Ben Nyangarya
Senior Member
- Oct 28, 2007
- 155
- 78
Acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.
Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa sheikh aboud rogo, na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazuia watoto wao.
Yaani kama kuna maadui wa kiislamu wanaojidai kupambana na uislamu, basi jueni vijana wa kiislamu wao wamepinda zaidi. Endeleeni kuwachokoza. Kama uliangalia vizuri, zile vurugu za mbagala ziliongozwa na watoto wa madrasa tu.
Sasa mkamateni sheikh ponda, ndio mtawajua kaka zao wale watoto wa madrasa.
Ponda hayuko juu ya sheria. Anaweza kuitwa kuhojiwa wakati wowote ili kuweka jambo bayana. Hivyo mnavyo shangilia kua kakamatwa huo upotofu wa taarifa.
Ponda haongei uchochezi. Anaongea kwa hoja na ndio maana sheria haiwezi kumtia hatiani. Kuweni waelewa.
Kama ponda angekamatwa kwa staili hiyo, saa hizi tungekua tunaongea habari nyingine. Waislamu wote tunajua wajibu wetu katika kuwalinda viongozi wetu.
Wako tunao tumia busara katika hili, lakini wapo vijana wao ni kazi pale wanapo amrishwa.
Hii nchi tusipo kua na adabu na nidhamu, juu ya imani na tofauti zetu, basi msishangae tukigawana milango na madirisha.
Hatupendi tufike huko, lakini hatuko tayari kua second citizen katika nchi tulio ipagania. Mlicho tufanyia ni sawa sawa na kumtu kukuomba lifti, na wewe unampa kwa roho mmoja kama binadamu mwenzako, kumbe ni jambazi. Bahati nzuri tumeshtuka, before it is too late.
Sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
1. Kuhamasisha maandamano kwenda Wizara ya Mambo ya Ndani. Wakati wa mahojiano walitaka kujua yafuatayo:-
2. Kuvamia kiwanja cha chang'ombe
3. Kuhamasisha maandamano kidongo chekundu
4. Vurugu Mbagala.
sijui kwanini serikali ilifungia mwanahalisi badala yakufungia redio imani
Asante.Ndio maana nasema, ndugu zetu waislam linapofikia jambo la Muislam na dini nyingine hata akili sijui huwa zinaenda wapi. Huyu Mkandara ambaye anaheshimika kwa kutoa hoja nzito na leo sijui imekuwaje. Kwake yeye, kuongoza watu kugomea sensa ni sawa, kuhamasisha watu kuvunja amani ni sawa.....
Ukitaka kupima akili na busara ya mtu msikilize pindi maslahi yake yanapoguswa. Kwa kigezo hiki, waislam wa imani kali hawafai kuwa wanasheria. Hebu fikiria watu walioelimika mfano wa Mkandara umpelekee kesi ya Ponda ya kuhamasisha kugomea sensa, unategemea nini hapo? Kila anachofanya muislam ni haki!
Wengi wanatoa mfano wa Rwanda na Burundi, ilifika wakati watu wakataka kupendekeza kabila moja Wahutu/Watutsi waende Burundi wengine Rwanda. Nashukuru Mungu busara zilitumika sasa nchi hizi watu wake wanaishi kwa amani. Jinsi wakristu tunavyowapenda ndugu zetu waislam, shukrani kwao ni kuchoma makanisa. Kama isingekuwa upendo wa wakristu, hali ya waislam nchi hii ingekuwa mbaya sana. Fikiria hapo awali, wakristu ndio walikuwa wa kwanza kumiliki taasisi nyingi hususani mashule, kwa upendo wao na uongozi bora wa Baba wa taifa, Nyerere (apumzike kwa amani) watoto wote wakasoma.
Najua haya yote waislam wanayafahau lakini bado watabisha.
Anyways, Ukristo ni upendo. Mbali na mambo yanayotendeka, viongozi wa kikristo wakitoa matamko bado ni matamko ya upendo, redio zao zinatangaza upendo. Wenzetu wanatangaza ushindi, wanawapongeza vijana waliochoma makanisa na kuiba sadaka. Huu ndio msingi wa uislam, na hapa hakuna kosa!
Jioni njema wapendwa, ni muda wa kuongeza sala kwa ajili ya amani ya nchi.
waarabu tunamini kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE.
Hongera sana radio Iman, gazeti la An Nur na Ismael Jussa. hakika mpo juu na wengi mnawanyima usingizi.
keep it up na Mola yu nanyi daima.
Sioni kabisa kama kuna lolote hapo zaidi ya kutaka kuzua tu. hakuna kosa hapo wanataka tu kumbambikizia kosa hilo la armed robbery ili akose dhamana na kuozea ndani.
lakin sifikirii kama kuna kosa hapo la kumtia hatiani.
Ok tuwe na subra tuone hiyo kesho insh'Allah
Wachangiaji wa Jamii kuweni makini JF itachomwa moto pia
Hiyo "Armed robbery" ndiyo haki yake haswaa!
Too late armed robbers. Mngekuwa na busara hii ya subira tangu awali wala mambo yasingefika hapa. Ila sijaelewa maadui wa Uislam ni akina nani...!NAOMBA WAISLAMU WAAMBIWE WAWE NA SUBIRA WAKATI HUU WAIFANYE LOLOTE LITAKALOWAPA NAFASI MAADUI WA UISLAMU MANENO YA KUSEMA
eh! kumbe wewe ni mwaarabu? mimi nilifikiri ni mtu wa wete, Pemba, sasa huko Oman ndio umerudi kwenu au upo katika kufanya matayarisho ya Pemba kurudi kwenye himaya ya Falme?waarabu tunamini kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE.
Hongera sana radio Iman, gazeti la An Nur na Ismael Jussa. hakika mpo juu na wengi mnawanyima usingizi.
keep it up na Mola yu nanyi daima.
Sioni kabisa kama kuna lolote hapo zaidi ya kutaka kuzua tu. hakuna kosa hapo wanataka tu kumbambikizia kosa hilo la armed robbery ili akose dhamana na kuozea ndani.
lakin sifikirii kama kuna kosa hapo la kumtia hatiani.
Ok tuwe na subra tuone hiyo kesho insh'Allah
waarabu tunamini kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE.
Hongera sana radio Iman, gazeti la An Nur na Ismael Jussa. hakika mpo juu na wengi mnawanyima usingizi.
keep it up na Mola yu nanyi daima.
Waarabu tena? Siyo waislam? Giza nene limetanda bado! isn't this insane?
Swali lako zuri sana pengine nikuulize hivi Kwa nini Watanzania wengi ni maskini? Unafikri kushindwa kwao kuwa na maisha bora kunatokana na wao wenyewe ikiwa tu kuna baadhi yao wanafanya vizuri kiamaisha?. kwa nini mnapenda sana kuwatazama WATU katika matokeo badala ya kujiuliza sababu ilowafanya wawe duni hata kama wanazungumza kukwazwa mbele yenu.. Dr.Slaa Lipumba na wengine wote wanailalamikia serikali kuhusu Umaskini wetu na mnawaunga mkono lakini kwa Waislaam mnabadilika na kuwa watawala.. Huoni kama Sheikh Ponda ana point nzito hapo?.Asante Mkuu, Kweli mimi sio Muislam ,na bahati mbaya enzi za mwinyi nilikuwa busy kucheza mpira mchangani 🙂....ila umenigusa tena katika hoja ya Afya na Elimu.
Unahisi kutoshirikishwa kwao(sina proof/data) kunahusika na mass failure ya wanafunzi wengi wa kiislam?...
Mimi nimeishi Kijitonyama karibu na shule inaitwa Masjid Qubah....kusema kweli by then wanafunzi wa pale kwa mtizamo wangu hawakuwaga serious na shule kiviiiile...nakumbuka katika miaka ya 2000 au 1999 shule hii imewahi kuwa ya mwisho kitaifa.
Lakini Mbona Al-Muntazir matokeo mazuri tu?..Je hatuna shida katika mitaala ya ndani ya shule za kiislam?( najaribu kumaanisha kwa silimia ngapi tunafuata mitaala ya serikali?) isije ikawa muda mwingi ni elimu ya dini halafu unataka mtihani wa Taifa ufaulu?...
...bado nawaza
.. safi sana sasa wasimcheleweshe kwa kuwa hakuna cha upelelezi kukamilika wala dhamana yeye moja kwa moja mahakamani na ushahidi upo ... maana ana makosa mengi sana .........hukumu isicheleweshwe labda tutapumzika..........
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..