kwa vigezo vya elimu ila kwa vigezo vya UDINI (Uislam). Hadi kwenye interview unaulizwa wewe ni dini gani. Achani kuwa walalamishi kila mara. Sensa haiwezi kutofanyika eti kwasababu yenu watu msioenda shule.
Maelezo yako yamejaa chuki mpaka unashindwa kufikiri vizuri na ukaishia kujikanganya. Unasema Waislam hawakusoma na wanaishia kunywa kahawa vijiweni lakini ukakiri kuwa Rais wa Nchi na Makamu wake ni waislamu, je una maana hao hawakuenda shule? Ni product ya vijiwe vya kahawa? Au hujui kuwa Dr Gharib Bilal ni Engineer wa Nuclear Energy pekee hapa nchini ( one of the most cumbersome Mathematical subject in existence) ila serkali inashindwa kumtumia kutokana na mfumo mbovu uliopo. Au una maana Judge Chande hana elimu? Kina Proffesor Lipumba na Maprofessa na Ma Drs wote wa Kiislamu waliotapakaa nchi nzima hawakusoma bali ni watu wa Madrassa na Vijiwe vya kahawa? Unasema Waislamu wanajilipua ovyo duniani, hivi ina maana wewe hukusoma na wala hujui historia ya watu wanaojilipua duniani au ni chuki zako dhidi ya Uislamu ndio zimekutia upofu? Tulia nikupe darasa, Wenye Historia kubwa ya kujilipua duniani ni Wajapani, wanajilipua kwa staili ya KAMIKAZE (Kamikaze Bombers) wanajilipua ili kuua watu wengi zaidi na kuteketeza mali au zana kubwa zaidi, hao wako kwenye orodha ya mashujaa wa nchi hiyo mpaka leo, na Japan ikivamiwa tena kivita mtawasikia tena, Kisha kuna HARAKIRI, hawa hujipasua matumbo hadi kufa kwa kutumia Upanga wa Samurai, ikiwa ni kuonesha kutubu kwa kushindwa majukumu au anaposhindwa kujiokoa kwa maadui. Je hao ni Waislamu? Hapa Tz kuna Waislamu wangapi waliojilipua kwa njia hiyo? Hivi wewe na akili zako, na wenzako wenye fikra Kama zako mnaona vijiwe vya kahawa ndio tatizo, ila Mabaa ya Pombe na wanaokunywa pombe mpaka wakajinyea hao ndio barabara? Mbona Mwl Nyerere alipenda sana kucheza bao na wazee wenzake kwenye hivyo vijiwe vya Kahawa? Alikuwa mpumbavu?
 
Kwahiyo Wapagani ni WENGI? Unachekesha kweli..

Ni kweli kabisa wapagani nchi hii ni asilimia mia moja. Hapa nina maana kila mtu ni mpagani inategemea unamuangalia kutokea upande gani. Mkristo ni mpagani kwa muislamu kama ilivyo muislamu ni mpagani kwa mkristo. Vivyo hivyo mkristo na muislamu ni mpagani kwa muumini wa dini za asili ambaye naye ni mpagani kwa mkristo na muislamu. Kwa hiyo ukiangalia kwa makini kila mtu ni mpagani.
 
Nimeamini akili ni nywele kila mtu ana zake. Lakini za mwezetu huyu Ponda labda ana UPARA!

Yaani tuanze kuajili madaktari kwa kuangalia DINI sio ELIMU?
Mainjinia tuangalie dini?
Waalimu tuangalie dini?
Rubani dini? Basi hakuna haja ya KUSOMA.

Baadaye ataanza pia kudai tuangalie idadi ya wafungwa kwa vigezo vya dini.

Halafu hataishia hapo atasema pia tuangalie maiti walipo motuary kwa dini.

BTW, huku kwetu tulianza mafunzo ya sensa Jtatu, nimepitia dodoso lote sijaona SWALI LA DINI YA MTU.
 
Haah amehamishia majeshi huku akati alikua analalama na Kadhi Mkuu TZ? Huyu jamaa ana mambo ya kipuuzi sana...... Nawataumbuka wakiambiwa wako 28% na kudai yamechakachuliwa.
 
Hesabu ndogo. Waislamu wafanye sensa yao wenyewe na wakiristu hivo hivo wasio na dini wafanye waongozwe na wanaharakati then kila upande uwe na jibu lake kwa matumizi yake. Ila isiwe serekali tafadhali.
 
Kwahiyo Wapagani ni WENGI? Unachekesha kweli..

Hivi uwezo wako wa kufukiria ndio umeishia hapo ? Anayechekesha nani ? mimi ,wewe au hao walioweka hizo takwimu ?
Kama unazikubali takwimu nyengine kwa nini unazikataa hizi? je umetembelea hiyo website ? au unatoa majibu ya kishabiki tu ?
 
Kama Ponda ameshajua kuwa waisilamu ni 64%, sasa anataka sensa ya kidini ya nini?
 
Kipengele cha dini kwenye sensa si kigeni na ni kweli nchi nyingi huwa zinatoa idadi ya watu wao ikiambatanisha na dini zao! Kweli hapo Ponda yuko sahihi! Asichokijua ponda ni kuwa hilo kulalamika kwa waislamu juu ya kutopata nafasi na ajira ikilinganishwa na wenzao wakristo kuna misingi mikubwa ya kikoloni kitu ambacho hakikuanza leo na hakuna mtu aliyewahi kufanikiwa ku regulate hiyo issue .japo wako waliojaribu bila mafanikio.
suala la Dini ni nyeti sana na kulijadili kunahitaji staha na ufahamu mzuri sana bila upendeleo! kitu ambacho watanzania hatujapata nafasi ya kukikubali kirahisi.

historia iko wazi ,
kama wewe ni muislam ,jua kuwa umekuwa hivyo kwa sababu mwarabu alikaa pwani kufanya biashara ya utumwa na viongo sehemu ambazo kizazi chako kilikuwepo ,kumbuka mwarabu alikuwa anawaona watu kama bidhaa ambayo angeweza kiuza na kupata kipato hivyo hakuona umuhimu wa kuendeleza mtu
Kama wewe ni mkristo umekuwa hivyo kwa sababu mzungu alikuja kufanya tafiti zake huku akafikia sehemu ambazo yeye aliziona ni potential kwa tafiti zake na kwa kuwa alikuwa akitumia sana watu kumuelekeza aliwaellimisha ili apate urahisi katika kufanikisha adhma yake, ndio maana sehemu zote zenye mission eg mahenge ndanda peramiho nk ni very potential to date. na watu wake wameelimika !
Sina uhakika ni kwa kiasi gani mwarabu alikaa sehemu ya ukubwa gani japokuwa alipendelea sana sehemu za mwambao, ila nafahamu mzungu alikaa milimani na sehemu kubwa ya Tanzania .akifanya tafiti. leo hii tunazungumzia Uranium kusini sio by chance ! ni tafiti za siku nyingi sana!
Kama wewe huna dini au imani yako haina historia ya mbali jua kuwa koo zenu zillikuwa imara sana hivi hakuna mwarabu au mzungu aliyewahi kuwatawala au kufanya chichote. wamasai wa zamani kwa mfano,hawakuwa na dini, japo hawa wa siku hizi wana imitate!

Mfumo ambao dunia ya leo inatumia ni mfumo ulioasisiwa na kuwa maarufu na mzungu, yaani kama unaweza kusoma na kunielewa haya ninayoyaandika ujue ni moja ya vitu vingi tunavyo under estimate vilivyoasisiwa na mzungu, si mfumo wa kiimani kama dini zote zinavyosema ,la sivyo tungekuwa tunaandika kiarabu humu ndani.Waislamu wengi waliopata elimu hapo zamani walilazimika kufanya maamuzi magumu sana ya eidha kubadili dini au kukubali kuishi maisha kwa mlengo wa kikristo na walifanya hivyo wakijua wanacheza kamari kubwa ya maisha "upate elimu =mambo safi au ushindwe na udharauulike na kutengwa " kwa sababu elimu ilitolewa na mkristo na hali ingekuwa hivyo hivyo kama mwarabu angetoa elimu kwanza, kwa sababu aliyekuwa anatoa elimu hiyo aliweka masharti ambayo kimsingi yalikuwa ndio nguzo zake, Yaani kama hutaki elimu simply unaacha kama haikuwezekana eti utake elimu kwa masharti na imani yako.
Mwarabu na mzungu mpaka leo hawajawahi kuwa na atitude moja ,wala hawajawahi kubadilisha mitazamo yao kimaisha, yaliyotokea huko nyuma enzi za utumwa baina ya watu hao, hata leo yapo ,leo hii watoke wanajamvi wawili mmoja akafanye kazi kwa mzungu na mwingine akafanye kazi kwa mwarabu halafu wakuletee payslip zao ,jibu utalipata, ikumbukwe kuwa hata enzi hizo za utumwa mwarabu alikuwa ni middle men tu aki supply bidhaa ya utumwa kwa wazungu, ni sababu pia kwa nini hakuna mwarabu mweusi, kwa maana ya kuwa toka enzi hizo mwarabu na mzungu hawakuwa level moja

Waliolielewa hili mapema huwa hawalalamiki eti fulani kapendelewa au nimeonewa ,huwa wanachukua hatua madhubuti kukabiliana na hali halisi na kuchukua hatua stahili.yaani kama kuna vitu unaona ni ngumu ku practice au vizuizi achana navyo hata kama dini yako ina sema ni dhambi
Dini tunazo lumbana kila siku wenzetu waliolielewa wanazichukulia simple sana na haziwasumbui
 
Akutunae hakuchagulii tusi.

Upuuzi wote huu unalelewa na mheshimewa rais kikwete. Ukihofu sana kutekeleza majukum yake, is where everyone will come up with idears good and stupidy, it is the president and his ministers to act and protect the nation. You can not leave crazy people to mislead moral citizens.

Hakika nawaabien hizi zote ni chokochoko na ni kiinimacho THE OBJECTIVE BEHIND IS TO IMPLICATE AND ESTABLISHMENT OF SHARIA LAW and THE RULE OF MAHAKAMA YA KADHI.


Hapo palipokolezwa wino ndio umeandika kitu gani? Ungeandika Kiswahili tu kuliko kujiaibisha na Kiingereza ambacho hukijui. Halafu mnajidai eti kuwa mmesoma!!!
 
kumbe wewe ulizaliwa baada kufa Nyerere !!!

Hili ni gazeti la 1993 soma historia hiyo

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.



Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.


Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.



Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.



Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.



Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge;

wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili.

Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu.

Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka).

Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.



Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:



Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.



Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.



Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.



Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.



Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!



Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.



Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC".

Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.




Hamna cha kuongeza Mkuu. Umemaliza kila kitu. Heko sana.
 
Juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.

Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! Kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.

"SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.

HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? Kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!

Naomba kuwasilisha!

Ukishajua uwiano wa idadi ya makundi hayo mawili, INASAIDIA NINI KATIKA KULETA MAENDELEO YA TAIFA? Dini inasaidia nini katika kuleta maendeleo, we need think tankers only to achieve development.
 
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.

Mbona umesahau kuweka kipengere cha kabila, wasomi na wasio wasomi, wanene na wafupi, wanaojilipua na mabomu na wasiojilipua, weupe na weusi nk? Hamna maana kabisa mmejaa UDINI tu. Mnataka kutuletea ujinga wenu usio na maana katika Nchi yetu iliyojaa AMANi na UPENDO.

Mtake msitake lazima mtahesabiwa tu.
 
Back
Top Bottom