Naona leo Mkandara ameibiwa password na jamaa!
Mkuu ni nia yangu mtu ashtakiwe kwa mujibu wa sheria kama ulivyosema na si kwa kuisiwa au kwa chuki na kumkomoa kwa kuwa anabishana na serikali katika utaratibu ambao serikali haitaki kuifuata hata kama ni haki yake mtu huyo.
Nisichokielewa ni kwa vipi huelewi sheikh ponda ana makosa hata kwa huko kuhamasisha watu wasihesabiwe kwenye sensa. Huko ni kukiuka sheria. Kama ni sheria kuchukua mkondo wake basi kuna haki kumkamata. Amekamatwa kwa makosa ambayo anatuhumiwa kuyatenda na ni mara nyingi tu watu wamehamaki dhidi ya serikali hata wale wasiopenda haki ya mtu kukiukwa kwamba kwanini serikali haimkamati na kumfungulia sheik Ponda mashtaka kwa sababu anavuruga umoja wa kitaifa na kuleta chuki kati ya jamii ili watu wagawanyike kidini.
Nikuulize tu swali dogo. Hivi hakuna watu ambao watafaidika na mgawanyiko wa kijamii hasa kidini ukitokea? Kama wapo Sheikh Ponda na msimamo wake huawezi kuwa kati ya watu wanaotaka mgawanyiko huo au kuna watu wako nyuma yao ili watimize azma zao za kula hata kama ni kwa gharama ya damu ya watanzania?
ndio 10% hiyoooKamanda wa Polisi kanda maalum ni mkristu
IGP ni mkristu
Jaji Mkuu ni mkristu
Mkuu wangu kwani DR.Slaa huwa wanahasisha watu wafanye nini..Ebu maneno haya waambie kina Ritz na Zomba halafu tuone kama wewe utakubaliana na na watu wa CCM. Mfano mdogo kabisa ambao hauhitaji kujenga CHUKI isipokuwa kuelewana tu...Ndio maana nasema, ndugu zetu waislam linapofikia jambo la Muislam na dini nyingine hata akili sijui huwa zinaenda wapi. Huyu Mkandara ambaye anaheshimika kwa kutoa hoja nzito na leo sijui imekuwaje. Kwake yeye, kuongoza watu kugomea sensa ni sawa, kuhamasisha watu kuvunja amani ni sawa.....
Ukitaka kupima akili na busara ya mtu msikilize pindi maslahi yake yanapoguswa. Kwa kigezo hiki, waislam wa imani kali hawafai kuwa wanasheria. Hebu fikiria watu walioelimika mfano wa Mkandara umpelekee kesi ya Ponda ya kuhamasisha kugomea sensa, unategemea nini hapo? Kila anachofanya muislam ni haki!
Wengi wanatoa mfano wa Rwanda na Burundi, ilifika wakati watu wakataka kupendekeza kabila moja Wahutu/Watutsi waende Burundi wengine Rwanda. Nashukuru Mungu busara zilitumika sasa nchi hizi watu wake wanaishi kwa amani. Jinsi wakristu tunavyowapenda ndugu zetu waislam, shukrani kwao ni kuchoma makanisa. Kama isingekuwa upendo wa wakristu, hali ya waislam nchi hii ingekuwa mbaya sana. Fikiria hapo awali, wakristu ndio walikuwa wa kwanza kumiliki taasisi nyingi hususani mashule, kwa upendo wao na uongozi bora wa Baba wa taifa, Nyerere (apumzike kwa amani) watoto wote wakasoma.
Najua haya yote waislam wanayafahau lakini bado watabisha.
Anyways, Ukristo ni upendo. Mbali na mambo yanayotendeka, viongozi wa kikristo wakitoa matamko bado ni matamko ya upendo, redio zao zinatangaza upendo. Wenzetu wanatangaza ushindi, wanawapongeza vijana waliochoma makanisa na kuiba sadaka. Huu ndio msingi wa uislam, na hapa hakuna kosa!
Jioni njema wapendwa, ni muda wa kuongeza sala kwa ajili ya amani ya nchi.
Swala la Ponda kuhusiana na Bakwata haliwahusu serikali wala Wakristu ni swala la waislaam wenyewe. Bakwata haipendwi na Waislaam wenye kujua chombo hiki kinafanya kazi gani. Bakwata sio chombo cha waislaam isipokuwa serikali inataka watu waamini hivyo, na kilianzishwa enzi ya Ujamaa na kwa sababu maalum.
Lini uliona Askofu au Kardinali akachaguliwa na kuapishwa na rais wa nchi, lini mipango ya kiibada ijumuishwe na serikali kiasi kwamba hata mfungo wa Ramadhan tunatangaziwa na mtu alochaguliwa na serikali. Hivi niulize rais wa nchi akiwa Mkristu watafanyaje?.. Binafsi yangu namuunga mkono sio tu Sheikh Ponda bali waislaam wengine wote wanaopingana na chombo hiki. Mambo ya Waislaam ktk ibada zao na kuchagua viongozi wao haitakiwi kushirikishwa serikali kuziba watu akili juu ya MuO na NECTA. Nenda tazama maisha wanayoishi viongozi wa Bakwata halafu jiulize kama kweli hawa ni wachungaji. Hawa ni cartel wanaoitumia dini kujifadisha wao ilihali Elimu na Afya nchini zinazidi kuporomoka..Niwekeni ndani na mimi..
Mkuu wangu kwani DR.Slaa huwa wanahasisha watu wafanye nini..Ebu maneno haya waambie kina Ritz na Zomba halafu tuone kama wewe utakubaliana na na watu wa CCM. Mfano mdogo kabisa ambao hauhitaji kujenga CHUKI isipokuwa kuelewana tu...
Kuhusu swala la kuhamasisha Waislaam wasihesabiwe sijasema sio makosa isipokuwa binafsi yangu namuunga mkono kama navyomuunga mkono DR.Slaa na Mbowe ktk kuhamasisha M4C. Je, ni makosa kisheria? itategemea wewe uko upande gani..
Siwezi kuelewa kwa nini ktk sensa kuna Kipengele cha wanawake na watu msione kama serikali inataka kutuchonganisha wanaume na wanawake lakini kipengele cha Dini kiwe ni uchonganishi mkiuliza ati ili ijewe?. Kwani kile cha wanawake wamekiweka ili iweje? kwa nini tusihesabiwe wote kama mbuzi zizini isipokuwa viwekwe vipengele vyote kasoro cha dini wakati waislaam wanalalamika miaka yote tusiwasikilize. Nitarudia kusema Bakwata ni sawa na Umoja wa wanawake (UWT ya CCM) huwezi kunambia chombo hicho kinasimamia maslahi ya wanawake wote nchini. UWT sio chombo cha wanawake nchini kivunjwe kama ni makosa nifungeni maana huu ni uongo wa mchana kweupe..
Wakati wa Nyerere na Ujmaaa tulijua sababu ya kutoweka kipengele cha Dini kwa sababu ni serikali ilokuwa ikitoa huduma zote kwa wananchi toka Elimu hadi Afya leo hii serikali inashirikiana na taasisi ya Kikristu kutoa huduma hizo. Leo hii Chadema wakizuiwa kuunda Umoja wa wanawake mtakubali? Je, Wanawake wasipokuwa katika serikali yetu ama kupata ushirika watakuwa wanafanya makosa kusema huu ni mfumo dume na kuuliza why?..
Yule 'Mwanaharakati' maarufu wa dini ya kiislamu Sheikh Ponda Issa Ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa Temeke Tungi
UPDATES:
- Ponda alikamatwa mida ya saa 5 usiku muda ambao unahisiwa kuwa sawa na ambao mwenzake Sheikh Farid wa Uamsho (Zanzibar) anadaiwa kupotea; unaweza kufuatilia - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-uamsho-atekwa-nyara-visiwani-zanzibar.html
- Wafuasi wa Ponda wameanza purukushani, unaweza kusoma - https://www.jamiiforums.com/habari-...si-wa-sheikh-ponda-waanzisha-purukushani.html
KAULI YA KAMANDA KOVA:
Pengine wewe sii Muislaam lakini pamoja na hayo nitakufahamisha. Vita ya Bakwata imeanza siku nyingi sana na ndio sababu walimuua Sheikh Kassim Bin Jumaa enzi ya Mwinyi baada ya kuanzisha chombo cha kiislaam kisichokuwa na ushirika na serikali kikiitwa BALUKTA. Chombo hicho kilipigwa vita na viongozi wake wakakamatwa kutokana na kwamba walitaka kujua undani wa mabadiliko ya mfomo wa ELIMU na AFYA. Wakahoji kwa nini waislaam hawakuhusishwa ktk maamuzi ya mfumo mpya ikiwa chombo cha dini kimepewa jukumu la kuendesha elimu na Afya nchini..Kama nimekuelewa vizuri...Kwa ufupi BAKWATA si chombo cha waislam. Swali langu..Vipi Waislam wanataka chombo gani mbadala?..na kiweje?..mbona hoja ya kuanzisha chombo hicho( ambacho sio BAKWATA) sijawahi isikia?(inanifanya niamini wote wanakiikubali BAKWATA),,Nchi nyingine(zinazo fanana na Tziii) chombo cha kidini cha kiislam kina-operate vipi?...
umenifanya nipate maswali mengi...ila wacha nindelee kusoma soma labda ntapata majibu humu humu
Kama kweli Iran ndiyo inafadhili uovu huu hapa nchini, basi Kikwete yupo nyuma ya jambo hili. Nafikiri ni harakati zile zile za kuislamisha nchi za Africa ndiyo zinaendelea hivi sasa.Nilikuwa siku moja namtania mkenya mmoja kwamba wao hawapo stable kutokana na ukabila. Akanicheka sana akasema duniani hakujawahi kutokea vita mbaya kama ya udini. Na Tanzania ipo mbioni kupigana vita ya udini very soon. Kwa dalili zilizopo naona kabisa siku si nyingi tutakuwa tunachapana. Maana najaribu kuimagine kama waislamu walipokuwa wanavamia makanisa wangewakuta waumini wakikristo makanisani kwao ingekuwaje? Definitely wangetaka kuwaua, hatujui revenge ingekuwaje, na ingetawanyika hadi wapi? Si ajabu siku ile Dar nzima ingekuwa kwenye vita ya kidini. Cha ajabu Kikwete na viongozi wa Bakwata wanalichukulia simple tu. Hapo ndo ninapoona shida ya nchi kuongozwa na hawa jamaa. Yaani wakishachukua madaraka tu, hali ya nchi inayumba na migogoro inaongezeka.
It's me sir nauliza tu kwa kutaka kujua mitazamo yenu maana nakubaliana na mtu yeyote anayeishinikiza serikali yetu kufanya yaliyo mema kwa wananchi wake. Lakini nyie mnachagua kile kinachowahusu nyinyi tu na hivyo kuwa na maoni tofauti ktk maswala mawili hata kama mashtaka yako sawasawa. Kutofanya kwa serikali ndiko mbegu hasa ilopandwa na kuleta chuki hizi iwe kwa Waiislaam au Chadema. Mchawi wetu ni hii serikali sio yule mtoto, Ponda, waislaam ama Dr.Slaa..Is this you sir?