Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Kitu ambacho ni Kibaya...... ni kwamba mtu unajaribu kutoa hoja ambayo ilitakiwa....iwe na mshiko alaf huna point ya kuitetea au unajaribu kutoa point za kudanganya umati
False knowledge is worse than Ignorance.

Kama hujui unacho ongea kaa kimya... don't lie to people...
Kuna watu wenye hekima zao humu...

If what you are talking about is true... basi weka majina... na ushaidi wote...
You don't just come here and have people, read your nonsense
My bullshit dectector is telling me..... "this is pathetic."
 
Kama yeye ni mtanzania,akatuoneshe lilipo kaburi la babu yake wa 7!
 
Japuony, Watanzania tunahitaji kutafuta mwarobaini wa matatizo yanayoitafuna nchi yetu.Hatuijengi AMANI NA UTULIVU kwa propaganda za unafiki,uzandiki,na uchochezi kama hizo zako maana zilishawahi kutumika kwa Gen.Ulimwengu,Mbashe n.k.ambao unaweza kuwakumbuka.Lakini unapaswa pia kuelimishwa propaganda za namna hiyo ndizo zinatumika na nchi za Magharibi kuivuruga AMANI ya dunia.Ponda siyo chanzo cha kuvunjika AMANI ya Tanzania,ila chanzo ni WATU wenye upeo kama WEWE ambao wanaipora HAKI na hivyo wakihojiwa wanaibuka na HOJA MFU kama hizo za kwako.

YOU NEED NOT TO SHOUT TO KILL A MOSQUITO
!!!!!!!!!!!!!!
 
Usalama wa taifa wanatakiwa kuwa na file lake loote na shughuli zake zoote kama anapata pesa nje wanatakiwa kujua wapi na kwa nani na kwa nini, ndio kazi yao sio kumteka Ulimboka!

Walishamkamata na kumfukuza nchini miaka ile ya mwembechai,sijui iliishiaje wakamuacha tena, sasa ameshakuwa sugu maana ni mzoefu kwa sasa.

HAYO ya kusingiziwa kutokuwa raia tumeshayazoea,jenerali ulimwengu aliambiwa mnaijeria,husein bashe na wengine wengi kwa hiyo jambo si geni labda wewe usijua pole sana.
 
Hahahahaha! Waziri Mkuu alishasema. Pigeni tu, maana tumeshachoka... Watapigwa tu...
 
HATA NIPIGWE BAN KWA MARA YA KWANZA.
pamoja na kuwa mimi ni mkristu(In the name of Almight God,I justify).
NASEMA MLETA UZI NI MJINGA,--------,MZANDIKI NA HAITAKII MEMA NCHI HII KWA HUU UPUMBAVU usio hata na chembe ya ushahidi kwa yote anayoyaeleza,na huu ni uchochezi,MODS TRASH THIS reckless post.
YALIYOMTOKEA PONDA NI MAMBO YA KULAANIWA NA KILA ANAEMUGOPA MUNGU.
hata asingekuwa mtanzania so what?PIGENI TU,ndo madhara ya ujinga wa waziri mkuu pinda.

Tindikali,Mabomu,risasi,madawa ya kulevya,ufisadi,utekaji.
WATUHUMIWA WOTE WAPO HURU.
Huu n udhibitisho mwingine kuwa tuna viongozi dhaifu,serikali dhaifu,MUNGU TUSAMEHE WATANZANIA HAWAJUI WALITENDALO

Acha kukurupuka we Rashid,umeanza lin kuwa mkristu?
Haya,wataka ushahdi..
Je,Una uhakika kuwa shekhe Ponda kapgwa?
Kama huna why u demandng proof 4ths?
Afta lo,Christians do swear in the name of Jesus..do it if u ril mean it.
We c ndugu yake Idd Azzan,tena?
Hata cjaelewa umekoment nin hapo..
 
Wange patikana watu wenye akili kama wewe! Tungelikuwa mbali UBARIKIWE
 
Acha kukurupuka we Rashid,umeanza lin kuwa mkristu?
Haya,wataka ushahdi..
Je,Una uhakika kuwa shekhe Ponda kapgwa?
Kama huna why u demandng proof 4ths?
Afta lo,Christians do swear in the name of Jesus..do it if u ril mean it.
We c ndugu yake Idd Azzan,tena?
Hata cjaelewa umekoment nin hapo..

fool your minds,You have no difference with a killer,you are not a Christian rather you just attend church,Read the first commandmend,we are allowed to use the name of the almight God but not in silly concerns and matters.
Hii ni hoja isiyokuwa na ushahidi,taarifa ya kupigwa risasi na U.------- mwingi si vitu vigen tena kwa ushahidi na watuhumiwa wanadunda na huenda wewe pia ndio hao wauaji
 
Madhara ya Pombe za Usiku
Jibu hoja siyo ujinga,watekaji wa utekaji wa kibanda na ulimboka,wauaji wa Mwagosi,Bomu arusha,wamwagia tindikali,mafisadi mpaka mkuu wa kaya,wauaji wa watu3 kwa risas arusha NK WOTE WAPO WAPI?
 
Inawezekana Tanzania ni nchi inayaoongoza
kwa kuwa na wendawazimu na maskini wa fikra!
Jamani ukijua kuwa wewe huoni mbali zaidi ya
tumbo lako basi usiwe unachangia hoja za wenye
akili kubwa!

Ndio mana viongozi ni wendawazimu,wewe ni mwendawazimu,na ni wendawazimu tu wanaoweza kushabikia hoja bila ushahidi,ULIMWENGU ALIAMBIWA NA WENDAWAZIMU WA WAKATI ULE KUWA YEYE SI MTANZANIA.
 
HATA NIPIGWE BAN KWA MARA YA KWANZA.
pamoja na kuwa mimi ni mkristu(In the name of Almight God,I justify).
NASEMA MLETA UZI NI MJINGA,--------,MZANDIKI NA HAITAKII MEMA NCHI HII KWA HUU UPUMBAVU usio hata na chembe ya ushahidi kwa yote anayoyaeleza,na huu ni uchochezi,MODS TRASH THIS reckless post.
YALIYOMTOKEA PONDA NI MAMBO YA KULAANIWA NA KILA ANAEMUGOPA MUNGU.
hata asingekuwa mtanzania so what?PIGENI TU,ndo madhara ya ujinga wa waziri mkuu pinda.

Tindikali,Mabomu,risasi,madawa ya kulevya,ufisadi,utekaji.
WATUHUMIWA WOTE WAPO HURU.
Huu n udhibitisho mwingine kuwa tuna viongozi dhaifu,serikali dhaifu,MUNGU TUSAMEHE WATANZANIA HAWAJUI WALITENDALO

daah akina babu seya wamepotea,punda wa ngada wanatimba kwa mkulu na milegezo.
 
Jibu hoja siyo ujinga,watekaji wa utekaji wa kibanda na ulimboka,wauaji wa Mwagosi,Bomu arusha,wamwagia tindikali,mafisadi mpaka mkuu wa kaya,wauaji wa watu3 kwa risas arusha NK WOTE WAPO WAPI?

.....mauaji ma padre zanzibar,mauaji kutumia bodaboda,mauaji ya raia mikutano ya vyama(CDM),mabomu kanisa mbagala,biashara ya ngada.pembe za ndovu......eeeeh.
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

NOTE >>>>>Ponda amelelewa toka Serikali ya Mwinyi, kuanzia vurugu za Mwembe Chai, Kiongozi Mkubwa wakati huo aliingilia kati kukamatwa Bw. Ponda na kumficha, unajua ni kwa nini???
>>>>>Ameendelea kutoa AMRI kwa Serikali ya KIKWETE na serikali hiyo KUTII amri za Bw. Ponda! Wajua ni kwa nini?

kweli sio mtanzania nasikia ni mchaga wa machame !!!!!!!
 
Unaachoongea una ushahid nacho mkuu ,huyu Ponda alikuepo tokea zama za mwinyi mauaji ya muembe chai unayakumbuka basi ktk watu walio wekw kizuizini na huyu Shekh yumo piga hesahu tokea utawala wa mwinyi mpaka mkapa mpaka kikwete zamu ya pili sasa miaka mingapi takriban miaka 22 sasa yupo hapa na katiba ya Tanzania inaemaje ili upige kura uwe Mtanzania ulie ishi hapa kwa muda gani ? Sio unaongea tuu hujui historia ya Tz mkuu nchii ngumu hii kiufupi Ponda ni Raia halali wa Tanzania na kwao ni mtwara kwa maelezo zaidi ingia pondamuslim@gmail.com
 
Swala la watu kama hawa kuambiwa si Raia halali wa Tanza nia ni la kawaida kwa serikali yetu hata General Ulimwengu aliambiwa hvo mwanzo nchiiiiiii ngumu hiiiiiiiii
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

NOTE >>>>>Ponda amelelewa toka Serikali ya Mwinyi, kuanzia vurugu za Mwembe Chai, Kiongozi Mkubwa wakati huo aliingilia kati kukamatwa Bw. Ponda na kumficha, unajua ni kwa nini???
>>>>>Ameendelea kutoa AMRI kwa Serikali ya KIKWETE na serikali hiyo KUTII amri za Bw. Ponda! Wajua ni kwa nini?
Wacha unafiki na uzandiki, wataje kama kweli wewe ni raia mwema kwa serikali yako
 
Huwezi Kuongea Uwongo Kama Huujui Ukweli.
Hatuwezi kumwita mtoa mada mwongo ingali nasi hatujui ukweli wowote kuhusu hilo. Yawezakua mtoa mada ni kichaa lakn ebu tuangalie neno lake na si kwmb latoka wap. Chanzo chake ni kizuri tu ila shekh ponda kukosa uzalendo kunatuletea iman kwmb c Mtz japo hatuna ushahidi.
 
Back
Top Bottom