Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..

Siku zote nitalaani unafiki.

Mkuu Mkandara, sisi wote ni Watanzania, lkn sasa imefikia sehemu tutambuane kwa hulka zetu. Nyinyi wenzetu mmekuwa MIZIGO. Mmekuwa mizigo kwa namna mnavyojiweka na kwa kudhania mnatetea kile mnachokiamini ilhali hamjui u wapi msingi wa imani yenu.

Hili swali lako kwa kifupi ni la kipumbavu.

Upumbavu wa swali lako unaambatana na unafiki wa wengi wenu. Naomba unisome kwa makini kabla hujakurupuka kusema umetukanwa au umeonewa. Mmekuwa na tabia ya kudumu ya unafiki ambao sielewi mmepofuka kiasi hamuoni au mnafanya makusudi mkidhania watu wengine ni wajinga.

Imekuwa kawaida yenu sasa kutokuwa na msimamo imani yenu inapoingia majaribuni kiasi mnakuwa na matamko mawili yanayopingana. Tukio la Mbagala mmelilaani na wengi wenu mkasema kuwa UISLAMU HAUFUNDISHI VILE. Haikuishia hapo, mkadai vile vile kuwa, tukio lile haliwezi kamwe kufanywa na Muislamu kwa kuwa ni kinyume cha mafundisho ya Marehemu Mohammad. Mkasema kuwa mambo yale machafu yamefanywa na watu wenye nia ya kuuchafua Uislamu. Mimi naamini hayo yote yamesemwa ili tu kutuaminisha kuwa Uislamu hauungi mkono vurugu.

Cha kushangaza (unafiki mbaya), unapofikia wakati wa sheria kuchukua mkondo wake dhidi ya watu ambao mwanzo mmewakana kuwa si Waislamu ila wana nia tu ya kuuchafua Uislamu, basi mnageuka. Hapo kauli yenu ni UISLAMU UNAANDAMWA.

Ina maana wahalifu wana uhusiano na Uislamu kiasi wakikamatwa mseme uislamu unahujumiwa?


Jana Channel Ten imemnukuu Sheikh Ponda akisema amesikitishwa na tukio lile na analilaani. Lakini alichotaka yeye ni kusikia serikali ikilaani kitendo cha mtoto kukojolea quran. Serikali haijalaani, bali imechukua hatua za kisheria kumfikisha mtoto yule mahakamani, vivyo hivyo kwa wezi wale na wavunjifu wa amani. Lakini Ponda anahoji kwa nini wamekamatwa.

Ujinga na unafiki wa Ponda, wewe unaurudia hapa. Hii tabia yenu si nzuri kwa kweli. Ikiwa tunataka tuonekane wengi, JUMA ni MUISLAMU, lakini JUMA akiiba KANISANI, JUMA sio Muislamu.

Kwa kweli mnachosha, tukiacha masihara, mmekuwa mzigo. Ndio hizi tabia zinafanya tunarudi nyuma hata katika mambo ya msingi. Wakati watu wanakazana kuibana serikali kudai mambo ya msingi kwenye katiba mpya, wenzetu mnadai haki ya kufuga ndevu na polisi kuvaa hijabu. Hii maana yake ni kwamba, mambo ya elimu, afya na ulinzi wa nchi yetu nyie kama kundi hamna maoni, mnaji- isolate na kuwa na maoni yenu kwa faida yenu na hayo mengine mnawaachia waliopewa jukumu la kuibeba nchi, au nisemeje?

Laana huonekana kwa matendo ya mwanadamu, na unafiki ni sehemu ya laana hiyo.
 

Unaemtukana Kiongozi wa Waislamu tena mwenya heshima ktk jamii yake!!! nani amekupa ruhusa ya kumtukana mtuhumiwa ambae hata mahakama haijamhukumu kwa kosa hilo lako la uhuni? jiheshimu ili na wewe uheshimiwe!!!

Yule mbunge wenu aliyefukuzwa na mahakama huko Arusha tukimuita mhuni kwa kukamatwa na Polisi ktk vurugu za Arusha 2011 tutakuwa tuna fanya kosa?
 

na wala hakimu hatafuata kina fulani kule jf wanasema nini.sheria ndio itaamua hapo.lakini watu humu wanaripuka kama ndo kishahukumiwa.
Halafu wanajidai,SISI WASOMI BANA,My feet.
 
Katika kumbukumbu zangu, mauwaji ya kimbali nchini rwanda na burundi yalihamasishwa zaid na radio. mi binafsi sijawahi kuisikia hiyo radio make nipo kandaya ziwa, ila kutokana na laana nyingi za wana JF nahisi ni tatizo kubwa. Nacho omba wale wenye umbwa wanaoshika dhamana walifanyie kazi jambo hili la hii radio imaan 😛oa
 
Siamini mtu aliyesoma anaweza kuharibu na kuiba mali za kanisa. Huo ni ukosefu mkubwa wa elimu si ya dunia tu, bali hata ya ahera!!
 
chui alishaingia siku nyingi sana zizini, na amakula mbuzi wengi sana, sema uvumilivu wa wanaoliwa umekwisha ndo maana unaona chui anaanza kupata majeraha. kwani zamani alikuwa akila kimya kimya.
 
Sheikh Ponda mtetezi wa waislamu wanyonge kukamatwa kwake hakuna mantiki na ataachiwa kama ambavyo kila mara akikamatwa anaachiwa kwa sababu yakutokuwa na kosa lolote!Tuko pamoja na wewe shekh Ponda!
 

na wala hakimu hatafuata kina fulani kule jf wanasema nini.sheria ndio itaamua hapo.lakini watu humu wanaripuka kama ndo kishahukumiwa.
Halafu wanajidai,SISI WASOMI BANA,My feet.
 
Wanaoleta uchochezi hawaonwi(kwenye red) ila MwanaHALISI msema kweli anapigwa ban isiyo na ukomo...Shame on you Sirikali....
 
Kama kweli Iran ndiyo inafadhili uovu huu hapa nchini, basi Kikwete yupo nyuma ya jambo hili. Nafikiri ni harakati zile zile za kuislamisha nchi za Africa ndiyo zinaendelea hivi sasa. Nilikuwa siku moja namtania mkenya mmoja kwamba wao hawapo stable kutokana na ukabila. Akanicheka sana akasema duniani hakujawahi kutokea vita mbaya kama ya udini. Na Tanzania ipo mbioni kupigana vita ya udini verry soon. Kwa dalili zilizopo naona kabisa siku si nyingi tutakuwa tunachapana. Maana najaribu kuimagine kama waislamu walipokuwa wanavamia makanisa wangewakuta waumini wakikristo makanisani kwao ingekuwaje? Definitely wangetaka kuwaua, hatujui revenge ingekuwaje, na ingetawanyika hadi wapi? Si ajabu siku ile Dar nzima ingekuwa kwenye vita ya kidini. Cha ajabu Kikwete na viongozi wa Bakwata wanalichukulia simple tu. Hapo ndo ninapoona shida ya nchi kuongozwa na hawa jamaa. Yaani wakishachukua madaraka tu, hali ya nchi inayumba na migogoro inaongezeka.
 
yule mwanaharakati maarufu wa dini ya kiislamu sheikh ponda issa ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa temeke tungi

aisee kama ni kweli itakuwa taarifa njema

yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?

kuwashawishi watu kwenda kuchanachana biblia, kuiba sadaka na kuharibu makanisa. Inawezekana hata zile sadaka walizoziiba zilipelekwa kwake( rumours)

ni taarifa za kweli na aliwindwa kwa siku tatu ili akamatwe katika mazingira salama yasiyoweza kuibua mtafaruku na huu ni mwanzo, huenda hatua kubwa zaidi zitachukuliwa kwa redio imani.

bado na huyu kirusi radio imaan anazidi kueneza chuki baina ya watz na kutugawa kwa misingi ya udini wake.


naona wale 120 walioko selo wamemtaja yule jamaa mchochezi sana yule bora akanyee debe

nini kiliizuia serikali kuchukua hatua kubwa kwa radio imani siku za nyuma? Bado naamni serikali adilifu ingekwisha shughulikia tatizo na chuki za kidini muda mrefu nyuma.

yote 9 hii habari iwe ni kweli na kama ni kweli wasitufanye watoto wadogo kwa kumwachia bila vigezo vya kueleweka! Anastahili kujibu tuhuma nyingi sana na awajibishwe! Tumechoka na maneno na vitendo vyake vilivyojaa chorus!

mzee mwanakijiji

labda ya mbagala ndio yame waamsha huu sio utani tena, na ni watu gani anaowaamsha kwa fikra zake ambazo hazifai.

Let it be true na anyongwe

kachukuliwa kama mtuhumiwa tu. Harakati za upelelezi zinaendelea

mi nimeipenda hii ya kukamatwa kwake kama ni kweli.

Angestahili awe mshtakiwa wa kwanza kt ya wale wote waliokamatwa!


kwa hiyo alikuwa amejificha msikitini??.....ponda nae ni wa kuwinda kwa siku 3?

wampeleke somalia akajiunge na alshababu na kumalizwa na majeshi ya kenya.

arejeshwe kwao burundi haraka sana au abanwe aseme anayemtuma kuhubiri maangamizi wakati hapa si kwao.

wataandamana mpaka ofisi ya wizara ya mamabo yandani na washinikiza atolewe kama walivyofanya kwa wale waliogomea sensa

kweli kabisa kama hii taarifa ni ya ukweli safi sana..

kwa nini hakuwahamasisha wakasome albadil (sijui ndo inavyoandikwa) kimya kimya kuliko vurugu?

wewe ndio maana watu wanakuita mnafiki umu ndani,leo ndio nimeprove unafiki wako...yani uhoni kosa la ponda!!?...ooh mungu tunusuru!!

bora amekamatwa sio cku ya ijumaa....

kama ni kweli safi sana,huyu mburula ni mdini,mchochezi.safi sana kova.

angekamatwa hata mwaka jana au juzi. Ni ingekuwa bora sana kama angekuwa hayati

plizi kama humjui huyo mwendawazimu nenda google au search humu jf thread zinazomhusu usome usichoshe watu hapa bure,kuhusu juha ponda

utawewaza wanafiki wa humu.hata hawanaga aibu asee.

inasemekana kazi yake nyingine ni kutuma vijana wabomoe makanisa waibe vitu vilivyomo na kuviuza ili apate pesa ya kula

naikubali sana serikali ya kenya wapuuzi wapuuzi kama hawa ni kuwalenga tu risasi za usoni

nilisikia mlimani tv jana upuuzi aliokua anaongea na kama kweli wangeendelea kukaaa kumya basi ningefikiria vinginevyo. Kaongea ujinga mwingi sana jana kwene vyombo vya habari


shekh ponda is suffering from personality disorder, behaving antisocial and violent without remorse. He is dangerous by himself and unfit to live in a civilized society.

thank you jesus... Huyu mtu anatakiwa apewe kifungo cha pepo..

ssshhhhhhh! Jameni taratibu...wasije wakawasikia......kama mikojo ya kitoto imeleta makanisa kuchomwa na vurugu full.... Je haya wengine mnayoyasema hapa ya wakubwa? Nuklia italipuka...mimi huyooooo....simo...

serikali hii siyo sikivu hata kidogo. Inawavumilia sana watu wanaoeneza chuki baina yetu. Ilichelewa sana kumkamata shekh feki huyo. Shekhe ponda ni shehke feki.

better late than never. Kama ndo serikali inaamka ni bora kuliko kuendelea kufuga kidonda ndugu

kova ijumaa twataka segerea,ukonga nakeko waandae mazingira vzr ya kuwaweka selo. Huyu ponda anapenda shortcut sasa wapuuzi wamuunge mkono ijumaa wakanyee ndoo.

safi sana na ikiwezekana wamrudishe kwao burundi kwani inaonekana kazoea vita sana na anataka tanzania iwe kama burundi. Ninaomba aondolewe tz yatu ibaki salama.

eti ponda anapigania haki..!!haki ipi haswa,? Kuchoma makanisa na kuiba sadaka au kuna haki nyingine mkuu mnayotafuta


huyu jamaa amekuwa janga la kitaifa! Hongera polisi kwa kazi nzuri.

mbona polisi wana makosa mengi tu ya kumpa. Wanaweza kusema uchochezi mpaka hapo????

jana alikuwa anamlaumu kikwete kwanini ameenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na kuacha msikiti uliovamiwa na polis. Amesahau kwamba wale wez walikimbilia msikitin kujificha

unauliza nini sasa na ulishasikia ni sheikh¿? Zaidi ya uchochezi unafikiri ni nini tena.


leo mnaona polisi wanafanya kazi nzuri mkuki kwa nguruwe sio pro chadema bwana.



radio imaan povu limeshaanza kuwatoka nawasikiliza hapa

asante yesu,kwa kuwa umeanza kusikia maombi ya watoto wako,tunaomba amani ya kweli haliyo iacha baba wa taifa,glory to god


ponda haitoshi funga radio iman ndio wanaopandikiza mbegu mbaya haina tofauti na ile radio iliyowachochea wanyarwanda kupigana, watawala amkeni!

akitoka utawafanya makristu wakachome misikiti 50... Watu wanasubiri hukumu ya haki au walipize kama wao walivyofanya

kukamatwa kwa ponda ni kazi rahisi.
Swali ni je kwa hali ya mfumo wetu wa utoaji haki ilivyo sasa ponda atawajibika kwa matendo yake ya kuhatarisha amani ya nchi hii iliyodumu kwa takribani miaka 50 tangu taifa hili lipate uhuru wake.


siyo dini iliyowatuma hawa. Ni wehu ndio uliowatuna hawa kule mbagala. Muislam safi hayupo ivyo, tuseme mara ngap?.

na hao wachochezi wengine wanaosababisha hadi watu wanapoteza maisha inatakiwa wanyee mtondoo bila kujali kuwa yeye aliwahi kuwa kiongozi wa dini ama nini.
Hapo ndo tutajua haki inatendeka vinginevyo ni kiinimacho.

hivi ni kwanini kikwete ameiachia muda wote huu??? I hate it!

jana startv alisema serikali ndio chanzo cha machafuko mbagala.huenda ndio ikawa chanzo cha kukamatwa kwa alionesha dhahiri kumtuhumu jk

wakristu wote, kuanzia saa tatu jumapili kufanya maandamano ya amani kuelekea jangwani. Taifa na serikali lazima lifahamu kuna watu wanaumia kwa upuuzi unaoendelea. Redio, magazeti na watu wanaoeneza chuki hawana budi kuchukuliwa hatua.

let him rest in peace


Acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa sheikh aboud rogo, na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazuia watoto wao.

Yaani kama kuna maadui wa kiislamu wanaojidai kupambana na uislamu, basi jueni vijana wa kiislamu wao wamepinda zaidi. Endeleeni kuwachokoza. Kama uliangalia vizuri, zile vurugu za mbagala ziliongozwa na watoto wa madrasa tu.

Sasa mkamateni sheikh ponda, ndio mtawajua kaka zao wale watoto wa madrasa.

Ponda hayuko juu ya sheria. Anaweza kuitwa kuhojiwa wakati wowote ili kuweka jambo bayana. Hivyo mnavyo shangilia kua kakamatwa huo upotofu wa taarifa.

Ponda haongei uchochezi. Anaongea kwa hoja na ndio maana sheria haiwezi kumtia hatiani. Kuweni waelewa.

Kama ponda angekamatwa kwa staili hiyo, saa hizi tungekua tunaongea habari nyingine. Waislamu wote tunajua wajibu wetu katika kuwalinda viongozi wetu.
Wako tunao tumia busara katika hili, lakini wapo vijana wao ni kazi pale wanapo amrishwa.

Hii nchi tusipo kua na adabu na nidhamu, juu ya imani na tofauti zetu, basi msishangae tukigawana milango na madirisha.

Hatupendi tufike huko, lakini hatuko tayari kua second citizen katika nchi tulio ipagania. Mlicho tufanyia ni sawa sawa na kumtu kukuomba lifti, na wewe unampa kwa roho mmoja kama binadamu mwenzako, kumbe ni jambazi. Bahati nzuri tumeshtuka, before it is too late.

Sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
 
Kwa aina hii ya mijadala ni wazi tunazidi kupalilia ubaguzi wa kidini hapa nchini. Manake kuna comments nyingine hapa mtu unashindwa kuamini kama zinatoka kwa maGT au ni wanaharakati wa kidini, tena wale wa imani kali.

Hivi watu mmechoka sana kiasi cha kutamani minyukano?
 
huyu bwana anaweza kuipeleka Tanzania kuwa kama Ruanda asipothibitiwa mapema
nashauri apewe karipio kali na na sio kumkamata kwa sasa mda wote walikuwa wapi

SHEKHE PONDA ISSA PONDA - KWA MANENO YAKE MWENYEWE NA WAANDISHI WA HABARI ANASEMAAAAA>
POLISI NDIYO WALIOSABABISHA MAKANISA KUVAMIWA MBAGALA KWANI WALIINGIA MAKANISANI NA KUANZA KURUSHA MABOMU MISIKITINI.
RAIS KIKWETE ALIPENDELEA KUANGALIA MAKANISA MBAGALA WAKATI IPO NA MISIKITI ILIFANYIWA HUJUMA.
ANASEMA UONGOZI WA NCHI HII UMEEGEMEA UPANDE MMOJA WA IMANI.

[FONT=lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]hivi kuna msikiti uliohujumiwa? na nani?lini? na wapi?
shekhe ponda ni janga la kitaifa
[/FONT]
 
Uhuni wake hautokani na kukamatwa na polisi bali matendo yake. Nakushangaa sana kama wewe ni muislamu mwenye akili timamu halafu unamwona Ponda ni kiongozi mwenye heshima! Hizi kauli zenu ndo zinaudhalilisha sana uislam na kuufanya uonekane ni dini ya wakorofi na wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo. Hivi haya anayofanya Ponda bado yanamqualify kuwa sheik mwenye heshima kweli? Achani kuudhalilisha uislam nyie!
 
leo mwema anasifiwa,,,,sio mwema yule anawaambia polisi waue,,,,si yule mnayesema apelekwe ICC???,
MSANGI UNAYEMZUNGUMZIA HAPA SI YULE ULOMZUNGUMZIA WAKAT WA DR ULI,,,,,,
WAZEE WA NDIMI 2 BHANA

Wakifanya kazi nzuri lazima tuwasifie! wakifanya vibaya lazima tuwaambie ukweli.Teh teh teh
 
NOT GOOD ENOUgH.
Usalama wa nchi yetu ni kufunja kabisa uhusiano wa kibalozi ya Serikali ya Iran.
Kushughulikia kina Ponda ni kutreat symptoms wakati tatizo lipo pale pale.

na ule wa roma pia ufungwe
 

Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?

Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.

Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?

Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.

 
Napendekeza huyo Sheikh kilaza Ponda anyongwe hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…