Sheikh aliyesemekana atasoma Alhul badr ahojiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Muheza

Hiyo albadiri ni upuuzi tu. Haipo. Haifanyi kazi. Ni upumbavu mtupu.
Lakini inafanya kazi kama "imagined reality".

Ndiyo maana serikali ambayo haiamini dini, inahangaika na wasoma albadiri.

Ni vote of no confidence kwa serikali kwa watu ambao hawapati nafasi ya kutoa shilingi bungeni.

Al-Badr haina nguvu ya kubadili kitu directly kama dua. Siamini supernatural forces. Lakini ina nguvu ya "imagined reality" kama vile habari za Mungu/Shetani zinavyoweza kuua mtu au kumuharibia career yake.

Mimi moja ya sababu nimehama Tanzania ni kukosa kwangu imani ya Mungu. Ukienda bongo ukasema "siamini Mungu yupo" unakuwa kama mchawi. Watu wanaweza hata kukuua. Kwa nini? Kwa sababu ya "imagined reality".

Noti ya 10,000 ni kipande cha karatasi tu. Lakini imepewa thamani ya kununua vitu vingi sana. Imagined reality. Almost an oxymoron I might add.

Karatasi haina thamani hata ya kukuwashia moto usipate baridi kwa saa moja. Lakini imepewa thamani ya "imagined reality" kwa watu kukubaliana na serikali kuipa nguvu kwamba inanunua vitu hivi na vile.

Na Al-Badr, Mungu, Shetani,Uchawi etc, ni habari za kufikirika kusiko na uhalisia.

Lakini kufikirikahuku kunatengeneza ukweli wake kwenyewe.

Imagined reality.

Dr. Harari katika vitabu vyake "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow" kaongelea sana hii habari ya "imagined reality".

Yule mchuchu wa Spelman alivyokuwa anachukuwa Ph.D yake nilikuwa napelekeshana naye sana kuhusu lectures za Joseph Campbell za umuhimu wa myths kama sehemu ya culture hata kwa watu practical wasioamini supernatural powers katika society.

Nilianza kwa ku dismiss kama hizi ni habari bogus za watu wasioelimika, tukaja kugundua kwamba zina sehemu yake muhimu sana as long as you take things in context.

48 Hours of Joseph Campbell Lectures Free Online: The Power of Myth & Storytelling | Open Culture
 
Lakini inafanya kazi kama "imagined reality".

Ndiyo maana serikali ambayo haiamini dini, inahangaika na wasoma albadiri.

Ni vote of no confidence kwa serikali kwa watu ambao hawapati nafasi ya kutoa shilingi bungeni.

Al-Badr haina nguvu ya kubadili kitu directly kama dua. Siamini supernatural forces. Lakini ina nguvu ya "imagined reality" kama vile habari za Mungu/Shetani zinavyoweza kuua mtu au kumuharibia career yake.

Mimi moja ya sababu nimehama Tanzania ni kukosa kwangu imani ya Mungu. Ukienda bongo ukasema "siamini Mungu yupo" unakuwa kama mchawi. Watu wanaweza hata kukuua. Kwa nini? Kwa sababu ya "imagined reality".

Noti ya 10,000 ni kipande cha karatasi tu. Lakini imepewa thamani ya kununua vitu vingi sana.

Karatasi haina thamani hata ya kukuwashia moto usipate baridi kwa saa moja. Lakini imepewa thamani ya "imagined reality" kwa watu kukubaliana na serikali kuipa nguvu kwamba inanunua vitu hivi na vile.

Na Al-Badr, Mungu, Shetani,Uchawi etc, ni habari za kufikirika kusiko na uhalisia.

Lakini kufikirikahuku kunatengeneza ukweli wake kwenyewe.

Imagined reality.

Dr. Harari katika vitabu vyake "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow" kaongelea sana hii habari ya "imagined reality".

Yule mchuchu wa Spelman alivyokuwa anachukuwa Ph.D yake nilikuwa napelekeshana naye sana kuhusu lectures za Joseph Campbell za umuhimu wa myths kama sehemu ya culture hata kwa watu practical wasioamini supernatural powers katika society.

Nilianza kwa ku dismiss kama hizi ni habari bogus za watu wasioelimika, tukaja kugundua kwamba zina sehemu yake muhimu sana as long as you take things in context.

48 Hours of Joseph Campbell Lectures Free Online: The Power of Myth & Storytelling | Open Culture
Sawa, lakini hiyo imagined reality siyo actual reality.

Hawa jamaa wamekazana kumshukuru mungu na kumuomba mungu kuwa walompiga risasi Lissu yawapate mabaya.

Hell...huyo mungu alikuwa wapi wakati hao watu wanapanga hadi kutekeleza huo uhalifu wao?

Huyo mungu hakujua? Hakuona kuna watu walotaka kumuua Lissu?

Na hiyo albadiri kwani haiwezi kufanywa kimya kimya hadi itangazwe kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii?

Ikifanywa kimya kimya inakosa nguvu au?

Imani huwa ndo dalili kuu ya ujinga...kwa maana halisi ya neno ujinga.

Albadiri haipo kiuhalisia.
 
Duuu kweli wakati mwingine nashindwa kuelewa imani nyingine. Seriously mtu anaaogopa albadir kwamba itamdhuru? Hii ina maana serekali inaoopa mambo ya kiimani ambayo hayana ushahidi wa kisayansi.

Sishangai sana maana kuna viongozi wetu wengi akiwemo mkulu wa sasa walienda kupata kikombe cha babu.

Ndio maana huwa tunasema viongozi wetu wengi wanaamini ushirikina mbali ya kujidai wana elimu kubwa.

Kamuulize JKikwete anaujua mziki wake....... Jamaa aliomba pooo.... Pamoja na kuwa walikuwa bado hajaisoma hiyo Albadir

Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!
 
Hata kama Mungu hayupo na al-badr haifanyi kazi, watu kusema wanasoma al-badr ni kujieleza kwa njia yao kwamba hawana imani na serikali na vyombo vyake.

Ndiyo maana unaona mpaka polisi wanahangaika nao.
 
wameanza kuhaha..!! Si wanajifanya ni wasiojulikana.. hivi hiyo albadir si ni swala kama nyingine mbona tunaingiliana uhuru wa kuabudu
 
Duuu kweli wakati mwingine nashindwa kuelewa imani nyingine. Seriously mtu anaaogopa albadir kwamba itamdhuru? Hii ina maana serekali inaoopa mambo ya kiimani ambayo hayana ushahidi wa kisayansi.

Sishangai sana maana kuna viongozi wetu wengi akiwemo mkulu wa sasa walienda kupata kikombe cha babu.

Ndio maana huwa tunasema viongozi wetu wengi wanaamini ushirikina mbali ya kujidai wana elimu kubwa.

Kamuulize JKikwete anaujua mziki wake....... Jamaa aliomba pooo.... Pamoja na kuwa walikuwa bado hajaisoma hiyo Albadir

Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!
 
isomwe kimoyomoyo au mtu na familia yake ndani,mnakula,mnatawadha miguu,mnazama ndani mnalia usiku kucha,mpaka asubuhi kinakua kimeeleweka,ngoja tuone na Yericko si wanasoma na wao ile ya jadi kwenye shamba la bamia la Yericko
 
Back
Top Bottom