PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh

Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki.

Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana kudai haki unamnyima uhuru wake wa kutafuta haki, hata hivyo maandamano ya disemba 9, 2025 ni ya amani kudai haki lakini kama mamlaka zitatumia nguvu nyingi kama walivofanya Oktoba 29 basi siyo kosa la muandamanaji ni mamlaka kuwajibishwa na ukumbuke pia tayari Gen Z tumepeleka barua kwa mamlaka za ulinzi kuwa tarehe hiyo tunaingia barabarani kwa amani kudai haki

Sheikh acha kudanganya waumini wako kujikunyata kupambania haki yao na kutetea taifa

Kwani mkiandamana TEC wenyewe kuna shida?
ibada za jumapili iliyopita mnajua mlichohubiriana wenyewe.

paroko anawambia VIWAWA kuandamana, shekhe anawambia vijana wake kutoandamana. kwa nini usiheshimu uhuru wake wa kuwapangia vijana wake?

anakosali heche(sabato) kimya, wanglikana tupo kimya, wapentekost wote kimya..kwa nini makundi haya tupo kimya? KWA SABABU SISI NI WAPATANISHI NA NDYO BIBLIA INATUAGIZA KUFANYA.
 
"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh

Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki.

Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana kudai haki unamnyima uhuru wake wa kutafuta haki, hata hivyo maandamano ya disemba 9, 2025 ni ya amani kudai haki lakini kama mamlaka zitatumia nguvu nyingi kama walivofanya Oktoba 29 basi siyo kosa la muandamanaji ni mamlaka kuwajibishwa na ukumbuke pia tayari Gen Z tumepeleka barua kwa mamlaka za ulinzi kuwa tarehe hiyo tunaingia barabarani kwa amani kudai haki

Sheikh acha kudanganya waumini wako kujikunyata kupambania haki yao na kutetea taifa

Anaongea na akina nani
 
Shehe yuko Sahihi hapendi waumini wake wakaharibu mali za watu nakuuwa so chonde chonde tuwasihini vijana wetu wasishiriki maandamano haya ya kiharifu
 
1001344889.jpg
 
Mjibuni huyo shekh Mtume Kwa kauli yake aliwambia waumini ' USIDHULUMU WALA USIKUBALI KUDHULUMIWA' dhuluma Kwa muislam is a WAR trigger dini haimskilizi mtu ila
Quran 103
 
Attachments

  • Screenshot_20251121-112629.png
    Screenshot_20251121-112629.png
    76.7 KB · Views: 11
Hebu punguzeni kuleta hayo mashudu ya hao wapuuzi kuna vitu vya msingi vinahitajika kujadiliwa na kujaza seva ya jf sio hao watu
 
haki gan umekosa wewe
Hivi kweli wewe Kama mtanganyika unaweza kuniuliza swali Kama Hilo? Kweli yaàni kweli kabisa dhulma hizi unaweza kuniuliza haki Gani nimekosa? Ila ndio kawaida yenu nyie mboga mboga dhulma Kwenu ni kitu kidogo TU ila jitafakari Kwa swali uliloniuliza Bado siamini Kama huamini nchi hii Haina haki, anza tu na ripoti za CAG miaka 10 iliyopita, Wala usiguse kingine, Kama mahakama, polisi Wala bunge JITAFAKARI mwenyewe alafu jiulize Kama unastahiki kua mtanganyika alieniuliza swali la kipumbavu namna hii.. nimejizuia Sana nisikuvurumishe
 
sasa CAG inahusiana nn na haki? ndo maaana sometimes mnaitwa manyumbu
 
Wew e ndio maana nyinyi CCM sio wazima yaàni hesabu za mapato na matumizi ya duka langu sio haki yangu kujua, kuhoji na kutaka uwahijibkaji? We Mola tuhurumie, kwahio na kutekwa na kuuawa Kwa kuhoji pia hio dhulma ni ya kunyamanziwa? Am done siongei na mzima hapa
 
"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh

Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki.

Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana kudai haki unamnyima uhuru wake wa kutafuta haki, hata hivyo maandamano ya disemba 9, 2025 ni ya amani kudai haki lakini kama mamlaka zitatumia nguvu nyingi kama walivofanya Oktoba 29 basi siyo kosa la muandamanaji ni mamlaka kuwajibishwa na ukumbuke pia tayari Gen Z tumepeleka barua kwa mamlaka za ulinzi kuwa tarehe hiyo tunaingia barabarani kwa amani kudai haki

Sheikh acha kudanganya waumini wako kujikunyata kupambania haki yao na kutetea taifa

anaewanyima haki waislam si ndo huyo watu wanataka kupambana nae trh 9 dec ? na yey anasema watu wasiandamane ili huyo mtesi wake aendelee kumnyima haki vzr
 
sasa CAG inahusiana nn na haki? ndo maaana sometimes mnaitwa manyumbu
wenzio wanaiba mabilion na kuuza viungo vya watu , kisha wanatumia dini kama kichaka cha kuficha madhambi yao

Watu weus tunahitaj maombi
 
Waislamu ni kama Mzinga wa nyuki ila ukiwachokoza ndo utajua rangi zao
 
Back
Top Bottom