Sheikh aliyesemekana atasoma Alhul badr ahojiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Muheza

Kama upumbavu wenzio wamechachawa huko ... wanajua shughuli yake ndio maana ...

Yaani hapo sheikh kapewa chake apotezee hiyo kitu ... ha ha ha ha haaaa wasio julikana tayari wamejulikana ha ha ha haaaaq

Mnajiaminisha mambo ya kipumbavu.

Yaani kusema msikusanyike nyie tayari mnarukia kuhitimisha kuwa mnaogopwa?

Hakika rais Mkapa hakukosea.

Tokeni hapa na huo upumbavu wenu wa kufikirika.
 
Fanya upuuzi ili uwe wa mfano

Hakuna cha albadiri. Haipo. Haifanyi kazi.

Habari sijui wamekatazwa kwa kuwa watawala wanaogopa ni ubunifu wenu tu katika jitihada za kujipa faraja.

Sasa hivi mtasema lolote lile ili mradi linaleta faraja kwenye hivyo viakili vyenu mlivyonavyo.

Eti wanaogopa...nani aogope kitu ambacho hakipo?

Ukiwa mpumbavu utadakia chochote tu kikupacho faraja na ndicho mnachofanya hapa.

Endeleeni kuamini mambo yasokuwepo kwani ndo kikomo cha akili zenu kilipofikia.
 
Maneno mengi ya nini wakati umejificha jitokeze fanya tukio uone usilete hadithi za pwagu na pwaguzi
 
Mbona mapovu ni kitu rahisi sana jitokeze uwe wa mfano

Nijitokeze wapi?

Si huyu hapa nipo....

Huo ujinga wenu wa albadiri hauwezi kunipata hapa nilipo mpaka nijitokeze?

Hahahahaaa...eti nijitokeze wakati tayari nipo hapa nauponda.

Kama upo kweli nisomeeni mimi tuone...wajinga wa mwisho nyie.

Mnachoweza ni kulialia tu nyuma ya keyboards.

FOH with that bullshit. It doesn't exist.
 
Duuu kweli wakati mwingine nashindwa kuelewa imani nyingine. Seriously mtu anaaogopa albadir kwamba itamdhuru? Hii ina maana serekali inaoopa mambo ya kiimani ambayo hayana ushahidi wa kisayansi.

Sishangai sana maana kuna viongozi wetu wengi akiwemo mkulu wa sasa walienda kupata kikombe cha babu.

Ndio maana huwa tunasema viongozi wetu wengi wanaamini ushirikina mbali ya kujidai wana elimu kubwa.

mkuu iyo sayansi yenyewe chimbuko ni katika dini, wacha isomwe tu.
 
Back
Top Bottom