ALEX PETER
Senior Member
- Jan 17, 2012
- 117
- 23
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.
Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.
Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.
"SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.
HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!
naomba kuwasilisha!
Mimi mwenyewe nataka hicho kipengele cha dini kiwepo kina faida...

Hapo kwenye RED
Ndo utuambie sasa umepata wapi takwimu hizi ikiwa sensa yetu haina kipengele cha dini??? kama co hearsay zanazolenga kuiaminisha jamii ya Watanzania kuwa dini flani ni wengi kuliko wengine?? Pia uwiano wa kielimu hautoshi kuhitimisha kuwa dini flani ni wengi kwakuwa tatizo la elimu kwa waislamu hapa TZ ni lakihistoria!!
Wajua kuwa Rwanda Watutsi ni wachache kuliko Wahutu lakini ndio waliosoma na wanaohodhi nafasi nyingi serikalini kuliko wenzao ambao ndio wengi?? Na kwanini ukitembelea coutry profiles za nchi kibao utakuta wameweka idadi ya watu kwa dini zao? Wanazitoa wapi?
Kwakuwa sisi kama Tanzania tulikubaliana kutokujumuisha kupengele cha dini kwenye sensa yetu wacha twende hivyo hivyo lakini Maoni yake yana Mashiko
Sikuwa na maana ya waislam pekee..... nilimaananisha kwa dini zote kwani kila dini inautaratibu wake wa baada ya muumini wao kufariki.....wengine wanazika miili... wengine wanachoma moto nk. hoja kuu ilikuwa ni kuwa na takwimu ili kuweza kufanya mipango/maamuziUnataka kutuambia kuwa kama waislam watakuwa wengi itabidi watengewe ardhi kubwa kwa ajili ya makaburi kwa kuwa waislam watakuwa wanakufa sana au?!
Waswahili bana, yaani dini za wakoloni zimewatawala sana. Watu watauana tu kwa sababu ya kuwatetea Mungu Allah, Mungu wa Israel, Mungu Papa, Mungu Anglican...ilhali hata hivyo vitabu vya Mungu hao haviwataji kabisa waswahili hawa!
aliokuambia kanda ya ziwa wote ni wagala ni nani? Kumbuka huko kuna watu wanaofuata dini za asili kwa idadi kubwa tu.
nilikua pakistani.... jamaa mmoja akawa anasifia jinsi walivyozaana na kuwa na influence kwa nambaz huku akijilinganisha na india na bangladesh
wahindia pia walizaaana kweli....
Kwangu hata wasio na dini nao ni Waislamu, maana maisha wanayoishi yanakaribia Uislamu zaidi ingawa wengi wao ukiwauliza wao ni dini gani au kama hawana dini; watakujibu wao ni Wakristo!ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.
The study of the United StatesBureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania isChristian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious group
The Christian population of Tanzania is mostly composed of Roman Catholics,Lutherans and Anglicans, Pentecostals, Seventh-day Adventists, members of The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints (Mormons), and Jehovah's Witnesse
Islam is, as of 2007, the religion in Tanzania with 40% of the population of the mainland (Tanganyika) and more than 99% of the population on the island ofZanzibar being Muslim
soma zaidi Wikipedia
fanya random sampling ya idadi ya wanaomaliza form 4, 6 na wanaoingia
vyuo utaona asilimia 70 ni wakristo na 30 ni waislamu na wasio na dini.
bado tu huamini? mnalala mnangangania usawa wa kielimu na kikazi wapi na wapi.
Nilipo Blue.
ndio maana zinatakiwa zipatikane takwimu sahihi sio za assumptions. Waislam wameliona hilo kwa kina sana na sasa wanataka kipengele cha dini kiwemo ndani ya karatasi zenu za sensa ila kujijua na kujisahihisha kama itawezekana na kuondokana na hii tarbia yya kukisia.
Lakin msingi mkubwa ni mipango ya nchi kwani vipengele kama jinsia, dini , elimu na ulemavu ni muhimu sana katika kupanga maendeleo ya nchi.
Sioni sababu kwanini wenzenu wanakataa. sijui wana ajenda gani hao.
Faida zipi hizo na kwa faida kwa dini husika au Watanzania?
Kanisa nalosali tunajua idadi kamili ya Wakristo kwenye parokia yetu, tunajua idadi ya wanakuja Ibadani kila wiki, kwa hiyo tunajua dayosisi ina waumini wangapi na nchi nzima wako wangapi. Waislamu wanashindwa vipi hadi kulazimisha serikali iwasaidie kujua idadi yao? Hawana namna ya kujua Waislamu wako wangapi? Au wanataka kuwatisha wengine tu?
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.
Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.