Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Kama huyo Sheikh kapotea, kuna uhusiano gani wa kuwazia makanisa? Yaani sisi waislam watu wanatushangaa tunavyoropoka, hatujui kujenga hoja... Wwenzetu wanajipanga kisawasawa na kama kuna jambo wanawasilishwa serikalini, wanakuwa na ushahidi wa kutosha. Sisi ni kama mazuzu tu washibiki.
 
  • Thanks
Reactions: 911
kwanini wasiachie polisi kazi??? kama mambo ndio haya hakuna hata ukweli kwenye kutoweka kwa Sheikh Farid wa Uamsho. Ninachoona ni kwamba wanatafuta sababu ya kufanya uhalifu tu hawa!!!
Polisi wafanye kazi yao hapa
 
Sasa kama mtu "alishuka mwenyewe" na "kuingia kwenye gari jingine bila shuruti", utasemaje katekwa? Kwani mke au wake zake wanasemaje? Huyo dereva aliambiwa nini na Sheikh kabla ya kupanda kwenye gari? Kwanini dereva wake asikamatwe na kueleza umma vzr? Jamani wasilamu sisi tusiwe na jazba na kila kitu.....

Mkuu labda kulikuwa na mguu wa kuku nyuma!! Ushawahi kuwekewa bastola kiuononi... ??? Usiombe hiyo hali ikukute..
 
Picha zaidi... Darajani
 

Attachments

  • darajani.jpg
    darajani.jpg
    106.3 KB · Views: 50
Ukitaka kujua dini inatumiwa kwa dhiki angalia wanaoandamana sio wale waislamu wanaotoka familia nafuu kimaisha
Kweli kabisa Mkuu, ijapokuwa uislamu unaambatana na dhiki lakini hawa wanaoandamana Dhiki imezidi,tazama picha zao
utafikiri wako kwenye hunger stike.
 
ccm kisonge.jpg

Waislam zanzibar wachoma maskani kuu ya CCM zanzibar inayojulikana muembe kisonge baada ya kiongozi wao kupotea katika mazingira ya kutatanisha vurugu kubwa limetanda mjini zanzibar.
 
Kwa sababu tunawalea tuyakubali haya hao wakristo si watoke huko znz

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Njia pekee ya wanasiasa kukaa na kujadili swala hili. na Conclusion ije kwa kulijenga taifa litalothamini DINI ZOTE

Mkuu Taifa letu linathamini DINI zote bila ubaguzi, tatizo ni watu wachache tu ambao ni wagomvi by DEFAULT; mbona tuna ndugu zetu waislaam na wasio ndugu zetu hatuna matatizo nao hata kidogo. We jaribu kusikiliza redio IMANI ndio utajuwa kwamba kuna watu wachochezi wa kushangaza, mambo mengi yanayo tangazwa mle niya kutunga TU, huwa najiuliza hivi hawa watu kama wanaweza kusema vitu kama hivi kwenye AIRWAVES ambako kila mtu anawasikiliza, Je kwenye madrasa ya watoto wadogo wanawaeleza/fundisha vitu GANI si ndio itakuwa marudufu - kwa nini Serikali inaruhusu redio itangaze vipindi vya kukashifu: Vatican, Mfumo Kristo-wanabuni tu wala hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania, Marehemu Kambarage - yaani wako obsessed na Nyerere kama nini!!! Wanasahau kwamba mtu huyu huyu ndie alitaifisha mashule na Mahospitali ya Kikristo ili Waislaam WASOME bila ubaguzi, hilo wakina Sheikh Ponda hawataki kulisikia!

Nataka kuikumbusha Serikali yetu Tukufu kwamba RADIO ni media hatari sana ikitumiwa na watu wenye nia mbaya au Agenda za SIRI, tukumbuke mahuaji ya RWANDA chanzo chake ni propaganda hizi za chuki kupitia RADIO - so WATCH OUT, Redio IMANI hisifungwe ila wachochezi walio kubuhu na wasimamamizi wa vipindi na watangazaji ndio wachukuliwe hatua kali.

Mimi katika maisha yangu sijawahi kusikia Padri, Mchungaji au Askofu akizungumzia kuhusu DINI ya Kislaam au kuikashfu au kuwa na interest ya kujuwa maandiko yaliyomo kwenye Quran - jaribu kwenda kwenye mihadhara ya watu kama Ponda na wenzake utakuta 90% ya muda wao ni kuhusu ubaya wa mfumo Kristo, wakiona Waislaam wastaarabu wenye nia njema ya kuishi na Wakristo kwa amani, basi watazuliwa mambo ya kutaka kuwang'oa kwenye madaraka kwa nguvu - kisa eti "they are not RADICAL enough!!!!!"
 
Popote alipo huyo farid na lile kubwa jinga ponda yakamatwe na kuswekwa ndani ni virusi hatari katika amani yetu
 
Mi sikubaliani na hilo, dereva wake aliamrishwa kufumba macho? Tena huyo Sheikh ni Mzanzibari na hii ishu imetokea huko ambako kila mtu Swirikalini ni muislam mwenzetu (karibu 99.99%). Sasa atatekwaje na waislam wenzetu?
 
Mkuu labda kulikuwa na mguu wa kuku nyuma!! Ushawahi kuwekewa bastola kiuononi... ??? Usiombe hiyo hali ikulute..
Aliwekewa bastola kiunoni ina maana kiuno chake kilikuwa kwenye dirisha la gari lake?Ama unazungumzia kiuno cha nani?uchambuzi gani huu?Wengine wanasema eti kapotea,amekuwa coin?ama hata amekuwa mtoto mdogo?Ama hata alikuwa kwenye matembezi au yeye mwenyewe alikuwa akiendesha hadi tuseme alipotea?

Huyu kajificha,period!Na kama ni kweli yeye alikwenda kusikojulikana mida ya saa tatu usiku,halafu kama ni kweli Ponda alikamatwa saa tano usiku,basi kuna mwana inteligensia ama polisi aliyemvujishia habari kumwambia na wewe utakuja kukamatwa.Ni sawa na operations za kukamata wahalifu lakini huwa kuna polisi wanaowavujishia siri baadhi ya wahalifu ili wasikamatwe.That's the way i see it.

Mtu aone gari jingine ambalo hata dereva wake aliliona(na kwamba hajawahi kuliona), na akashuka mwenye kulifuata useme ametekwa?
 
Back
Top Bottom