Zenji ni nchi na ina katiba yake, ima bendera yake, ina rais wake, inabunge lake, japo tumeikoloni na walaambo yao hayakuhusu....Katika Mkutano wa Berlin nchi zote zilizopewa makolon zilipewa sharti la kuuwa uislam na kujenga makanisa na kusambaza elim ya kishetani, elimu ya kuwafundisha watu kukaa uchi, uasherati, tusioe ila tuwe na magirl friend kama hv sasa, tusisome dini maana tutakufa maskin na hatutaendelea,na baada ya hapo ndo wakayafanya kweli na ndo chanzo cha huu mjadala, mimi sishangai sana kwa haya yanayolalamikiwa ila nawashangaa wanaobeza waislam kua hawakusoma wakati waliwakataza kusoma...Mama angu alisoma sababu alikubali kuitwa ELIZERBET SALUM MOHAMMED, Babu alisoma sababi alikubali kuitwa Banabas Ally, ila baadhi ya watu walifukuzwa shule sababu walikataa kuitwa Petro na wakataka waitwe Abdullah....haina shida endesheni nchi sasa mlete maendeleo, simmesoma sana mbna hali hivi,kazi kulalamika tu