Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Kweli kabisa Mkuu, ijapokuwa uislamu unaambatana na dhiki lakini hawa wanaoandamana Dhiki imezidi,tazama picha zao
utafikiri wako kwenye hunger stike.

Hahahaha kazi ipo......masikini huwa wanatumika vibaya sana afu wenyewe wala hawajijui!
 
Hiki katika picha kinaonekana ni kikundi cha watu wachache wenye kutaka vurugu. Wakamatwe na kupigwa viboko tu alafu warudi nyumbani kwao wawaonyeshe wake zao.
 
kwanini wasiachie polisi kazi??? kama mambo ndio haya hakuna hata ukweli kwenye kutoweka kwa Sheikh Farid wa Uamsho. Ninachoona ni kwamba wanatafuta sababu ya kufanya uhalifu tu hawa!!!
Polisi wafanye kazi yao hapa

Nakuhunga mkono mkuu, mambo yenyewe yamekaa ndio sivyo! Mtu hawezi kusimamisha gari lake akiwa na dereva wake, akateremka na kuingia kwenye gari lingine kistaarabu huku Dereva wake akushuhudia kila kitu - hii inaleta maswali mengi, je katekwa kweli au wanatafuta kisingizio cha kuanzisha labsha kisiwani.

Lakini kama mwenzangu alivyo sema, inaonekana jamaa alipewa tip off kuhusu kutiwa mbaroni kwa Ponda na yeye kahamua kuingia mitini/mafichoni.
 
This wicked generation can laugh even at its own peril. It was "The Father" who engineered all this. Now we are harvesting the bitter fruits.
 
Kama hii ndiyo think tank tuliyonayo! Tanzania tumekwisha. Kama nijazba, hebu tujirekebishe halafu tupate mawazo yenye dira yaliyo tofauti na wale watu ambao hawajapanuka kimawazo.
'Hawajapanuka Kimawazo' unamaanisha nini.?. Bayana acha utani na Uislamu bhana.
 
Ukificha tatizo la kujiona wakiristo ndio wanaomiliki tz. atharai yake itakuwa kubwa zaidi kuliko hivyo mnavyotaka watz tuamini kwamba hali hii inatokana na waislam. ource ya haya ni Serekali kuendelea kuona kwamba wakiristo ndio wenye tz
 
Dereva ndiyo anatakiwa kuhojiwa vyema.Kwasababu magari huwa hayakutani kama binadamu,magari huwa yanapishana,binadamu ndiyo hukutana.Kwa misingi hiyo basi,Sheick Faridi alienda kukutana na mtu ambaye hakuna mwingine yoyote ikiwemo dereva aliyekuwa na taarifa hizo.Kama alikuwa na taarifa,basi kuna kitu anaficha.

Swali la msingi kwa dereva huyo,ni aeleze mazingira ya kukutana huko,je aliamriwa na Faridi kulisimamisha gari?Kwasababu asingeweza kushuka kutoka kwenye gari bila ya either gari kusimama kutokana na trafic,ama kwenye msongamano wa magari,or maybe alilisimamisha gari kwa amri ya Faridi.Ama labda walisimamisha gari ili kwenda kwenye shughuli flani ie dukani nk.Lakini hilo halina mantiki since dereva anasema "walikutana na gari asilolifahamu", hii ni kuonyesha kwamba kulikuwa na miadi ya kukutana.

All in all,dereva anahitajiwa kuhojiwa zaidi kuujuwa ukweli.Habari hii haijakamilika hadi tukibatize kichwa cha habari kwamba alitekwa.
 
Ukificha tatizo la kujiona wakiristo ndio wanaomiliki tz. atharai yake itakuwa kubwa zaidi kuliko hivyo mnavyotaka watz tuamini kwamba hali hii inatokana na waislam. ource ya haya ni Serekali kuendelea kuona kwamba wakiristo ndio wenye tz

Serikali gani mkuu, mbona sikuelewi!
 
Katekwa na alishababi wenzake,kashindwa kutekeleza malengo yao,kwa hyo wanaenda kumnyonga
 
ujue nashangaa nn,kashuka mwenyewe kwny gari na kupanda hilo gari lingine,ss ndo kutekwa gani huko?
 
Back
Top Bottom