Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Halafu mwingine uongo DNA gani hiyo inayogundua mtu katoka nchi fulani huu ni uongo mtakatifu.
 
DNA inaweza kukupa ishara ya mtu ana asili ya kabila gani, au watu gani kwa maana ya "ethnic group". Kwa mfano, DNA inaweza kusema kwamba mtu fulani ana vinasaba vya wamasai. Lakini kwa kuwa wamasai wapo Uganda, Kenya na Tanzania; DNA haiwezi kusema kama mtu huyu mwenye vinasaba vya wamasai anatoka nchi gani.

Hili la sheikh Ponda sasa ni gumu kidogo kwa sababu hata rais Mkapa tukimpima tukamkuta na chembe chembe za wamawiya/wamahiwa; mtu utaweza kujenga hoja kwamba rais Mkapa ni mtu wa Msumbiji. Kwa ufupi DNA haitaweza kumtimua Ponda na kumpeleka Burundi.
Aangaliwe amezaliwa wapi na amesoma shule gani. Msingi/madrasa/n.k. Kisha atajulikana kwao wapi.

Tukimaliza na Ponda tunakuja na Padre. Watu wa Karatu wamehamia kutoka Kenya.Timua hii mbu irudi kenya ikaendeleze ngono nzembe kwao.
 
Serikali kwa uwezo wake haiwezi kushindwa
Kupata DNA ya mwananchi wake- mfano urahisi wa kupata nguo,mswaki,nywele kwa Kinyozi n.k- nakushauri ufuate kama mtume( SAW) alivyosema 'fuata elimu hata mpaka china' hii inamaanisha soma elimu Dunia itakusaidia kwa mengi na utaacha ukanjanja
 
Hii nchi ya Wadanganyika kwa mazingaumbwe, sio mchezo. Tukienda huko kwenye DNA, nadhani Watanzania wengi watakuwa ni illegal Immigrants. Haswa wale wa mipakani.
 
Serikali kwa uwezo wake haiwezi kushindwa
Kupata DNA ya mwananchi wake- mfano urahisi wa kupata nguo,mswaki,nywele kwa Kinyozi n.k- nakushauri ufuate kama mtume( SAW) alivyosema 'fuata elimu hata mpaka china' hii inamaanisha soma elimu Dunia itakusaidia kwa mengi na utaacha ukanjanja( ufa la)

hee kumbe mliambiwa msome hata kwenye hyo kuran zenu?sasa mbona wengi wenu mambulula na shule ndo mnaona kituo cha police?makubwa mi nikahic labda c kosa lenu nin kitabu kimewakataza looo kumbe basi ni uvivu tu wa kusomaaa
 
Arudishwe kwao haraka sana na kama kweli akija onekana si raia wa hapa basi afungwe maisha au kunyongwa kwa kuchafua hali ya nchi yetu.
 
Source ni gazeti la mtanzania jumapili.
Familia ya sheik ponda huko kigoma walifatwa na maafisa uhamiaji wakitaka kuwachukua damu na mate ili wapimwe DNA.

Walipokataa wakataka wapate japo sample ya nywele za mama yake mzazi. Hali ilipokuwa ngumu kwa maafisa hao wakawashawishi wawakatie tiketi za ndege waje Dar kuchukuliwa vipimo. Maafisa hao wanahisi eti sheikh ana asili ya Burundi.

My take:
Mbona huu uchunguzi wa DNA umekuja ghafla?there is a mindgame behind the scene.

Walishaanza tangu muda mrefu.
 
Kasome tena historia, hata wagog ni wageni haopa, walitokea Ghana

Hivi ukiondoa wagogo wa Dodoma ni kabila gani kiasili limeanzia hapa Tanganyika? maana nijuavyo hakuna mtanzania aliyeshuka kutoka mbinguni ama moja kati ya wazazi wake alitoka sehemu fulani. ni nani leo hii atasimama na kudai kwamba yeye ndio mtanzania halisi 100%?
 
Hii taarifa ni ya kweli? Serikali ikitaka kuchukua DNA ya mtu na sababu zikatolewa sidhani kama mtu anaweza kukataa. DNA inathibitisha kama huyu ni ndugu yako sasa iweje mie nikatae kuchukuliwa DNA kuthibitisha kama fulani ni mtoto wangu? Unless kuna sababu nyingine. Kwanza wakitaka nywele wanaweza hata wakatumia wasusi akajifanya anamsuka huyo mama. Hii habari ina walakini. Sidhani kama serikali itaenda kijinga hivyo!
 
Hii taarifa ni ya kweli? Serikali ikitaka kuchukua DNA ya mtu na sababu zikatolewa sidhani kama mtu anaweza kukataa. DNA inathibitisha kama huyu ni ndugu yako sasa iweje mie nikatae kuchukuliwa DNA kuthibitisha kama fulani ni mtoto wangu? Unless kuna sababu nyingine. Kwanza wakitaka nywele wanaweza hata wakatumia wasusi akajifanya anamsuka huyo mama. Hii habari ina walakini. Sidhani kama serikali itaenda kijinga hivyo!

taarifa imetoka gazeti la Mtanzania na wanafamilia wamethibitisha hilo.
 
Kidumu chama cha mapinduzi na fikra za mwenyekiti!!!! Kila anayeonekana ni mwiba ni lazima atafutiwe mwarobaini!! Wako wa kubambikiziwa DNA, kunyofolewa kucha na kung'olewa meno bila ganzi, kunyofilewa macho ili msione tena cha kuandika, kufa taratibu. Du yote haya ni siasa tu? Masuala ya dini mmeyalea wenyewe kwa kupenda kuyataja katika mikutano ya siasa na ukabila nao utashika kasi.
 
Kasome tena historia, hata wagog ni wageni haopa, walitokea Ghana

Kigezo chake cha kuwahalalisha wagogo kuwa ndiyo wazawa halisi wa Tanganyika eti kwavile Dodoma ipo katikati ya nchi!!!
 
Halafu mwingine uongo DNA gani hiyo inayogundua mtu katoka nchi fulani huu ni uongo mtakatifu.

Hapa wanachofanya ni kuona kama hawa ni nduguzake kweli ama siyo,ndo kazi ya dna
 
Sasa wajue kama ni ndugu zake inawahusu nini? Suala la undugu wa watu vinawashughulisha nini? Tangu lini mtu atoe damu zake tu, nywele zake tu bila kuamriwa na mahakama kufanya hivyo. Hata wakiiba damu na nywele za mamake majibu yatabaki siri kwakuwa haitakuwa rahisi kututhibitishia kama DNA zilizotumika ni za mama yake. Kumbe uraia wa watanzania unapimwa kwa DNA? Mbona wanyarwanda hawajapimwa DNA?
 
Ni wazi kabisa kuwa tafakuri zilizopo mezani za kumnyamazisha Sheikh Ponda ni tatu:

1 - Kumuua, ikishindikana

2 -Kumfunga, ikishindikana

3 -Kumuondoa nchini.

...Waislamu inabidi wajitayarishe mapema kwa hali zote hizo tatu.

Haijapata kutokea yakua mtu anamtakasa mungu kutokan na shirki na akatetea hakhi za wanyo'nge ila atauwawa ama kuteseka.Paulo aliwauwa watu ktk masinagogi(MISIKITI) na akawashurutisha kukufuru(kua makafiri kama yeye) soma waraka wa paulo.Kama si mwislam mwenyeimani lazima ushabikie hilo lakuuwawa shekhe PONDA.
 
Sheikh Ponda Issa Jemedari wa Tanzania
makachero wataangaika saaaaaaaaana
 
Back
Top Bottom