Sheikh aliyesemekana atasoma Alhul badr ahojiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Muheza

Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,920
2,000
Hiyo ni iman tu ila km una hatia hapo kwenye tisa weka wote 10. Mwizi ni mwizi tu. Naomba hii kitu kifanyike ili tujue.
Nimeamini Lissu alipaswa kuwa Raisi, haijawahi tokea hii kwa viongozi
Msimamowa Lissu kuhusu kuukabili mzunguko mbaya wa fedha ni upi?
 

kilwakivinje

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
3,147
2,000
Nijitokeze wapi?

Si huyu hapa nipo....

Huo ujinga wenu wa albadiri hauwezi kunipata hapa nilipo mpaka nijitokeze?

Hahahahaaa...eti nijitokeze wakati tayari nipo hapa nauponda.

Kama upo kweli nisomeeni mimi tuone...wajinga wa mwisho nyie.

Mnachoweza ni kulialia tu nyuma ya keyboards.

FOH with that bullshit. It doesn't exist.
Fanya tukio ili uwe wa mfano unabwabwaja huku unaogopa
 

Kijana Wa Makamo

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
212
250
Kwa habar nilizokuwaga nazisikia miaka mingi ilopita, kutoka kwa manguli kutokea tanga na vitongoji vyake( muheza, handeni, pangani n.k.),pemba, bagamoyo, mafia, kigoma, tabora, bagamoyo, lindi, n.k., ili alhu badr ikukose inabdi uwe futi 6 chini ya ardhi... Yangu macho, ila hii kitu hainaga historia ya kuondoka bure
 

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
2,958
2,000
Wajitokeze tu aibu ya kugeuzwa chizi ni mbaya mno kuliko kujitokeza na kusema ukweli
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,123
2,000
Nimeomba wanipige al-badr hapa. Nife kabla ya Jumatatu kwa kusema Mungu hayupo.

Kuna jamaa anahesabu masaa.

Honestly ban ya mods inaweza kuwa mbaya zaidi ya al-badr at this point.

Hahahaaa utasubiri sana kama ile ofa ya kulogwa.

Kama ulivyoona utaishia kuambiwa ufanye jambo baya kwanza, kitu ambacho labda kulingana na miiko na maadili yako, huwezi kufanya.

Halafu, kwa nini mungu abariki kitu kama hicho kama yeye ni kiumbe mwenye upendo kwa wote?

Hiyo albadiri kwangu imekaa kishetani zaidi kuliko kimungu. Hahahaa hawa watu wanachekesha sana.

Kwa nini mtu umuombe mungu ili jambo baya limtokee mtu fulani?

The whole thing is so contradictory. Doesn't make one bit of sense.
 

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,309
2,000
Kumbe wanaogopa, sasa mbona wanayafanya? Mi kila nikiamka lazima nipige ombi kuwaombea mabaya wote waliohusika, naamini na hapa tamko litatoka "hamruhusiwi kuomba majumbani mwenu"
 

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
[QUOTE=" the guilty are always afraid![/QUOTE] Umenikumbusha mbali ngoja nikupe summary

THE GUILTY ARE AFRAID, 1957
St. Raphael was the place they called Vacation City - a millionaire's playground of exclusive clubs and pretty girls with expensive tastes.
Inquiry Agent, Lew Brandon, flew to the City after receiving a message from his partner that he was involved on a big case and needed help ; Brandon didn't realised just how fast until he arrived in St. Raphael and found Jack Cheppey dead - pierced clean through with an ice pick.
Suddenly it seemed that everyone wanted Brandon out of town. The police made it clear he wasn't welcome and an influential millionaire threatened to make his stay very unpleasant. But somewhere in Vacation City a murderer was having himself a holiday. Lew Brandon meant to find him and the mysterious blonde who was the last person to see Jack Cheppey alive...
Extract :
" Then watch out. Rankin isn't so bad : he is a reasonable cop, but Captain Katchen is a class all by himself. If there's one thing he hates more than a hotel dick, it's a shamus. If he gets the idea you are poking around on his territory, you're in for trouble, and I mean trouble. "
I finished my drink, then wiped my wrists with my handkerchief. The room temperature was up the eighties.
 

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,781
2,000
Nimeomba wanipige al-badr hapa. Nife kabla ya Jumatatu kwa kusema Mungu hayupo.

Kuna jamaa anahesabu masaa.

Honestly ban ya mods inaweza kuwa mbaya zaidi ya al-badr at this point.
Maana ya Albadri ni kushtaki kwa Mungu naye hakuna wa kumpangia muda wala ulazima wa kutenda
Wajua aliyesomewa Mrema ilianza kufanya kazi baada ya miaka miwili?
 

Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,920
2,000
Maana ya Albadri ni kushtaki kwa Mungu naye hakuna wa kumpangia muda wala ulazima wa kutenda
Wajua aliyesomewa Mrema ilianza kufanya kazi baada ya miaka miwili?
Mungu hayupo, ndiyo maana albadiri ni uongo.

Iko socially na psychologically kama kitu kilichowekwa na watu, lakini si dua ambayo inamfikiaMungu na yeye anaisikiliza na kuifanyia kazi.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Inaweza kusomwa, waliopanga njama wakaamini inafanya kazi, wakapata jambajamba, wakaanza kuchomana wenyewe kwa wenyewe, wakashikwa.

Hapo ukisema albadiri inafanya kazikisaikolojia nitakubali.

Lakini ukiniambia ni dua inayoenda kwa Mungu nitakubishia.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom