Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,617
Kilichotokea Mombasa nacho ni cha kusimuliwa miaka 50 ijayo? Mbona jamaa ameshanyooshwa na upepo umepita na unasahaulika sasa?acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.
Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.
sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Wee jamaa zuzu kweli, hivi wewe unadhani wakristo ni mapoyoyo wa kuendelea kuwaangalieni tu mnapofanya huo uhuni wenu? Hivi nyie mtafanya fujo wapi? Nakuhakikishia, iwapo tutaanza mapigano ya stahili hiyo, basi huo ndo utakuwa mwisho wa Uislam bara. Nawaambieni wote mtahamia Zanzibar, maana hatasalia Mwislam popote. Believe me or not. watu wenyewe mmezoea kunywa gahawa na kwenda msikitini mnaweza kupigana na nani?acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.
Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.
sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Kama unakubali kile kitendo cha kuharibu na kuiba mali walichofanya waislam kule mbagala ni uhalifu, basi ni lazima ukubali kwamba shehe ponda kafanya kosa kubwa kuwapongeza wale waislam na kuwahimiza waislam tanzania nzima wafanye kile kitendo. Kama serikali iko serious , shehe ponda ni lazima anyee debe kwa kosa la uchochezi!
Mashallah,,,,KOVA LEO ANASIFIWA????hahahaha banian mbaya kiatu chake dawa
acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.
Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.
sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Two wrongs don't make a right. Pamoja na hiyo ni lazima uangalie mazingira yaliyopekea Qoran kukojolewa.Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?
Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.
Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?
Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.
This is none sense, mara ngapi waislamu tena watu wazima wenye akili timamu wamechoma biblia hadharani na wakristu hawakufanya kitu? Mbona hata kule mlikovamia makanisa mmechoma biblia tumenyamaza kimya? Sisi dini yetu ndo inatufandisha hivyo, mtume wetu anatufundisha katika Luka 6: 27 kwamba tusilipe visasi na tuwapende adui zetu kama ninyi waislamu. Tofauti na mtume wenu anayefundisha magomvi. Sijui kama kweli ni mtume kutoka kwa Mungu au kwa shetani.Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?
Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.
Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?
Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.
Siamini mtu aliyesoma anaweza kuharibu na kuiba mali za kanisa. Huo ni ukosefu mkubwa wa elimu si ya dunia tu, bali hata ya ahera!!
Mjinga ww,watu wakiongea ukweli wanaitwa wachochez, wamezoea kutufanyia mabaya sasa wanaumbuliwa wanataka ifungwe weweee si tuko tayar kufa, are you?
Mkubwa hatishiwi nyau...Kama mtu anavunja sheria za nchi kwa nini achekewe??? Sheria lazima zichukue mkondo wake hapa.acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.
Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.
sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?
Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.
Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?
Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.
Maadamu umesema unaishi kanda ya ziwa basi akili yako haipishani na ya samaki KAMONGO.Katika kumbukumbu zangu, mauwaji ya kimbali nchini rwanda na burundi yalihamasishwa zaid na radio. mi binafsi sijawahi kuisikia hiyo radio make nipo kandaya ziwa, ila kutokana na laana nyingi za wana JF nahisi ni tatizo kubwa. Nacho omba wale wenye umbwa wanaoshika dhamana walifanyie kazi jambo hili la hii radio imaan 😛oa
Kweli huyo mtoto ana tatizo..lakn tatizo kubwa lipo kwa yule mwenzie aliyemdanganya kuwa atageuka mjusiJe mtu aliyosoma na kulelewa kimadili anaweza sio tu kukojolea kitabu cha Cha Dini yake au Ningine. lakin sifikirii hata kama ataweza kukojolea daftari lake la skuli?
Je ina maana mtoto huyo hajapata mafunzo yale ya sunday school?
Je mtu aliyosoma na kulelewa kimadili anaweza sio tu kukojolea kitabu cha Cha Dini yake au Ningine. lakin sifikirii hata kama ataweza kukojolea daftari lake la skuli?
Je ina maana mtoto huyo hajapata mafunzo yale ya sunday school?
mwenye macho na akusome na mwenye kusikia na akusikie,chezea elimu akhera weye!Uhuni wake hautokani na kukamatwa na polisi bali matendo yake. Nakushangaa sana kama wewe ni muislamu mwenye akili timamu halafu unamwona Ponda ni kiongozi mwenye heshima! Hizi kauli zenu ndo zinaudhalilisha sana uislam na kuufanya uonekane ni dini ya wakorofi na wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo. Hivi haya anayofanya Ponda bado yanamqualify kuwa sheik mwenye heshima kweli? Achani kuudhalilisha uislam nyie!
Kwa mtazamo wako huo basi neno 'Uchochezi' litakuwa halina maana kabisa na inabidi tulitoe kwenye kamusi yetu. Lakini Ponda aliongezea kwamba kuanzia sasa waislam watakuwa wanadai haki zao bila kufuata sheria za nchi na kazi ndiyo imeanza...na hilo na lenyewe sijui utalisemeaje?kwa kosa la kupongeza....kwamba aliwapongeza na kuwataka wafanye nchi nzima...really?.
Even so mchungaji mtikila ndo bingwa wa matamshi ya dizaini hizo na hadi leo yuko free.
Bila kumsahau slaa,ambae anakesi mahakamani ambazo serikali ilishazigeuza maagizo,huwaga hazitolewi hukumu zinapigwa tarehe tu.