Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Mkandara umejitoa ufahamu ningekwambia A to Z kilichomfanya ponda akamatwe bt you seems not ready to understand... Na hivyo basi sitapoyeza muda wangu na naomba member yoyote asipoteze muda ku'argue na ww
Mkuu wangu nitafurahi sana kama utanieleza badala ya haya aneno yanayozungumzwa humu. Sijajitoa Ufahamu isipokuwa napingana na dhana zinazokuzwa humu pasipo kuwa na uhakika nini hasa kimeajili. Mimi ni msikivu sana pale napoona sababu mbona ya Jussa na UAMSHO nawapinga siku zote iweje leo nisherekee kuchomwa kwa makanisa kama kweli ndilo kosa lake.

Nimesema siku zote hapa JF wamba UDINI tutautengeneza sisi wenyewe na serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria. UFISADI sio kuiba mali za umma tu ama kuhujumu uchumi, Ufisadi ni pamoja na kujenga mfumo usiothamini sheria has apale haki za wananchi zinapokwaza kwa kutumia turufu ya nguvu ya Dola na nidhamu ya woga.
 
nnachoshindwa kuelewa ni kwa kipengele kipi waislam wanaonewa? mana kitu kidogo tu wanapanic vibaya
 

When a heart is on fire, sparks always fly out of the mouth!

 
Nimemsikia Kova kwa masikio yangu akisema kosa moja alilofanya Ponda ni lile la kuhamasisha waislam kuvunja uzio na kuvamia kiwanja halali cha watu...sasa kama hujui kuvamia kwa nguvu kiwanja kinachomilikiwa kihalali na mtu mwingine ni kosa kisheria itabidi urudi kindergarten. Makosa mengine yapo ila hajayaeleza...
 
Swala la Ponda kuhusiana na Bakwata haliwahusu serikali wala Wakristu ni swala la waislaam wenyewe. Bakwata haipendwi na Waislaam wenye kujua chombo hiki kinafanya kazi gani. Bakwata sio chombo cha waislaam isipokuwa serikali inataka watu waamini hivyo, na kilianzishwa enzi ya Ujamaa na kwa sababu maalum.

Lini uliona Askofu au Kardinali akachaguliwa na kuapishwa na rais wa nchi, lini mipango ya kiibada ijumuishwe na serikali kiasi kwamba hata mfungo wa Ramadhan tunatangaziwa na mtu alochaguliwa na serikali. Hivi niulize rais wa nchi akiwa Mkristu watafanyaje?.. Binafsi yangu namuunga mkono sio tu Sheikh Ponda bali waislaam wengine wote wanaopingana na chombo hiki. Mambo ya Waislaam ktk ibada zao na kuchagua viongozi wao haitakiwi kushirikishwa serikali kuziba watu akili juu ya MuO na NECTA. Nenda tazama maisha wanayoishi viongozi wa Bakwata halafu jiulize kama kweli hawa ni wachungaji. Hawa ni cartel wanaoitumia dini kujifadisha wao ilihali Elimu na Afya nchini zinazidi kuporomoka..Niwekeni ndani na mimi..
 
Ukumbukeni waraka wa Mchungaji Mtikila uliokuwa ukisema kuwa " Kikwete kuuangamiza kabisa Ukristo ". Ila naamini kwa dhati kabisa hili pepo chafu linaloitwa JK litashindwa kabisa kwani Ukristo umejengwa na Mungu mwenyewe.
 
Kwani walifanyaje wakati wa Mkapa?
 

Huyu anafaa apelekwe Rumande ya Keko au ukonga ili jamaa wenye njaa wakamtafune Boga.


Mshenzi sana huyu
 
tatizo kubwa la ponda, ni kuishia nursery skul ya mkoloni!! Angekuwa na hata masters tu, hangekuwa na huu muda!
 
Kwa hiyo kosa lake ni kuvamia kiwanja cha mtu sio maswala ya Mbagala... hapo tutaelewana na hivyo muache hizi habari mlizoanzisha humu tuzungumzie hicho kiwanja ni kipi na cha nani.. Na karatasi za umiliki zinasema nini.. Mkuu wangu haya maswala msiyakuze zaidi ya yalivyo ili kuhamasisha wakristu na pengine wewe ndio unatakiwa kurudi vidudu. Kwa mwendo huu JF haitakuwa tofauti na redio Imani na hakika kwa mwenye kusoma vizuri angependa hata JF ifungiwe maana sioni tofauti na redio iman.. Great thinker hawazungumzi vitu pasipo kuwa na ushahidi mbele ya hoja zao.
 
siungi mkono uamsho ,hawa watu wana wafuasi wengi na wamelelewa na serikali hii hii ,hata kama ni mtoto wako huwezi kumvumilia kiasi hiki ,tunataka kujua ofisi za uamsho zanzibar vifaa walipewa na nani na nani aliyekuwa anamtuma sheikh ponda kuongea bila mipaka ,na ccm hii hii siku za nyuma imemtumia sheikh ponda kwenye kampeni zake eti aunganishe waislamu .tunaona sasa mtoto umleavyo ...........
 

Utacheka sana, lakini Mtatafuta pakwenda siku mtakayo ifungia Radio Imaan...na wewe ndo utakuwa mke wangu wa kwanza kabla sijaongeza wengine watatu.
 
Kwani walifanyaje wakati wa Mkapa?
Unaona basi.. wewe unapendekeza serikali iendelee kuwa control waislaam wakati nyie viongozi wenu wanachaguliwa Vatican na kuwa mabalozi wa waumini wa Katoliki na kupewa immune... Tuacheni tuchague viongozi wetu wenyewe hiyo Bakwata hatuitaki, kwa nini mnatulazimisha halafu watu wakisema mfumo kristu mnalalamika..
 
Mkandara inawezekana unachosema ni kweli na inavyoelekea kuna waislam wanaoipenda bakwata na wanao support agenda za ponda. Je haya yote siyanaweza kuwa solved bila fujo? Inapofikia hatua yakutumia nguvu nakuhatarisha amani za wengine, basi your business becomes everybody's business. We kumbuka ugomvi wa kkt meru uligeuka everyone's business pale walipoanza kupigana/fujo.
 
Nadhani hujanisoma vizuri...hilo la kuvamia kiwanja ni moja ila yapo makosa mengine ambayo hakupenda kuyaeleza(labda kwa sababu za kipolisi). Kinachonishangaza mimi ni kwamba kwanini waislam wanajiona wapo juu ya sheria sasa hivi? Kova amesema taratibu zote za sheria zitafuatwa na zitakapokamilika kama ni dhamana/kufikishwa mahakamani, taratibu hizo zitafuatwa.
By the way...unajua hata kukusanyika watu wengi mbele ya kituo cha polisi kama walivyofanya waislam leo ni kosa kisheria na wangeweza kukamatwa na kufunguliwa mashtaka?
 
Nimesahau...Hicho kiwanja kinamilikiwa kihalali na mtu mwingine na karatasi zote zipo hata hati...kwa mujibu wa Kova.
 
Yanaweza ikiwa tuna seriikali sikivu lakini hatuna serikali hiyo na ndio maana Chadema wanaitwa wanafanya fujo japokuwa ni Polisi wanaovamia mikutano yao, ni serikali inayotuma vijana wa kufanya fujo na kadhalika. kama unakumbuka Dr.Slaa alimwambia Kovu aandae Jeshi kabisaa wanaChadema wataendelea na M4C.. Unaweza kutafrsiri vibaya maneno haya kama hujui kile anachopigania Dr.Slaa. Hivyo Sheikh Ponda naye kwa upande wake anaitazama serikali kama Dr. Slaa lakini kwa maslahi ya Waislaam nchini. Ndio kazi aloapa kuifanya kama kiongozi wa dini hakubaliani na Bakwata na hakubaliani na mfumo mzima wa kuiongoza nchi ambao serikali inawa monitor waislaam kwa kuwakwaza ktk kila jambo la maendeleo yao.
 

Hapo kwenye red , una uhakika gani kuwa wanaowajibu ni wafuasi wa Chadema?wewe mbona huishi kuitaja CHADEMA kwenye mada ambazo hata haziusiani na siasa?mkuu wangu huu ndo ule unafiki ambao watu wanakuambia kila uchao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…