Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Yaani nyie ndo matango kweli wewe ndo sio mtanzania na kardinal pengo wako.Hata huyu mlie mzika mara kumi kumi nae tumepata habari zake ni mrwanda mbavu kabisa.Go ponda will always behind you.

hapo kwenye red,
ndo maana mnaonekana reasoning capacity yenu ndogo.

hilo la pengo na huyo mwingine limeingiaje hapa?

tafuta hata elimu ya watu wazima ujiendeleze ndugu, huo ni ushauri tu
 
mtoa mada ni muongo na mzandiki, kama angekua na nia nzuri na nchi hii kwanini asiwataje hao watu hili kurahisisha kazi..............kawadanganye watu wa facebook na twitter lakini sio humu

>>>>>>Mbona hata wauza UNGA na MAJAMBAZI tuliwataja hatua hazijachukuliwa...huo ni mfano tu...
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

kama mtu ni tishio kwanini aendelee kuwepo au analindwa?? na nani?? ok days are numbered!
 
acha uongo
hata ulimboka mlisema sio mtanzania,yaani mnamaanisha kuwa watanzania ni wajinga na hwawezi kusimama kwa miguu yao kudai haki?
cha muhimu ni pambana na ponda na makosa yake na sio kuleta mada ya utanzania ama sio mtanzania,yaani hiyo mada kwa upande wangu naona kama mnadharau watanzania kuwa hawana uwezo wa kusimama na kudai haki bila woga.hadi watu kutoka nje waje kuwasaidia.
 
Ponda anamapepo ya kuvuruga amani, ila wanamdekeza huyo, si unajua mwenzangumwenzangu, acha sasa tuingie kwenye maombi ili ionekene mungu asiyetetewa na mwanadamu anavyojibu
 
acha uongo
hata ulimboka mlisema sio mtanzania,yaani mnamaanisha kuwa watanzania ni wajinga na hwawezi kusimama kwa miguu yao kudai haki?
cha muhimu ni pambana na ponda na makosa yake na sio kuleta mada ya utanzania ama sio mtanzania,yaani hiyo mada kwa upande wangu naona kama mnadharau watanzania kuwa hawana uwezo wa kusimama na kudai haki bila woga.hadi watu kutoka nje waje kuwasaidia.

Ndugu yangu,siyo kuwa Watanzania hawawezi udai haki, wanaweza sana..ila tunataka MADAI hayo ya "haki" yaongozwe na Watanzania wenyewe na siyo mtu ambaye siyo wa nchi hii kuja kutuvuruga kwa ASLAHI yake binafsi au kwa maslahi ya watu wachache au mataifa fulani.
 
hizi haki anazodai she ponda ni zipi maana mi nachanganyikiwa na mambo haya naomba unielimishe.
 
Ndg ni kweli ponda siyo mt na kiburi alikipata mwaka 1998 wakati wa vurugu za mwembechai na kufichwa nyumbani kwa Rais Mwinyi kukwepa kukamatwa.tatizo watz tunasahau history mapema na viongozi wakubwa wa nchi hii nao ni wanafiki kuendekeza siasa za udni kama Mwinyi na Kikwete anarutubisha.
 
PONDA MTANZANIA HALALI !!!
Mambo ya maandamano na uchochezi wa vurugu tuiachie polisi wafanye kazi yao lakini kuhusu urai na kukatalia mdogo wangu
 
wataje jf ni home ya greathinker hakuna kutishiana wala kutegana we wataje tu mbona ww mwenyewe c mtanzania

hizo fedha wanamtumiaje mbona vyombo vya ukinzi havijastuka tuu wapelekee hizo data
1. othman
2.zoka
3.manumba
4.mwema
au
5.kova
kama huwezi nipe mm niwapelekee
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

NOTE >>>>>Ponda amelelewa toka Serikali ya Mwinyi, kuanzia vurugu za Mwembe Chai, Kiongozi Mkubwa wakati huo aliingilia kati kukamatwa Bw. Ponda na kumficha, unajua ni kwa nini???
>>>>>Ameendelea kutoa AMRI kwa Serikali ya KIKWETE na serikali hiyo KUTII amri za Bw. Ponda! Wajua ni kwa nini?
Hapo kwenye red kama ni mji chagua wowote duniani ila tupatie majibu ya hayo maswali tafadhali, please!
 
waislam tutumie busara kwani watu wa dini tofauti walikuwepo tangu enzi za mtume. tusambaze uislamu kwa matendo mema ya dini yetu.
 
Wacha ajitokeza kubisha tumwage SUMU humu, tumechoka kumvumilia...

Na asipojitokeza hutomwaga? au umejuaje kuwa Ponda ni member humu JF mpaka useme ajitokezekubisha. Hizi habari nusunusu huwa hazina hata maana kuzichangia.

Mimi Ni Muislam na nina m- label Ponda kama ni Terrorist atakayechukia na achukie na hata Kikundi Uamsho nisawa na Terrorist organization.
 
Hata Farid nae amekimbia Arabuni ila ni mtu matata sana na ana majina mbali mbali na passport nyingi za arabuni, huko alikuwa mwanajeshi. nchi imejaa maadui, hebu tuanze kuuwa ama kwa nbahati mbaya au style ya mombasa ya shooting on motorbike
 
Ndugu yangu,siyo kuwa Watanzania hawawezi udai haki, wanaweza sana..ila tunataka MADAI hayo ya "haki" yaongozwe na Watanzania wenyewe na siyo mtu ambaye siyo wa nchi hii kuja kutuvuruga kwa ASLAHI yake binafsi au kwa maslahi ya watu wachache au mataifa fulani.

MLISEMA KWA BASHEE hivyohivyo kuwa si mtanzania,leo mnageuka kwa ponda
simamieni sheria,mwenyekosa sheria ichukue mkondo wake hakuna haja ya kutafuta uongo ambao baadae utaonekana ni uongo.
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom