Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sio swala la Udiaspora linalojadiliwa hapa. Huyo Sheikh Ponda ndiye ana own hiyo redio au ni member wa Islamic Foundation Tanzania Broadcasting (IFTB)?

wewe ndio maana watu wanakuita mnafiki umu ndani,leo ndio nimeprove unafiki wako...yani uhoni kosa la Ponda!!?...ooh Mungu tunusuru!!
 
Angekamatwa hata Mwaka Jana Au Juzi. Ni ingekuwa bora sana Kama angekuwa hayati
 
Ndio maana nimeomba mnifahamishe.. yeye kafanya nini na kama unazo hotuba zake niwekee hapa tumjue sote huyu mtu ni wa aina gani?..nasikia tu watu wakisema amekamatwa sielewi kosa lake hivyo nashindwa kuchangia jambo.
plizi kama humjui huyo mwendawazimu nenda google au search humu jf thread zinazomhusu usome usichoshe watu hapa bure,kuhusu juha ponda
 
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata? Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?

ndio maana nasemaga huyu mzee post zake zimeenda shule kuliko member yeyote wa Jf.
 
yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?

Inasemekana kazi yake nyingine ni kutuma vijana wabomoe makanisa waibe vitu vilivyomo na kuviuza ili apate pesa ya kula
 
Nilisikia Mlimani TV jana upuuzi aliokua anaongea na kama kweli wangeendelea kukaaa kumya basi ningefikiria vinginevyo. Kaongea ujinga mwingi sana jana kwene vyombo vya habari
 
Kwa kweli shehe ponda mie binafsi ninampenda sana ila tabia zake za chuki ndiyo ninazichukia.
Unajua watu wengine sijui ni uhuru umewazidi maaana wao siku zote utakuta kazi zao ni kueneza chuki na uchochezi,watu hawa wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Nawakumbusha kuwa kuna sheria ya chuki na uchochezi na ni hai ila basi tu.Hata hii Redio Imani itambue kuwa imeanzishwa kisheria na ni lazima iiheshimu sheria na taratibu za nchi hii kuliko kufyatuka kwa kupandikiza chuki na uchochezi.

Wakina ponda kazi yao ni kutaka kuona nchi hii haitawaliki, ila wajue kuwa wanaachwa tu kwa sababu tz tumezidisha siasa lakini tungekuwa kama URUSSI,USA na nhi nyingine za JUMUIA YA KIARABU ambazo hazitaki ujinga ujinga wa akina ponda.
 
Mbona watu mnajifanya hampendi udini alafu comments zenu zimejaa udini.

Mimi ni mkristo kutokana na imani ya wazazi na naamini wengi wapo hvyo kwenye imani zao ni wachache sana waliochagua imani zao kidini wengi wamerithi.so divide and rule bdo inatumika.wameleta dini,wameleta vitabu we belive tu.

Hatujui wametoa wapi tunaadithiwa tu.tenda mema tu ndo msingi wa binadamu bora .kabla hawajaja babu zetu waliishi bila hz imani zao sijui mtawahukumu vp?

Ila walikua na adabu na miiko na utu.ndo misingi ya ubinadam.tusigawanywe
 
wale wapenda chokochoko acheni mambo zenu kwani mumekata tamaa ya maisha ndio maaana mnapandikiza chuki na uchochezi.kama mmechoka kukaa tz mwendeni hata uhamishoni mkakae kuliko kutuchanganya
 
kwa kuwwa hawana kzi za kufanya na ni waumini wa dhambi ni lazima tu watakubali kuandamana low understanding,ubishi ,matusi na vurugu tu acha akashughulikiwe na mahabusu sugu walioko gerzani japo atatuambia ati ni sunna kushughulikiwa akiachwa huyu ni kirusi kikubwa sana katika mustakabali wa nchi yetu
 
SSSHHHHHHH! Jameni taratibu...wasije wakawasikia......kama mikojo ya kitoto imeleta makanisa kuchomwa na vurugu full.... je haya wengine mnayoyasema hapa ya wakubwa? nuklia italipuka...mimi huyooooo....simo...
 
Back
Top Bottom