Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Aliwekewa bastola kiunoni ina maana kiuno chake kilikuwa kwenye dirisha la gari lake?Ama unazungumzia kiuno cha nani?uchambuzi gani huu?Wengine wanasema eti kapotea,amekuwa coin?ama hata amekuwa mtoto mdogo?Ama hata alikuwa kwenye matembezi au yeye mwenyewe alikuwa akiendesha hadi tuseme alipotea?

Huyu kajificha,period!Na kama ni kweli yeye alikwenda kusikojulikana mida ya saa tatu usiku,halafu kama ni kweli Ponda alikamatwa saa tano usiku,basi kuna mwana inteligensia ama polisi aliyemvujishia habari kumwambia na wewe utakuja kukamatwa.Ni sawa na operations za kukamata wahalifu lakini huwa kuna polisi wanaowavujishia siri baadhi ya wahalifu ili wasikamatwe.That's the way i see it.

Mtu aone gari jingine ambalo hata dereva wake aliliona(na kwamba hajawahi kuliona), na akashuka mwenye kulifuata useme ametekwa?

mkuu vipi punguza jazba! leo england vs poland saa ngapi! ...??
 
Hofu yangu ni kitu kizito chenye ncha kali kumwangukia kichwani kutoka mahali kuzikojulikana,hii yaweza kuchoche ghasia zaidi
 
Kimenuka wanataka kumuulimboka nn? waache bana tumechoka na maandamano, maana muda cyo mrefu itakuwa ni ishu ya kusema waislamu hawatulii, who is sponsoring this????????? maana matukio haya yamekuwa spontaneous sana to be a mere coicidence, ooooooooohhhhhhh!!!!!!!! Tanzania my beloved country nakulilia maana tunapoelekea siko.

  • :shock:
 
Au atakuwa kajilipua na hilo gari.... ndio kujitolea huko safiii sana.... wafuatilie mabaki ya gari lililolipuka....
 
Siyo jambo jema kwa PONDA kuanzisha vurugu, lakini pia siyo jambo jema kwa watu kupigwa mabomu kwa sababu ya kutaka mwenzao(PONDA) aachiwe kwani kuna namna nyingi tu za kutawanya hiyo mikusanyiko.

Tupe njia hizo? Hacha ujinga, wachapwe hawa tu, tena police isiwaonee huruma
 
Mpaka sasa maduka yote yamefungwa mjini,tayari maskani ya kisonge ishachomwa moto, mjini hakukaliki, barabara zimefungwa
 
Dereva wake kasema alishuka mwenyewe akaingia kwenye hilo gari sasa mnaosema katekwa ametekwa kivipi? Watu wana hamu tu na vurugu, walikuwa wanatafuta pa kuanzia.
 
Mi sikubaliani na hilo, dereva wake aliamrishwa kufumba macho? Tena huyo Sheikh ni Mzanzibari na hii ishu imetokea huko ambako kila mtu Swirikalini ni muislam mwenzetu (karibu 99.99%). Sasa atatekwaje na waislam wenzetu?

How long are sure? Kwamba dereva aliamrishwa kufumba macho?unauliza majibu atatekwaje na waislam wenzetu? Mm ni muislam sipendezwi na matukio ya kishetan yanayofanyika kupitia uislam hao wamepanga ili itokee vurugu..,a tutageukana mpaka basi tutachinjana sisi waislam kwa waislam hakika dhambi yetu itatutafuna milele...na waislam wenye elimu na uwezo na uelewa mzuri wa dini hawawez fanya hivi hawa ni waislam njaa tena wasio na mbele wala nyuma nawaambia ipo siku tutaanza na kuchoma misikiti afu tunawasingizia wakristo tuachen huu ushetan
 
mtu kashuka mwenyewe kwenye gari lake kaingia kwenye gari jingine mwenyewe,what kinda kidnap is this?another silly excuse to start violence against few christians over there!!! utasikia kanisa limechomwa..

Na mi ndo napojiuliza hapo mkuu!
 
  • Kwa mujibu wa Katibu wake, Abdallah Said Ally, amesema alikuwa na dereva wake maeneo ya Michenzani akitokea nyumbani kwake Mbuyuni, ndipo akakutana na gari moja ambalo dereva halifahamu na akashuka mwenyewe kwenye gari lake na kuingia katika hilo gari na kuanzia hapo hadi sasa hajulikani alipo.

Ametekwa huyo Sheikh au anapunga upepo mahali? Soma hapo kwenye red.
 
Kwani Ponda hana watu wa kumdhamini kwa kufuata taratibu za kisheria?

Mkuu Sangarara unajua kila kitu ukikiachia bila kuchukua hatua unajenga uhalali sasa hawa policcm waliwaendekeza hawa watu sasa inakuwa kama wanaonewa!
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa JK alikuwa anawaachia tu, kaona wanazidi kumvunjia heshima na wanatumia uhuru vibaya kaanza kula vichwa waislam wenzake.... so sweet.. Pigaaaa, huyu huku, kule... mlete... Ya kichwa, ya macho, ya pua puuihhh... uwiiiiii.... nafwaaaa....takbirrrr... pigaaaa ... afande gongaaa.... JOKE TIME WAS OVER...
 
huu ni uongo wanatafuta njia ya kuanzisha vurugu.....naona ss hadi majengo ya ccm yanaharibiwa cjui yamekosea nn
 
Back
Top Bottom