Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,609
Nimesikia ati Shekhe mmojawapo Muheza alipigiwa simu na kamati ya ulinzi na usalama kuulizia kuhusu Albadil! nimeona kama sasa nchi inakoelekea sijui! na kuna hofu ya nini huku sisi wananchi tunawaamini viongozi wetu wazuri ni weredi hawawezi kumtuma mtu kuuwa kwa mtutu!
Sasa mwanga unaanza kuonekana na wasiojulikana wanakaribia kujulikana na si zaidi ya wiki wataanza kujulikana nahisi kama hofu hii ipo!
Source: Clouds FM
Salaam!
=======
kisu cha ngariba said:
Shekhe Hilaly ahojiwa na kamati ya ulinzi na usalama baada ya kusemekana atasoma Alhul badr kwa wale wote walioshirikia kumshambulia Mh Tundu Lissu.
Akihojiwa na Clouds Fm, Shekhe Hilaly amekana kuhusika na jambo hilo na kuthibitisha kuwa asubuhi ya leo aliitwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Muheza.
Jahazi Clouds Fm.