Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,210
- 113,498
Kusema ukweli ingekuwa ni juu yangu ningewaacha tu wasome hiyo albadiri yao.Hata kama Mungu hayupo na al-badr haifanyi kazi, watu kusema wanasoma al-badr ni kujieleza kwa njia yao kwamba hawana imani na serikali na vyombo vyake.
Ndiyo maana unaona mpaka polisi wanahangaika nao.
After all mimi ni mtu mwenye kuamini haki sawa kwa wote.
Kwa msingi huo naamini hata wapumbavu nao wana haki ya kuwa wapumbavu na wana haki ya ku exercise upumbavu wao madhali hawaingilii haki za wengine.
Kwa hiyo sioni sababu ya kuwakatalia hao walokuwa wanataka kuisoma hiyo albadiri.
Tatizo huenda waliopo madarakani nao wanaamini katika hayo mambo ya kufikirika na ndo maana wamepiga marufuku.